Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Maji ya Kilimnjaro yalifariki na mzee Mengi mwenyewe maana sikuhizi sio kwa chumvi hiyo.
 
Jamaa ni nouma Sana yaani kuuza bidhaa za wengine hakuna yaani Wana ukenya Ile mbaya. Itafikia hakuna kununua maduka Yao Mana na wao huwa hawanunui maduka ya wengine aka vyasaka
Na wewe siuwe una nunua kwa kabila lako acha kulalamika by the way charity begins at home, usipo myungisha ndugu yako huo ni uzwazwa
 
Maji ya kilimanjaro tunayokunywa dar sio yale yanayotoka bonite. Yanantengenezwa hapo kibaha tu. Hata taste yake ni.chumvi tu. Tofauti kabisa na ukinywa yale origional ya moshi/arusha
Hata mikoani tu yana chumvi hivo hivo nimekunywa mwanza, Arusha hata dodoma ni same too much chumvi ka uhai
 
Hata kabla ya Mengi kufariki, maji ya Kilimanjaro yalishapoteza ladha kabisa.

Kuanzia walipoondoa packaging ya maboksi, maji yalianza kuchakachuliwa mno na kuleta ladha mbaya.

Dew Drop madogo ndiyo maji ninayoyapenda sana.
 
85% ya wakaazi wa Dar ni masikini wa kutupa!! Wengi huishi chini ya mstari wa dola moja kwa siku sasa watawezea wapi maji ya 1ltr kwa 1000-1500?

Hill water ni 500 tu unapata lita so ni kawaida ndo maana huwezi kuta biashara ya miguu na utumbo wa kuku iringa au Arusha.
Huijui Arusha Vizuri Mkuu!! Biashara ya miguu ya kuku na utumbo ipo sana, Ingia Ngarenaro oysterbay barabarani kabisa utaikuta, sogea matejoo ktkt pale utaikuta Tena Wananogesha na vindizi vya kukaanga.
 
Hill Water ndo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Hao Kilimanjaro walijisahau.Yaani bei 1/2 lita ya kilimanjaro,unapata lita 1.5 ya uhai masafi au afya.Ubora wa maji ni ule ule.wajinga pekee ndiyo wanaweza poteza hela kijinga
 
85% ya wakaazi wa Dar ni masikini wa kutupa!! Wengi huishi chini ya mstari wa dola moja kwa siku sasa watawezea wapi maji ya 1ltr kwa 1000-1500?

Hill water ni 500 tu unapata lita so ni kawaida ndo maana huwezi kuta biashara ya miguu na utumbo wa kuku iringa au Arusha.
Jibu mujarabu sana hili. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
85% ya wakaazi wa Dar ni masikini wa kutupa!! Wengi huishi chini ya mstari wa dola moja kwa siku sasa watawezea wapi maji ya 1ltr kwa 1000-1500?

Hill water ni 500 tu unapata lita so ni kawaida ndo maana huwezi kuta biashara ya miguu na utumbo wa kuku iringa au Arusha.
Hukupata habari kuwa tuko uchumi wa kati?
 
Test ya Uhai sasa Dumu kubwa za litre 13 naona yapo vizuri tofauti na awali yalikuwa yana taste si nzuri.
 
Hill Water ndo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Ishu ni bei ndugu.
Dar kwa sasa chupa ya lita1.5 ya maji ya Uhai ama Masafi kwa mfano inauzwa 500/- kwa wamachinga wanaotembeza kwenye toroli. Madukani wanauza 800 (ya baridi). Kilimanjaro ya ujazo huo huo wamekomaa na 1500/- mpaka 2000/-. Nani atanunua?
 
Uhai kubwa lita 1.5 wanauza jero, eti wanaita sapong jinga sana hawa watu
 
Maji Yana chumvi na poor quality nilikuwa mpenzi wa hayo maji ila sikuhizi sitaki kuyaona. Sijui Wana kwama wapi aisee, hata package yake tu ni shida
Yanachumvi'aje wakati kitaalamu tunaambiwa hayo siyo maji ya 'kudimbula' bali ni purified (distilled)water, yaani maji mvuke!

Sasa chumvi inaingiaje kwenye mvuke!

Au walishabadili ama kukoleza sana hayo madawa yao wanayoweka!

Huo ndiyo mwanzo wa kutoka kwenye reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom