Tetesi: Maji ya DAWASCO yanatiwa sumu kudhoofisha afya ya wananchi Dsm

Tetesi: Maji ya DAWASCO yanatiwa sumu kudhoofisha afya ya wananchi Dsm

Hiyo sumu watatia kiasi gani kiasi cha kuwa effective ndani ya mabilioni ya lita za maji bila ya kuwa diluted to smithereens? Itabidi wamimine maelfu ya matenki ya sumu, ambayo bila shaka yangejulikana kabla ya kufika popote.

Elimu na critical thinking skills ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom