Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba usikinge mkuu, maji ya mvua yanasaidia sana kwa yale maeneo ambayo kuna uhaba mkubwa wa maji. Cha msingi nikuyadiscontaminate na kuwa salama kwa matumizi. Zipo water treatment machines, water chemical treatment ambazo unaweka kwenye maji na kuua vijidudu na kuondoa sumu na kuyatunza yasiharibike. Chemical hizi zinapatikana hata katika maduka ya kawaida Ila ni vyema kwenda Well Organised Pharmacies kwa ushauri juu ya dawa gani unapaswa kutumia.Duh asante sana kwa hii elimu, bas mimi siku zote nilikua najua maji ya mvua ni salama hivyo hua nakinga ya kunywa. kuanzia sasa sitakinga
Kwa tabora sawa, hata mm nilishashuhudia. Matumbaku yenu hayo