B Burrell JF-Expert Member Joined Feb 4, 2024 Posts 474 Reaction score 893 Dec 16, 2024 #141 King Kong III said: Yeah Uhai yapo vizuri sana ,Hill wanaboronga sana ,maji hayapo njema kama mwanzo. Click to expand... kumbe Hill hivi sasa ubora wake umeshuka? King Kong III
King Kong III said: Yeah Uhai yapo vizuri sana ,Hill wanaboronga sana ,maji hayapo njema kama mwanzo. Click to expand... kumbe Hill hivi sasa ubora wake umeshuka? King Kong III
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Dec 16, 2024 #142 Burrell said: kumbe Hill hivi sasa ubora wake umeshuka? King Kong III Click to expand... Sijanywa muda mrefu sana ,inapita mwaka baada ya kuona mabovu kwasasa sijawahi kunywa ,napiga Uhai na Dew Drop tu na mara moja moja Afya.
Burrell said: kumbe Hill hivi sasa ubora wake umeshuka? King Kong III Click to expand... Sijanywa muda mrefu sana ,inapita mwaka baada ya kuona mabovu kwasasa sijawahi kunywa ,napiga Uhai na Dew Drop tu na mara moja moja Afya.
B Burrell JF-Expert Member Joined Feb 4, 2024 Posts 474 Reaction score 893 Dec 16, 2024 #143 Beige said: Dew drop, Buyegi na Hill. Kilimanjaro kwa kweli sio kama zamani. Nlidhani ni mimi mwenyewe aisee Click to expand... ila Buyegi bei yake ndefu sana.
Beige said: Dew drop, Buyegi na Hill. Kilimanjaro kwa kweli sio kama zamani. Nlidhani ni mimi mwenyewe aisee Click to expand... ila Buyegi bei yake ndefu sana.
V Village Elder Member Joined Sep 5, 2012 Posts 8 Reaction score 8 Dec 18, 2024 #144 SweetyCandy said: Mwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika Click to expand... Isije kuwa una mimba
SweetyCandy said: Mwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika Click to expand... Isije kuwa una mimba