Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
kuna yale maji ya dew drop nilikua nayaona ya bei ghali sana navile vichupa wamedesign nikawa hata siyasogelei nikikumbuka nacheka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekupa kwenye komenti au 😂Basi mimba ni yako
Mimi sinunuagi dukani mie nachukua kwenye magari ya coca na wanatuleteaga hapo dukani za kutosha .Kweli Au maji unayo kunywa yamechakachuliwa,na kutapika juu?
Nabisha siku hizi wanazidisha chemicali zinakuwa chungu sana . Hadi ukiyazidisha kuyanywa unapata kichefu chefuKilimanjaro 💦 na Dasani 💦 ni maji bora kwa hapa nchini. Anayebisha atakuwa ametumwa na Zamzam
Sijui sasa kwa maana unauwakika na mimbaNmekupa kwenye komenti au 😂
Natapika hadi nalegeaInakuwaje mtoto mzuri kama wewe unakunywa maji ya kiwandani! Hebu ukipata likizo fanya uje huku kwetu Usambaani, ili uje ufaidi maji fresh ya asili kutoka kwenye miamba.
NB: Halafu na huko kutapika huko! Mhhh!!
Ipo nna hakika una kitumbo ndi ndi ndiiSijui sasa kwa maana unauwakika na mimba
Basi itakuwa yakoIpo nna hakika una kitumbo ndi ndi ndii
WaambieHalafu nyie mnaokazana eti mimba mimba,kwani huu ndo uzi kwa kwanza kuletwa humu kuhusu haya maji?
Mtu akisha ugua akafa ndio mtajua zamani ilikuwA wanapitishaWatu wa mirungi mbona hawalalamiki maana ndio watumiaji wakubwa .
Hakuna shida kwenye hiloBasi itakuwa yako
Sawa eti utamwambiaje mchumba wako umenipa mimbaHakuna shida kwenye hilo
LoyalPole sana inaonesha ulikuwa royal kwa Kilimanjaro but kampuni zipo nyingi ama tu
Wewe utakuwa na kampuni Yako ya maji unataka kuwaharibia wenzako biashara yao. Hakuna maji mazuri kama Kilimanjaro. Huwezi kuharibu brand ambayo wameifanyia kazi miaka kwa statements za uwongo.Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?
Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.
PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa
Asanteni
Huwezi kuharibu biashara ya mwenzako kwa kujipigia debe. Maji ya Kilimanjaro ni the best brand in the country.Kunywa Hill water
Watu wa Hill water mna matatizo mengi sana. Huwezi kukua kwa kumkandamiza mwenzako. Utafeli tuSAw wengi wanashauri