Maji ya kipindi cha Nuhu kutengeneza Safina yalienda wapi?

Inabidi watu wengine umasamehe bure, maana kaelimu kadogo walichokipata wanajiona wao ndio alpha na omega
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha kichiz
Et kaelimu kadogo wanakokapata
 
hakuna gharika iliyotokea kuikumba dunia nzima hakuna hata chembe ya ushahidi zaidi ya madai ya biblia inawezekana ni mafuriko yaliyotokea kwenye mto frati unajua watu wa zamani eneo lao ndio ilikua kama dunia kwao.
Haikutokea dunia nzima ila eneo alilokuwa anatawala

hebu tofautisha kati ya binadamu wanyama na ndege sisi hatuhitaji kusambazwa mkuu.
 
Kwani maji huwa yanaenda wapi
 
Biblia haikazati kuhoji ilichoandika, wala watu wanaoiamini hawana hofu ya maandiko ya Biblia
Kama hujaelewa mahali kuhusu biblia uliza utaelezwa na waalimu wa biblia na utaelewa.
Tatizo watu wanaipinga hoja za Biblia bila kuleta majibu mbadala wakisingizia wako huru kufikiri.
Mfano kama hakukuwa na gharika wakati wa Nuhu, hoja siyo kukanusha tu tueleze kulitokea nini wakati huo.

Kumbuka Biblia iliandikwa zamani na wewe umezaliwa leo.
Ili kupinga hoja za zamani lazima utumie maandishi au ushahidi wa zamani hiyohiyo au wa sasa iliofanyiwa utafiti jadidi.

Kama maandiko ya kipindi chote hicho hayajapinga kuwepo kwa ghalika inamaana walikubali dhana hiyo

We umezaliwa miaka ya tisini karne hii ya sasa, unaanza kupinga bila kutumia rejea yoyote sisi wasomi tutakuelewaje ?

Lete ushahidi kamili kuhusu unachokiamini.
 
hakuna gharika iliyotokea kuikumba dunia nzima hakuna hata chembe ya ushahidi zaidi ya madai ya biblia inawezekana ni mafuriko yaliyotokea kwenye mto frati unajua watu wa zamani eneo lao ndio ilikua kama dunia kwao.
acha ulofa mkuu karibia kila ancient civilization ina a record of a great flood kwanzia egyptians,mayans,aztecs,chinese even indians....kwahiyo ulichosema hapo labda utakuwa hujafanya research au umejisahau tu
 
hujuwi ulichoandika mkuu, kwani jamii gami zinamzugumzia nguva/samaki mtu kama kiumbe halisi? na je yupo huyo nguva.
 
hujuwi ulichoandika mkuu, kwani jamii gami zinamzugumzia nguva/samaki mtu kama kiumbe halisi? na je yupo huyo nguva.
dunia ni kubwa mkuu kwakuwa labda simiyu au arusha hujawahi kuona nguva au kusikia habari za nguva hamaanishi kuwa hawapo unaweza ukakuta wapo.....just because you don't believe in something doesn't mean that it doesn't exist
 
unaongea yale yale mkuu hapa ni ushahidi au haikutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…