Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Au inawezekana wewe unafanya makosa. By the way, umesoma article niliyoiandika page zilizopita? Labda itakusaidia kugundua kuwa aliyekosea ni wewe na Biblia kama ilivyo ada iko sahihi kabisa!Mkuu hata mimi ni mkristo kama wewe ila lazima tukubali kuna mambo kwenye bible yana walakini inawezekana waandishi walifanya makosa kwenye kusimulia hivo visa.
in case hukuiona: Yesu Kristo ni Bwana na Mfalme!: Swali #4 - Maji ya kipindi cha Nuhu kutengeneza Safina yalienda wapi?