Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Yanawalenga vipi na huku hata pH yake sio Ile ya 7.3865 ambayo ndo ya mwili.Maji ya kilimanjaro iliwalenga watu wenye uwezo....
Baada ya wadau kuingia kwa kasi ktk biashara ya maji na kuuza kwa bei ya chini hapo ndipo soko la maji ya kili ilipoanza potea
Ila naona mpaka sasa maji ya kili bado wanawalenga watu fulani tu
Ova
Binafsi huwa nakunywa maji yaliyo na pH from 7.2+ Mana hapa body inatakiwa uwe katika alkaline media zaidi kuliko acidic media.
Naona wameanza kulialia kuwa hawajateuliwa Tena Mana na maji Yao hayanunuliwi.