Maji ya kipindi cha Nuhu kutengeneza Safina yalienda wapi?

Maji ya kipindi cha Nuhu kutengeneza Safina yalienda wapi?

Mkuu unajua maji ya kuijaza dunia nzima, hebu fikiria urefu wa mlima everest na uwe chini ya maji ardhi gani inaweza nyonya maji yote hayo kwa akiri yako.
Tatizo hujui kuwa mlima Everest no moja kati ya topographical changes za after Noahic flood. Soma hiyo article ime address issue kama hizo.

Mlima Kilimanjaro haukuwepo kabla ya gharika, na kuna changes nyingi zilitokea ndio maana baadhi ya wanyama walitoweka kama kundi la Dinosauri
 
Mkuu unajua maji ya kuijaza dunia nzima, hebu fikiria urefu wa mlima everest na uwe chini ya maji ardhi gani inaweza nyonya maji yote hayo kwa akiri yako.
Unaichukulia dunia ndogo ee
Kama unakumbuka ni kuwa maji mengi yalitoka aridhin na juu kama mvua kama biblia isemavyo
Na kama yalitoka aridhin inamaana yalirudi
Maana wanascience wenyewe wanakwambia maji yaliyoko chini ya arthi ni kama bahali ukiyakusanya pamoja
 
Imani hiyo siyo ya kikristo. Ya kikristo unahoji na majibu unapata!
Mfano Mungu ni mwema na mwenye upendo usio na mipaka(Agape) kwanini siku ya hukumu waovu watatupwa kwenye ziwa la moto na siyo kusamehewa?
Mungu atapata faida gani kuwaadhibu wale waovu?
 
Unaichukulia dunia ndogo ee
Kama unakumbuka ni kuwa maji mengi yalitoka aridhin na juu kama mvua kama biblia isemavyo
Na kama yalitoka aridhin inamaana yalirudi
Maana wanascience wenyewe wanakwambia maji yaliyoko chini ya arthi ni kama bahali ukiyakusanya pamoja
Chini ya ardhi kuna maji tena mh!!!
 
Mfano Mungu ni mwema na mwenye upendo usio na mipaka(Agape) kwanini siku ya hukumu waovu watatupwa kwenye ziwa la moto na siyo kusamehewa?
Mungu atapata faida gani kuwaadhibu wale waovu?
Maswali mazuri sana!!!wenye majibu watupe
 
Mfano Mungu ni mwema na mwenye upendo usio na mipaka(Agape) kwanini siku ya hukumu waovu watatupwa kwenye ziwa la moto na siyo kusamehewa?
Mungu atapata faida gani kuwaadhibu wale waovu?
Swali zuri lakini nje ya mada.
Hint: kwa nini watu wanalalamikia mafisadi kusamehewa bila kushtakiwa?

Kama una swali bado fungua uzi wake
 
Ayubu 38

8 Au ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, Hapo ilipofurika kana kwamba imetoka tumboni.
9 Nilipolifanya wingu kuwa vazi lake, Na giza zito kuwa nguo ya kuifungia,
10 Nikaiagiza amri yangu; Nikaiwekea makomeo na milango,
11 Nikasema, Utafika mpaka hapa, lakini hutapita, Na hapa mawimbi yako yanyetayo yatazuiliwa?
12 Je! Umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Umeyajulisha mapambazuko mahali pake?
13 Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu wakung'utwe wakawe mbali nayo?
14 Hubadilika mfano wa udongo chini ya muhuri, Vitu vyote vinatokea kama mavazi.

16 Je! Umeziingia chemchemi za bahari, Au umetembea mahali pa siri pa vilindi?
17 Je! Umefunuliwa malango ya mauti, Au umeyaona malango ya kuzimu?
18 Umeyafahamu mapana ya dunia? Haya! Sema, ikiwa unayajua hayo yote.
19 Iko wapi njia ya kuyafikia makao ya nuru? Na giza pia, mahali pake ni wapi?
20 Upate kuipeleka hata mpaka wake, Upate kuelewa na mapito ya kuiendea nyumba yake?
21 Hukosi unajua, maana ulizaliwa wakati huo, Na hesabu ya siku zako ni kubwa!
22 Je! Umeziingia ghala za theluji, Au umeziona ghala za mvua ya mawe,
23 Nilizoziweka akiba kwa wakati wa misiba, Kwa siku ya mapigano na vita?
24 Je! Nuru hutengwa kwa njia gani, Au upepo wa mashariki hutawanywaje juu ya nchi?
25 Ni nani aliyepasua mfereji kwa maji ya gharika, Au njia kwa umeme wa radi;
26 Kunyesha mvua juu ya nchi isiyo na watu; Juu ya jangwa asiyokaa mwanadamu;
27 Kuishibisha nchi iliyo kame na ukiwa, Na kuyameza majani yaliyo mororo?
 
We unadhan visima maji yake yanatoka wap
Semem kama dodoma hamna ziwa ila maji yanatoka wap??
Inabidi watu wengine umasamehe bure, maana kaelimu kadogo walichokipata wanajiona wao ndio alpha na omega
 
maji mengine yameganda kwenye barafu huko Antarctica. ukiyeyusha barafu ya Antarctica usawa wa bahari utapanda mita 60. hiyo inamaanisha miji kama Dar ingefunikwa na maji. hapo bado maji ya angani, ardhini na yaliyoganda milimani na north pole.
 
Yapo angani ,ukweli ni kwamba kiasi cha maji yaliyopo angani(mvuke na mawingu) ni kikubwa kuliko hata maji yaliyopo kwenye bahari zote na chini ya ardhi,kwa sababu kuna mawingu mengine yanayofanya giza na kumfunika Mungu.
Acha uongo
 
Kila kitu kiliwezekana zamani .kama mfalme sulemani alikuwa na wanawake 1000 na Masuria 700 huku akiishi miaka 600 .
 
Sahv ni mwaka 2017 April, zama zmebadilika co kila kuumwa kichwa ni malaria.
Maji ya Nuhu yalkuja hiv.......... some texts missing
na maji ya Nuhu yaliondoka hiv......... some texts missing.
 
Back
Top Bottom