Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naree-nduuhIle ladha ya awali ya maji ya Kilimanjaro haipo tena.
Ndio yalikuwa maji pendwa kwa miaka mingi ila nadhani kuna aidha mchanganyaji aliondoka au wameamua kubania mchanganyiko wa awali na ndio unaowaondoka sokoni. Sio Dar tu ila mpaka mikoani.
Nimekuwa nawaza kuanzisha thread kuwasema ila nashukuru nimepata lift hapa kuyasema niliyoyasema.
Kilimanjaro water is collapsing dramatically.
[emoji106]Ndo Mana ambaye Hana hela huwa haendi kwao Mana Hana Cha kuwavimbia wenzake so watatumwa maji ya kunawisha wenzake.
Yes wanatu motivate kwa matusi nako pia ni Aina ya lugha ya kumpatia mtu hasira.
Hakuna nouma mangi nipe hasira bana.nitukane ili nijielewe.
Baba yangu mkubwa alikuwa ni maarufu kwa kucheza ritungu Sana karibia kurya society nzima. He was very famous so now we're harvesting his seeds that he sowed that time.
Mie najua mangi wakianza kusoma miaka Ile white fathers wametua Kilimakyasharo around 1800s.
[emoji125][emoji125][emoji28][emoji28][emoji28] unafurahisha unavyotetea wachaga
Ila waambie wanawake wenu waache kichoma wanaume
Alikuwa akitumia pesa zake au za umma, think bigMbona ulikuwa unamtukana magufuli akijenga chato?
Dew drop ni mazuri sana yanatuliza kiu ,hata chupa yake ipo classicHata kabla ya Mengi kufariki, maji ya Kilimanjaro yalishapoteza ladha kabisa.
Kuanzia walipoondoa packaging ya maboksi, maji yalianza kuchakachuliwa mno na kuleta ladha mbaya.
Dew Drop madogo ndiyo maji ninayoyapenda sana.
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.
Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Hill na afya ni maji mazuri na bei yake si kubwa. Kwa nini ninunue kilimanjaro lita moja kwa 1000 wakati napata mbadala kwa 500 au 600?Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.
Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Magufuli hajatukanwa alipewa facts ni uwendawazimu kujenga international airport bila kuwa na matumizi tena Kijijini hata mimi siwezi fanya huo ujinga Kijijini kwetu, matokeo sasa uwanja unaanikia mazao, hyo yote ni misuse of government funds kwa kweli.Mbona ulikuwa unamtukana magufuli akijenga chato?
Huyu mbunge ni mchanga ...wadanganye mafisiUnyonge unawatafuna sana, chuki kwa wachanga imekuwa kubwa kwa taarifa tu hata hayo Hill water ni Mchaga Hillary Shoo
Kwani watu wananunua kwa jina au quality ya kitu? Kwa asilimia kubwa sisi hatuna uhusiano kati ya kabila na kitu cha kununuaMajitu meusi bwana ndio maana hayaendelei hata kidogo, kuwekeana nyongo wao kwa wao kila kukicha huku biashara kubwa wakiongoza Wahindi na Warabu huku Wachaga wakichipukia tena kwa mbali basi yanaona tugawane hikihiki kidogo alichokitengeneza Mzee Mengi, Mzee Shirima, Mzee Lamwai, Mzee Laswai, Mzee Mushi huku Mzee Rakesh, Shivji, Chande, Rajan, Khan hawa hawaguswi nimiungu kwao[emoji23]
Hivi Magufuli ndio alikuwa mmiliki wa maji ya Kilimanjaro kumbe!! Ndio maana hayana uboraMagufuli hajatukanwa alipewa facts ni uwendawazimu kujenga international airport bila kuwa na matumizi tena Kijijini hata mimi siwezi fanya huo ujinga Kijijini kwetu, matokeo sasa uwanja unaanikia mazao, hyo yote ni misuse of government funds kwa kweli.
Huyu mbunge ni mchanga ...wadanganye mafisi
Yanatoka dar sio moshi tenaYana chumvi balaa. Hupati ile taste original ya clean water; sijui walifanyaje!