Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ina maana lab yao hawana quality control akaona hii tofauti kubwa ya ladha?UKWELI NI HUU
-Maji ya Kilimanjaro yanayozalishwa Moshi kwenye kiwanda cha Bonite ndiyo "natural" na yenye ladha ileile ya zamani na haya yanauzwa au yanapatikana hasa mikoa ya kaskazini .Maji mengine ya Kilimanjaro yanazalishwa na kiwanda cha CocaCola apa Dar (yaani wanatumia formula ileile kuzalisha na ndiyo hayo yenye chumvi na ladha tofauti).Haya yanayozalishwa Dar ndiyo yanasambazwa kwa wingi huko mikoani (ukitoa mikoa ya kaskazini)
Hill wapo Bagamoyo Mapinga tu hapo kunywa maji yao uone taste yake nzuri.