Kwanini ni nabii wa uongo?
Unataka kujua ni WA UONGO vipi?
Njia ya kwanza, Chukua audio au video YouTube au sikiliza mahuburi yake muda ambao Huwa unaenda kulala,
Iache video au sauti ya redio ya mahuburi ikiwa on, ukipitiwa na USINGIZI Ukiwa unaisikiliza,
Utaweza kuingia katika Ulimwengu wa Roho na utakutana naye live.
Utakachikiona au kikisikia akuambiacho, mwonekano wake, matendo yake katika Ulimwengu huo, yapime Kwa neno la Mungu.
Ukiona yafuatayo, pigia mstari kuwa ni WA UONGO.
1. Ukimwona tu uchi na anakufuata azini nawe.
2. Ukimwona ana hasira anapambana nawe.
3. Tizama mavazi ,RANGI na mwonekano wake, ikiwa Yu uchi au amevaa black, pigia mstari.
4. Ukionyeshwa ametangulia mbele mnaelekea msituni.
5,6,7.......
Ikiwa ni WA kweli utaona yafuatayo.
1. Ukiwa kwenye maombi utamwona akija kukusaidia katika vita.
2. Mavazi yake na mwonekano wake ni WA furaha, na mavazi MEUPE.
3. Amani ndani Yako. Kwa lolote utakalokiona, ukipata Amani, jua ni WA kweli, ukihisi analeta hatari stuka.
,4,5,6,7.......
Anyway unaweza kuona tofauti na niliyoandika lakini ni vizuri kushare na watu wajuao Ili usaidiwe sawa na maandikiko.
NB: Wapo wanaosali Kwa manabii wa UONGO na hawajui, na hawana kosa, ila ni vizuri kumuuliza Mungu ikiwa upo Mahali sahihi au la.
Blessed be u. Amen