Maji ya kilimanjaro sio mazuri siku hizi

Maji ya Kilimanjaro yanauzwa Dar na yanayouzwa Moshi/Arusha yana tofauti kubwa

Maji ya Kilimanjaro hapa Dar hayana Ladha
Sasa hivi ni yote nimachungu halafu nawaambia wanasema nawivu nataka kuuza maji yangu natafuta wateja kwa kuwaharibia
 
Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.

Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?

Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.

PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa

Asanteni
kwani haya maji bado yanazalishwa?
 
Mala ya mwisho kuona siku zako lini au Basi kapime ujauzito.
 
Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.

Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?

Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.

PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa

Asanteni
Kweli kabisa juzi nimeenda home kuwasalimu wazee Katesh nimekunywa tu maji y akilimanjaro yana chumvi Kabisa yaani wameharibu mnooo afadhali ya mlima Hanang yasiyopimwa na wataalam
 
Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.

Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?

Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.

PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa

Asanteni
Yale mazuri yaliondoka na Mzee Mengi
 
Hivi maji mazuri yanapimwa kwa utamu au PH? Wataalamu waje watujuze maji yaliyopo dar yana kiwango gani cha PH na je ni sahihi?
 
kuna yale maji ya dew drop nilikua nayaona ya bei ghali sana navile vichupa wamedesign nikawa hata siyasogelei nikikumbuka nacheka sana

We chupa ya maji imedizainiwa kama Dripu, Lazima uogope
 
Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.

Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?

Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.

PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa

Asanteni
Wanashindwa hata GSM walioanza juzi....lile chupa la lita 1.5 ukilimaliza wewe mwanaume .....hata mchunga unautafuna bila shida.
 
Back
Top Bottom