Tetesi: Maji ya DAWASCO yanatiwa sumu kudhoofisha afya ya wananchi Dsm

thegreat1510

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,523
Reaction score
4,040
Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho,

Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni.

Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo linalohusiana na afya ya watu Tunaomba liangaliwe kwa upana zaidi
 
Hawa makumer hawashindwi mjue aisee hii taarifa isipuuzwe ,muhimu DAWASCO wafikiwe na jeshi likaweke ulinzi pale.
 
What’s the logic behind that?
Ndicho namimi ninachowaza ujue ,maana DAWASCO siimeunganishwa nakusambaza maji karibu mikoa miwili kuanzia Dar hadi Pwani .

Wanachama ndani , viongozi wao pia ndani ndugu zao ndani seriously?

Eeh! ila akili za CCM siyo za kuziamini sana mjue.

Wewe ulitegemea kama wangelimteka hadi Niffer kwa kuchezea tu nywinywinywi 🤣🤣
 
Kweli ni vichaa, lakini wakifanya watakuwa na ukichaa ambao ni beyond measure. Angalau nia ya kumteka Niffer ilikuwa kumnyamazisha yeye na kutia hofu wengine!
 
Kweli ni vichaa, lakini wakifanya watakuwa na ukichaa ambao ni beyond measure. Angalau nia ya kumteka Niffer ilikuwa kumnyamazisha yeye na kutia hofu wengine!
Hivi huyo binti keshapatikana?

Halafu hawa jamaa bana….sasa huyo Niffer ana madhara gani kwa mfano?

Kazi yake kubwa ni kucheza challenges za kwenye social media. Unamteka na kumpiga ili iweje?
 
Kweli ni vichaa, lakini wakifanya watakuwa na ukichaa ambao ni beyond measure. Angalau nia ya kumteka Niffer ilikuwa kumnyamazisha yeye na kutia hofu wengine!
Kutisha wengine kwa kukakamata katoto kale , Tena katoto ka kike , seriously?

Siyo tu ilifikia mahali utekaji ukikuwa na budget maalumu , yaani ukifanikiwa tu kuokotwa mtu unakula ka five million kako then maisha yanaendelea , naona ni kama ilikuwa hivyo ,kwasababu kunamengine walikuwa wanakamtwa hadi mtu unajiuliza hadi huyu atekwe ,kabisa ? Eeh!
 
Hivi huyo binti keshapatikana?

Halafu hawa jamaa bana….sasa huyo Niffer ana madhara gani kwa mfano?

Kazi yake kubwa ni kucheza challenges za kwenye social media. Unamteka na kumpiga ili iweje?
Sijui kama ameshapatikana!

Ukisikia umungumtu ndio huo. Yaani hadhihakiwi. Kijana mwingine naye alipotezwa kwa kuchoma moto picha ya huyo fazafaka!
 
HAIWEZEKANI! Huu ni uvumi. Maji yananywewa na watu wengi sana mpaka CCM wenyewe.
 
Hao wameshakuwa bloody-thirsty monsters! Wanaua mtu kama vile wanaua panzi.
 
Acha uongo, jambo hilo haliwezekani
 
Hivi huyo binti keshapatikana?

Halafu hawa jamaa bana….sasa huyo Niffer ana madhara gani kwa mfano?

Kazi yake kubwa ni kucheza challenges za kwenye social media. Unamteka na kumpiga ili iweje?
Kashakuwa demu wa mafwele
 
...... sinywi maji ya DAWASCO, lakini sababu kubwa ni kuhofia maadui wa nchi kuyawekea sumu ili kuua watu wengi zaidi Kwa maslahi ya kampeni zao dhidi ya serikali!
YANA MWISHO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…