luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
SawasawaMie mura wivu Sina Tena huwa nawapenda mangi wanavyopambana sema ishu iyo hapo inawamaliza Sana.
Mbona wamesoma na Wana Mali like crdb namie Nina akaunti huko, precision air, wafanyabiashara wakubwa Sana ama ni uwongo.
Ukienda chuoni vijana wengi darasani ni watokea Kilimanjaro Ila Sasa isiwe sababu ya kuwatukana ndugu zako.
Kama u mwerevu unamwambia Cha kufanya sio unamcheka na hii dunia hatukai milele mangi.