Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Silalamiki Bali nasema ukweli ama Kuna mjaluo anaweza akanunua duka la mkalenjini.
Nesi mkikuyu hawezi kufanya kazi wataita.
Mie nalikemea hili Mana waafrika ukabila unaturudisha nyuma.
Pia hatujakataa kuwa wapo waliosoma kuzidi wengine na kuwa na hela.
Ila sasa sio tiketi ya kujiona kuwa uu unique na kuwatukana wengine.

Kumbuka ukabila ndio unaotuua afrika na ndio uliofanya tukatawaliwa na wakoloni.

Afu Kama una ubaguzi utaendelea mpaka nyumbani kabisa.
Nina Imani unajua ukiwa pale Moshi mjini utaiskia hizi kauli yaani huyu mrombo kajaza warombo wenzake kwenye iyo ofisi,huyo mmarangu ama mkibosho anaongea
Usisingizie ukabila sehemu yeyote yenye huduma nzuri lazima ipate wateja sema watanzania wengi wamelala poor customer kwenye biashara utegemee wateja, mchaga mbele ya hela na huduma ana standard nzuri tofauti na waswahili ambao ni ma mwinyi tu wakuletewa kila jambo. Ni sawa na ile Tanzania tunawalaumu wakenya kwa kubaba fursa zetu huku sisi tumelala usingizi wa pono tunalalamika na hatuko aggressive, pia nchi hii hamna ukabila zaidi ya kusoma humu jf tu kwa kukuzwa, wenye ukabila huko kenya haswa
 
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Mwanza yapo ila Yana chunvi nyingi sana
 
Uhai kubwa lita 1.5 wanauza jero, eti wanaita sapong jinga sana hawa watu
Sasaivi uhai kaongeza anatoa lita 1.6 ni kubwa ilo,naona anataka kuwapiga gape wenzake akina Afya,Masafi,New drop na hill water wanaotengeneza lita 1.5
 
Hata mimi nawashangaa hawa wademkaji, tatizo wabongo wengi elimu duni..............yaani unapima ubora wa maji kwa kutumia ladha ya ulimi badala ya kuangalia madini yaliyomo. Ukisoma mineral content kwenye maji ya kilimanjaro ni tofauti kabisa na hayo ya Hill na hili ndo linaweza kutofautisha ladha lakini siyo ubora. Kuna minerals lazima uzipate kwenye vyakula na maji na kama ukipungukiwa inakula kwako....
Tbs si wanakuwa wameshayakagua viwango vyake
 
Maji ya kilimanjaro iliwalenga watu wenye uwezo....
Baada ya wadau kuingia kwa kasi ktk biashara ya maji na kuuza kwa bei ya chini hapo ndipo soko la maji ya kili ilipoanza potea
Ila naona mpaka sasa maji ya kili bado wanawalenga watu fulani tu

Ova
Hayo maji ya Kilimanjaro utayaona kwenye mahoteli yenye hadhi ya nyota tano
 
Afya ndio inauzika sana nenda kwa wauza maji wenye maduka wakwambie mimi nauza maji afya ndio inayoongoza Tanzania sio Dar tu
Tanzania! Huku kaskazini hata hatujui hayo maji yanafananaje. Huku tunakunywa kilimanjaro tu
 
Mchaga mbaguzi sana yeye anaweka maji ya kilimanjaro tu dukani kwake halafu anakwambia inauzikana sana sasa hivi maji ya Kilimanjaro hawapati soko ndio maana uzalishaji mdogo
Bora Capote tu pengine na nguvu zetu za kiume zitarejea kama hapo awali
 
Maji ya kilimanjaro tunayokunywa dar sio yale yanayotoka bonite. Yanantengenezwa hapo kibaha tu. Hata taste yake ni.chumvi tu. Tofauti kabisa na ukinywa yale origional ya moshi/arusha.
Hata maji ya Kilimanjaro ya moshi yana chumvi chumvi, maji ya Kilimanjaro yanasafirishwa toka moshi hadi dar na scania za bonite adakiss23
 
85% ya wakaazi wa Dar ni masikini wa kutupa!! Wengi huishi chini ya mstari wa dola moja kwa siku sasa watawezea wapi maji ya 1ltr kwa 1000-1500?

Hill water ni 500 tu unapata lita so ni kawaida ndo maana huwezi kuta biashara ya miguu na utumbo wa kuku iringa au Arusha.
🤣🤣🤣🤣
 
Na hapa nishajua Mana nimekugusa. Ukiweka biashara Moshi hakuna wa kununua kazi ni kuuliza huyu jamaa wa wapi.
Yaani mna ubaguzi,unakumbuka chifu wa kibosho alivyoshirikiana na wajerumani kumpiga mangi wa marangu.
Hiyo ni nguvu ya ukabila.
Unajua Ethiopia kinachoendelea. Rwanda 94 unakumbuka,Nigeria ndio usiseme.
Kuna muda walilamika kuwa mbona hatujateuliwa enzi zile ilikuwa ni elimu saivi Hadi kuku wamesoma Sasa sijui kigezo kingine kinakuwa ni Nini.

Mkuu ukabila na udini ni mbayaa mno.
Yaani bado ukiwa Moshi mjini mmachame atajiona Yuko juu ya mmarangu na mtabaguana.
Unakumbuka Ile clip ya mkibosho anamaindi kijana wake kumuoa mmchame Bora akawe padri.
Wewe kisa umesoma na hela unazo sio kisa Cha kumdharau jirani yako kuwa hafai kuishi,ama kuwa na wadhifa fulani Bali wewe tu.

Cheki hii sheli ya olasiti ya hapa mwanza magari yote ya huko yanajaza mafuta huko.
Kwingine hakuna.
Unaijua nguvu ya ukabila ndugu.
Unasumbuliwa na wivu wa kichawi,kwhyo MCHAGA kujenga sheli mwanza imekukera? Sasa kwa hali hiyo mbona utakereka sana? Maana karibu kila mahali wana ma sheli kwanzia tunduma,mbeya,iringa,pwani,dar Dodoma nk
 
Back
Top Bottom