Maji ya Mvua meusi

Maji ya Mvua meusi

Inawezekana wazungu au wachina kwa kutumia utaalamu wao wa technologia wakasukumia mamoshi yao ya viwandani kuja Africa maana kwa viwanda Tanzania na nchi nyingi za Africa hazijafikia hiyo level ya mpaka maji kuwa meusi ,although it sounds very funny but anything with technological advancement is possible.
 
Hayo maji yana impurities nyingi na si salama kwa afya ya binadamu. Kwa kawaida mvua hukusanya gases na fragments nyingi zinazoganda hewani na kushuka nazo chini. Hata yakiwa meupe haimaanishi ni salama kwa afya ya binadamu ila kutokana na mazoea yetu tunayatumiaga hivyo hivyo na kujisababishia matatizo umri unaposogea kidogo kuanzia 50's kama saratani etc.
Maji meusi ya mvua ni ishara tosha kuwa sumu ni nyingi so akili kumkichwa mkuu.
Comments kuanzia #1 hadi #7 ni utopolo mtupu, sijui Jf ya sasa imekuwaje!
Hongera mkuu umejibu seriously.
 
Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.

Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.

Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Bila kuwapa hayo maji wao watapima nini?
 
Madharau kiafya hamna ila madhara kiafya yapo
 
Hata sisi imetokea hii ishu mjini Kondoa
 
Hayo maji yana impurities nyingi na si salama kwa afya ya binadamu. Kwa kawaida mvua hukusanya gases na fragments nyingi zinazoganda hewani na kushuka nazo chini. Hata yakiwa meupe haimaanishi ni salama kwa afya ya binadamu ila kutokana na mazoea yetu tunayatumiaga hivyo hivyo na kujisababishia matatizo umri unaposogea kidogo kuanzia 50's kama saratani etc.
Maji meusi ya mvua ni ishara tosha kuwa sumu ni nyingi so akili kumkichwa mkuu.

Aisee,huwa napenda sana kunywa maji ya mvua nikiamini ni salama!duu kumbe
 
Maji ya mvua yanabeba bakteria, virus, parasites na kemikali mbalimbali zinazoweza kukufanya uumwe na hata kupelekea mlipuko wa magonjwa mbalimbali. Hatari ya kuumwa itategemea na eneo, kiasi cha mvua inayonyesha, majira/msimu na jinsi hayo maji unavyoyakusanya na utunzaji wake.
Kama utayakusanya kwa vyombo visafi alafu ukayatreat kwa dawa za maji yatafaa kwa matumizi ya binadamu. Unywaji wa maji ya mvua moja kwa moja wakati mvua inanyesha ni hatari zaidi. Nadhani umenielewa mkuu
 
Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.

Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.

Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
acha uongo,mie kwetu nzega pia hakuna hayo maji uliyosema,nahisi unavuta bangi
 
Hii elimu nzuri ndo nimeipata leo
Dawasco wanavyosumbua, nimetumia sana maji ya mvua kuogea.
Kuoga maji ya mvua direct when it rains kwaajili ya kuipata ile feeling of refreshment ni salama kabisa ila you mustn't treat it heavy yaani usikae kwenye mvua kwa muda mrefu maana utapata homa.
Kwa nyumbani ni bora kuwa na filters kama kwenye mifumo yako ya utiririkaji maji kutoka kwenye tank kuelekea bafuni na jikoni kuliko kuchota kwa kuingiza ndoo/chombo kwenye tank mara kwa mara na kwenda nayo bafuni au kuoshea vyombo kama hujaweka dawa ya maji coz hii hupelekea maji kutengeneza vijidudu mbalimbali na kuyaharibu which is obviously will lead to high risk of getting sick hata kutokea kwa milipuko ya magonjwa.
Yote juu ya yote itategemea na kiwango cha air pollution ya eneo ulilopo.
Kwa wewe ulipo pale ni safe😊
 
Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.

Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.

Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Mngeosha bati na sabuni. Kuna ishu ya corrosion pia kama mvua ilikuwa ni acidic, maana bati za siku hz ni vimeo.
 
Uko sawa. Hata hapa Mwanza nilikinga maji ya bati nikayaona ni meusi nikashangaa sana wakati hakuna uchafu kwenye bati kwa sababu wiki tatu mfululizo mvua inanyesha. Kuna tatizo gani.
 
Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.

Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.

Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Kuna ndugu yangu alniambiakuwa hata Masasi majuzi ilinyrsha mvua maji tangu kama ya Coca cola...nashangaa watu wanachukulia poa tu!
 
Back
Top Bottom