permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Haya maji siku hizi yamechakachuliwa sana na wahuni. Kuna chupa unakuta ni za mtaani tu zina maji ya Kilimanjaro, chupa zimetumika hadi chupa haiwezi kusimama wima inabidi uishikilie.Mwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika