SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
- Thread starter
- #21
Yes nikiyanywa ona hii nimeyawacha ya kilimanjaro kati na najaribu ya afyaKwahy umesema hua unatapika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes nikiyanywa ona hii nimeyawacha ya kilimanjaro kati na najaribu ya afyaKwahy umesema hua unatapika?
SAw wengi wanashauriKunywa Hill water
Mimba hiyo hongera mama KijachoMwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika
Hapana sina mimba mieMimba hiyo hongera mama Kijacho
Yeah Uhai yapo vizuri sana ,Hill wanaboronga sana ,maji hayapo njema kama mwanzo.Azam 'Uhai' ni bonge la maji.
YanaitwajeJaribu ya GSM,.
Ni kweli, maji ya Kilimanjaro ubora wake kwa Sasa upo chini sana.Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?
Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.
PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa
Asanteni
Kataa tuHapana sina mimba mie
"siku hizi natapika"! Nakushauri ukapime ujauzito kwanza kabla ya kulalamikia maji.Mwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika
Hawana muda wa kupata mrejesho toka kwa wateja mimi nilisha badilisha mind setWatu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?
Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.
PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa
Asanteni
Wengi watasanuka wataachaHawana muda wa kupata mrejesho toka kwa wateja mimi nilisha badilisha mind set
Mie sio 30 mie ni 30 plus so najua missing period nini na ninafanya nini ingine mi siko double nipo single mimba labda ingie kimiujiza"siku hizi natapika"! Nakushauri ukapime ujauzito kwanza kabla ya kulalamikia maji.
Basi mimba ni yakoKataa tu
NdioNi kweli, maji ya Kilimanjaro ubora wake kwa Sasa upo chini sana.
Haya sawa🐾🐻Unamimba Nyau wewe