Maji ya kunywa ya Afya yanatishia soko la Maji ya Kilimanjaro huko Kaskazini mwa Tanzania

Wewe hata hujielewi.
Hiyo Hill water kupatikana kwake tu ni tatizo ndio aje amsumbue Kilimanjaro ambaye ni sehemu ya Cocacola?

Afya kanda ya kati na ziwa haitumiwi sana kama ilivyo Kili na maji mengine, Uhai kwa dodoma hapa yanauzwa 300 yes mia 3 hii sio bei ya jumla ni rejareja kwa wanaotembeza.

Nyanda za juu Afya amewashinda wengine wote na wana maji yao mfano Mkwawa na ya kutoka Njombe nimeyasahau jina ndio washindani wake
 
Na kuna brand mpya sokoni imeingia inachupa za plastiki aloo...wanauza lita moja 300 sijakalili jina lake tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…