Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unapendekeza tuache kutumia maji ili tuwe na maji ya kutosha kuzalisha umeme? Umeme una source mbadala lakini sio maji.Sawa tuchukulie mfano hiyo Rusumo HEP station ambayo ni run-of-the-river maji ya mto Kagera yakauke je, hiyo hiyo Rusumo hydropower station wataweza kuzalisha umeme?
Njombe ni green country! Mnakosaje maji huko? Na watu wa Singida watasemaje? Hawa viongozi hawako serious.Mimi niko Njombe mjini hii ni wiki 2 hakuna maji tunatumia ya mtoni ambayo sio salama kabisa
Kwa kweli inashangaza sana na hapo ni mjini Mkuu sio pembeni ya mjini hapana ni mjini kabisa hakuna maji wiki ya 2 sasa sasa sijui wale wa nje mji hali ikojeNjombe ni green country! Mnakosaje maji huko? Na watu wa Singida watasemaje? Hawa viongozi hawako serious.
Mkuu unapendekeza tuache kutumia maji ili tuwe na maji ya kutosha kuzalisha umeme? Umeme una source mbadala lakini sio maji.
Wakati wabunge wa upinzani wakiongozwa na Mh Myika kuishauri Serikali kujenga bwawa la Kidunda Ruvu mkoani Pwani, waldhihakiwa sana na wabunge wa CCM.Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni huduma muhimu sana hasa kwa wananwake na watoto, na ina athari katika mambo mengi.
Huduma mbovu za maji zina athari nyingi sana, kwa mfano;
Matarajio yangu yalikuwa kwamba kuwa na raisi mwanamke kungekuwa ni chachu ya tatizo hili kukomeshwa nchini, lakini hali bado ni mbaya leo kama ilivyokuwa jana. Tunachoona ni matumizi makubwa ya fedha kwenye miradi ya maji bila kuona matukio ya miradi huo. Ufisadi umezidi mno kwenye miradi ya maji na hatusikii watu kuchukuliwa hatua.
- Wanawake wanapoteze muda mwingi katika kufuata maji
- Matatizo ya kijamii kama kubaka watoto na wanawake wanapokuwa wakifuata maji
- Hatari za afya za wananchi kutokana na kutokunywa maji safi na kutokuwa na usafi wa mwili
- Ugomvi katika familia na jamii kutokana na uhaba wa maji
Jambo la aibu hata zaidi ni kwamba hata sehemu zenye rasilimali ya maji kubwa sana zinakuwa na matatizo ya maji. Mikoa kama Mbeya, KIlimanjaro, Iringa, Morogoro, nk, yenye mito na vyanzo vya maji tele kwa nini iwe na matatizo ya maji?
Kichekesho kwa mfano, ni mwanzoni mwa mwaka huu nilitembelea mji wa Tukuyu huko Mbeya, na kukuta kuna uhaba mkubwa wa maji, ambapo sehemu za mji huu zina mgawo wa maji wa siku mbili au tatu kwa wiki. Niliuliza viongozi wa mji, chanzo cha maji katika mji huu ni wapi? Nikaambiwa ni pembezoni mwa Mlima Rungwe. Nikasema ikiwa chanzo ni huko mlimani, ina maana mnaweza kugawa maji kwa kutumia gravity tu, na kinachihitajika ni mambomba na matenki makubwa labda matatu tu. Sasa kwa nini mji una shida ya maji muda wote huu ikiwa gharama za kusambaza maji ya gravity ni za nchini kiasi hiki? Hakuna aliyenipa jibu la kitaalamu zaidi ya majibu ya kitoto ya kisiasa.
Nina uhakika mikoa kama KIlimanjaro, Arusha, ziko katika mazingira kama haya ya kupata maji kwa gravity lakini hakuna chochote kinachoendelea.
Mama Samia, watu wako wanashindwa wapi katika hili? Huenda ni jambo linahitaji liangaliwe upya na sio kutumia njia za zamani ambazo zimefeli kwa muda mrefu sana. Tunaweza kuelewa matatizo ya umeme na kuyavumilia, lakini sio maji. Ikibidi dedicate tozo za mwaka mzima ziende kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za maji. Kama raisi wa kwanza Tanzania mwananke, ukimaliza muda wako bila kuhakikisha access ya maji nchini ni 100% nitakushangaa sana. Utakuwa umewaangusha na hata kuwasaliti mno wanawake wenzio.
Reference: Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini
Aisee maji hata uku kwetu yanasumbua sana.Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni huduma muhimu sana hasa kwa wananwake na watoto, na ina athari katika mambo mengi.
Huduma mbovu za maji zina athari nyingi sana, kwa mfano;
Matarajio yangu yalikuwa kwamba kuwa na raisi mwanamke kungekuwa ni chachu ya tatizo hili kukomeshwa nchini, lakini hali bado ni mbaya leo kama ilivyokuwa jana. Tunachoona ni matumizi makubwa ya fedha kwenye miradi ya maji bila kuona matukio ya miradi huo. Ufisadi umezidi mno kwenye miradi ya maji na hatusikii watu kuchukuliwa hatua.
- Wanawake wanapoteze muda mwingi katika kufuata maji
- Matatizo ya kijamii kama kubaka watoto na wanawake wanapokuwa wakifuata maji
- Hatari za afya za wananchi kutokana na kutokunywa maji safi na kutokuwa na usafi wa mwili
- Ugomvi katika familia na jamii kutokana na uhaba wa maji
Jambo la aibu hata zaidi ni kwamba hata sehemu zenye rasilimali ya maji kubwa sana zinakuwa na matatizo ya maji. Mikoa kama Mbeya, KIlimanjaro, Iringa, Morogoro, nk, yenye mito na vyanzo vya maji tele kwa nini iwe na matatizo ya maji?
Kichekesho kwa mfano, ni mwanzoni mwa mwaka huu nilitembelea mji wa Tukuyu huko Mbeya, na kukuta kuna uhaba mkubwa wa maji, ambapo sehemu za mji huu zina mgawo wa maji wa siku mbili au tatu kwa wiki. Niliuliza viongozi wa mji, chanzo cha maji katika mji huu ni wapi? Nikaambiwa ni pembezoni mwa Mlima Rungwe. Nikasema ikiwa chanzo ni huko mlimani, ina maana mnaweza kugawa maji kwa kutumia gravity tu, na kinachihitajika ni mambomba na matenki makubwa labda matatu tu. Sasa kwa nini mji una shida ya maji muda wote huu ikiwa gharama za kusambaza maji ya gravity ni za nchini kiasi hiki? Hakuna aliyenipa jibu la kitaalamu zaidi ya majibu ya kitoto ya kisiasa.
Nina uhakika mikoa kama KIlimanjaro, Arusha, ziko katika mazingira kama haya ya kupata maji kwa gravity lakini hakuna chochote kinachoendelea.
Mama Samia, watu wako wanashindwa wapi katika hili? Huenda ni jambo linahitaji liangaliwe upya na sio kutumia njia za zamani ambazo zimefeli kwa muda mrefu sana. Tunaweza kuelewa matatizo ya umeme na kuyavumilia, lakini sio maji. Ikibidi dedicate tozo za mwaka mzima ziende kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za maji. Kama raisi wa kwanza Tanzania mwananke, ukimaliza muda wako bila kuhakikisha access ya maji nchini ni 100% nitakushangaa sana. Utakuwa umewaangusha na hata kuwasaliti mno wanawake wenzio.
Reference: Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini
Wapi huko?Aisee maji hata uku kwetu yanasumbua sana.
Una jambo la kufikirisha hapo. Kuna wakati ilisemwa kukatika umeme ilikuwa deal la mtu kuleta majenereta!Biashara za watu hizo
Mkuu hivi bado unaletewa vifaa vya kuunganisha maji? Sie tuliacha siku nyingi tunanunua wenyewe. Vile vifaa vingi vya maji kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi sio kwa ajili ya idara za maji za serikali, ni kwa ajili ya watu binafsi kujinunuia! Serikali kununua ilikuwa enzi za NyerereNimelipia huduma ya kuunganishiwa maji huu mwezi wa 3 bila bila,ukifuatilia unaambiwa vifaa havijafika...sasa kama Dar inachukua 3months kuunganishiwa maji,je huko Wilaya ya Tanganyika hali ikoje?
Wale mabwana wakubwa hata connector tu ya 2500 hawanaga kwenye stoo zao. Daaah! Hapo ndo huwa nachokagaMkuu hivi bado unaletewa vifaa vya kuunganisha maji? Sie tuliacha siku nyingi tunanunua wenyewe. Vile vifaa vingi vya maji kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi sio kwa ajili ya idara za maji za serikali, ni kwa ajili ya watu binafsi kujinunuia! Serikali kununua ilikuwa enzi za Nyerere
Kwa ujumla Serikali inafanya kazi nzuri sana hata hivyo kwa mtazamo wangu wanavyotumia Nguvu kubwa kusambaza maji; Wangetumia pia angalau robo ya hiyo Nguvu Kuhuisha vyanzo vya maji.Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni huduma muhimu sana hasa kwa wananwake na watoto, na ina athari katika mambo mengi.
Huduma mbovu za maji zina athari nyingi sana, kwa mfano;
Matarajio yangu yalikuwa kwamba kuwa na raisi mwanamke kungekuwa ni chachu ya tatizo hili kukomeshwa nchini, lakini hali bado ni mbaya leo kama ilivyokuwa jana. Tunachoona ni matumizi makubwa ya fedha kwenye miradi ya maji bila kuona matukio ya miradi huo. Ufisadi umezidi mno kwenye miradi ya maji na hatusikii watu kuchukuliwa hatua.
- Wanawake wanapoteze muda mwingi katika kufuata maji
- Matatizo ya kijamii kama kubaka watoto na wanawake wanapokuwa wakifuata maji
- Hatari za afya za wananchi kutokana na kutokunywa maji safi na kutokuwa na usafi wa mwili
- Ugomvi katika familia na jamii kutokana na uhaba wa maji
Jambo la aibu hata zaidi ni kwamba hata sehemu zenye rasilimali ya maji kubwa sana zinakuwa na matatizo ya maji. Mikoa kama Mbeya, KIlimanjaro, Iringa, Morogoro, nk, yenye mito na vyanzo vya maji tele kwa nini iwe na matatizo ya maji?
Kichekesho kwa mfano, ni mwanzoni mwa mwaka huu nilitembelea mji wa Tukuyu huko Mbeya, na kukuta kuna uhaba mkubwa wa maji, ambapo sehemu za mji huu zina mgawo wa maji wa siku mbili au tatu kwa wiki. Niliuliza viongozi wa mji, chanzo cha maji katika mji huu ni wapi? Nikaambiwa ni pembezoni mwa Mlima Rungwe. Nikasema ikiwa chanzo ni huko mlimani, ina maana mnaweza kugawa maji kwa kutumia gravity tu, na kinachihitajika ni mambomba na matenki makubwa labda matatu tu. Sasa kwa nini mji una shida ya maji muda wote huu ikiwa gharama za kusambaza maji ya gravity ni za nchini kiasi hiki? Hakuna aliyenipa jibu la kitaalamu zaidi ya majibu ya kitoto ya kisiasa.
Nina uhakika mikoa kama KIlimanjaro, Arusha, ziko katika mazingira kama haya ya kupata maji kwa gravity lakini hakuna chochote kinachoendelea.
Mama Samia, watu wako wanashindwa wapi katika hili? Huenda ni jambo linahitaji liangaliwe upya na sio kutumia njia za zamani ambazo zimefeli kwa muda mrefu sana. Tunaweza kuelewa matatizo ya umeme na kuyavumilia, lakini sio maji. Ikibidi dedicate tozo za mwaka mzima ziende kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za maji. Kama raisi wa kwanza Tanzania mwananke, ukimaliza muda wako bila kuhakikisha access ya maji nchini ni 100% nitakushangaa sana. Utakuwa umewaangusha na hata kuwasaliti mno wanawake wenzio.
Reference: Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini
inasikitisha sana kuona mtu anamtazamo wa kizamani kama huo na cha kushangaza utakuta yupo RUWASA,mfano mzuri ni mradi wa maji wa ruwasa kijiji cha lopolun na lemishiri kata ya oloirien wilaya ya ngorongoro mradi umezinduliwa na mwenge lakini yamebaki mapambo tu hakuna usambazaji wa maji kwa wananchi.Mkuu, Tanzania kuna miji mingapi ya Wamasai na Wahdzabe? Hicho ndio kisingizio? Kwanza tangu Wamasai wahamia Vigwaza njia ya Morogoro sijaona kama wamehama, miaka zaidi ya ishirini sasa