Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Maji ya kunywa ya Kilimanjaro lita 1.5 inauzwa sh. 1,000 mpaka sh. 1,200 kutokana na upandaji wa bei ya bidhaa mbalimbali.
Maji ya Afya sasa yameingia rasmi kaskazini mwa Tanzania ambapo lita 1.5 utaipata kwa sh. 600 mpaka 700 huku lita 1 ikipatika kwa sh. 500/=
Ukiwa na sh. 500 kwa kampuni ya Kilimanjaro utapata nusu lita wakati kwa Afya ni ukiwa na sh. 500 unapata lita 1 kamili.
Kwa bei hizo maji ya Kilimanjaro yameanza kukosa soko kwa mtaani kutokana na Wabongo kupenda bei rahisi lakini pia kwa siku za karibuni kumeluwa na malalamiko kuhusu ubora wa maji ya Kilimanjaro hivyo ujio wa Maji ya Afya ni kama umekuja kutikisa soko la maji ya Kilimanjaro.
Je Afya ataweza kumtikisa Kilimanjaro huko Kaskazini?