Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
Kama aliumba maji pasipo chanzo unashangaa nini maji kupotea pasipo habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeeleza vizuri sana.......kwa kweli inastaajabisha sana.....lakini kwa kifupi ...ni kwamba humu kuna watu wana upeo wa ajabu ....Ukitaka kujua uwezo wa watu kufikiri wewe soma tu mada kama hizi ndipo utaweza kushangaa sana....
Mtu anahoji jambo lililotokea miaka maelfu huko utadhani limetokea mwaka jana. hivi ni kweli hatujui kabisa kuwa kulikuwa na tofauti kubwa sana ya kimazingira na hali ya hewa kipindi kile na leo?
Hata hivyo,unapohoji na kujibu masuala ya ki-Biblia unapaswa ufikirie kwa namna ambayo siyo sawa na hii ambayo unaifikiria kwenye aisha ya kawaida kwasababu kuna mambo yaliyoko kwenye biblia ambayo hayawezekaniki kwa namna ya kawaida kwasababu mtendaji hafungwi na kanuni zinazokufunga wewe....
Sasa kama mtu anahoji namna wanyama wanaoishi kwenye mazingira fulani kuweza kuishi kwenye safina ambayo haina mazingira hayo huyo ni moja kwa moja anafungwa na kanuni ambazo aliyewafanya wanyama hao wakaishi kwenye safina hafungwi nazo....
Hilo ni sawa na kuhoji walichokuwa wanakula wanyama siku zote,yaani ni kichekesho kikubwa kabisa....
Hujui tu kuwa kuna mwanamama mmoja alitumia unga kidogo sana aliokuwa nao bila kuisha kwa siku mingi tu,jambo ambalo haliwezekaniki kwa akili zako za kawaida ambazo kwa kiwango kikubwa zimejengwa na mazingira na jamii yako na hivyo kuzifanya kuwa ziyo zako.....
Tunashindwa kuelewa hata mambo madogo kama haya,inasikitisha sana....
Hayo mawingu yapo duniani kote ama sehemu flani?...na hilo giza la mawingu lipo wapi/eneo gani?Yapo angani ,ukweli ni kwamba kiasi cha maji yaliyopo angani(mvuke na mawingu) ni kikubwa kuliko hata maji yaliyopo kwenye bahari zote na chini ya ardhi,kwa sababu kuna mawingu mengine yanayofanya giza na kumfunika Mungu.
KenBayona ana hoja lakini kwa swali lake maana bible inasema yalijaa kuifunika dunia nzima sio hivi vifuriko vya muda mchache tuu (siku 40 si mchezo!).Akili yako itakua haina akili,kwani ww toka uzaliwe mvua zilianza kunyesha enzi na enzi jiulize hayo maji toka miaka ya 1200 yanakwendaga wapi?
Sure na yakadumu siku 150, jamaa ana hoja na ni swali zuri. Hope umeona mahali nimemwonyesha majibu katika Biblia na sayansi.KenBayona ana hoja lakini kwa swali lake maana bible inasema yalijaa kuifunika dunia nzima sio hivi vifuriko vya muda mchache tuu (siku 40 si mchezo!).
Twende nao taratibu wataelewa taratibu pia mkuu....Umeeleza vizuri sana.......kwa kweli inastaajabisha sana.....lakini kwa kifupi ...ni kwamba humu kuna watu wana upeo wa ajabu ....
Ni sawa na mie ninavyowaza na kupata jibu kuwa huenda bustani ya Edeni ilikuwa Tanzania pale Ngorongoro crater kwa sababu hizi mbili kubwa... Kwanza tunaambiwa binadamu walikuwa wanaishi na wanyama enzi zile kwenye bustani.. hadi leo hakuna sehemu nyingine duniani ambapo wanyama wanaishi kwa amani na binadamu isipokuwa Ngorongoro crater, na ndiyo maana imekuwa kivutio cha watalii kutoka pande zote za Dunia.. Pili, hadi leo tunaambiwa kwamba Fuvu la binadamu wa kwanza lilivumbuliwa na Dr Leakey eneo la Olduvai Gorge,na kwa vipimo vya C14 kweli linaonekana ndio fuvu la binadamu wa kwanza.. hadi leo hakuna mwanasayansi yeyote duniani aliekuja na masalia yenye umri unaopita yale ya Dr Leakey.. na ukiangalia Olduvai gorge ni sehemu y huko huko Ngorongoro... Sasa hatuoni kuwa hilo fuvu ni la Adamu/ Hawa? kwa nini pale pasiwe ndo Bustani ya Edeni?
Maji ya gharika la nuhu yalikua mengi tofauti nahayo unayo yazungumziaUkijibu hili utajua jibu la.swali lako we mleta thread.
Mito au vijito vikikauka maji huwa yanaenda wapi vile aisee?
Kama nihivyo Huenda Adam/Hawa alikua mchaga au maasaiNi sawa na mie ninavyowaza na kupata jibu kuwa huenda bustani ya Edeni ilikuwa Tanzania pale Ngorongoro crater kwa sababu hizi mbili kubwa... Kwanza tunaambiwa binadamu walikuwa wanaishi na wanyama enzi zile kwenye bustani.. hadi leo hakuna sehemu nyingine duniani ambapo wanyama wanaishi kwa amani na binadamu isipokuwa Ngorongoro crater, na ndiyo maana imekuwa kivutio cha watalii kutoka pande zote za Dunia.. Pili, hadi leo tunaambiwa kwamba Fuvu la binadamu wa kwanza lilivumbuliwa na Dr Leakey eneo la Olduvai Gorge,na kwa vipimo vya C14 kweli linaonekana ndio fuvu la binadamu wa kwanza.. hadi leo hakuna mwanasayansi yeyote duniani aliekuja na masalia yenye umri unaopita yale ya Dr Leakey.. na ukiangalia Olduvai gorge ni sehemu y huko huko Ngorongoro... Sasa hatuoni kuwa hilo fuvu ni la Adamu/ Hawa? kwa nini pale pasiwe ndo Bustani ya Edeni?
Mpuudh weweJibu sahihi ni kwamba hizo ni hadithi za kusadikika, hapakuwepo na kitu kama hicho.
Maji ya gharika la nuhu yalikua mengi tofauti nahayo unayo yazungumzia
Umejibu vyema.....!kabla kujiuliza yalienda wapi?
jiulize yalitoka wapi?
ukipata jibu ndo jibu.
yalirudi yalipotoka.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] jamii forum bhana!!hakuna gharika iliyotokea kuikumba dunia nzima hakuna hata chembe ya ushahidi zaidi ya madai ya biblia inawezekana ni mafuriko yaliyotokea kwenye mto frati unajua watu wa zamani eneo lao ndio ilikua kama dunia kwao.
Mkuu hata mimi ni mkristo kama wewe ila lazima tukubali kuna mambo kwenye bible yana walakini inawezekana waandishi walifanya makosa kwenye kusimulia hivo visa.Ukitaka kujua uwezo wa watu kufikiri wewe soma tu mada kama hizi ndipo utaweza kushangaa sana....
Mtu anahoji jambo lililotokea miaka maelfu huko utadhani limetokea mwaka jana. hivi ni kweli hatujui kabisa kuwa kulikuwa na tofauti kubwa sana ya kimazingira na hali ya hewa kipindi kile na leo?
Hata hivyo,unapohoji na kujibu masuala ya ki-Biblia unapaswa ufikirie kwa namna ambayo siyo sawa na hii ambayo unaifikiria kwenye aisha ya kawaida kwasababu kuna mambo yaliyoko kwenye biblia ambayo hayawezekaniki kwa namna ya kawaida kwasababu mtendaji hafungwi na kanuni zinazokufunga wewe....
Sasa kama mtu anahoji namna wanyama wanaoishi kwenye mazingira fulani kuweza kuishi kwenye safina ambayo haina mazingira hayo huyo ni moja kwa moja anafungwa na kanuni ambazo aliyewafanya wanyama hao wakaishi kwenye safina hafungwi nazo....
Hilo ni sawa na kuhoji walichokuwa wanakula wanyama siku zote,yaani ni kichekesho kikubwa kabisa....
Hujui tu kuwa kuna mwanamama mmoja alitumia unga kidogo sana aliokuwa nao bila kuisha kwa siku mingi tu,jambo ambalo haliwezekaniki kwa akili zako za kawaida ambazo kwa kiwango kikubwa zimejengwa na mazingira na jamii yako na hivyo kuzifanya kuwa ziyo zako.....
Tunashindwa kuelewa hata mambo madogo kama haya,inasikitisha sana....
wewe ndio akiri yako imelala mafuriko ya dar unafananisha na mafuriko ya dunia zima hebu imagine mlima mrefu kuliko yote everest uwe under water then hayo maji yapotee tu ghafla lazima tuhoji yalienda wapi.Akili yako itakuwa imelala. Kila mwaka dar mvua ikinyesha kidogo tu ni mafuriko. Je ayo maji huwa yanaenda wapi?
Wewe ckujibu chchite. Dawa yako ni kukusonteshea kwa cc. faizy foxwewe ndio akiri yako imelala mafuriko ya dar unafananisha na mafuriko ya dunia zima hebu imagine mlima mrefu kuliko yote everest uwe under water then hayo maji yapotee tu ghafla lazima tuhoji yalienda wapi.