Comments kuanzia #1 hadi #7 ni utopolo mtupu, sijui Jf ya sasa imekuwaje!Hayo maji yana impurities nyingi na si salama kwa afya ya binadamu. Kwa kawaida mvua hukusanya gases na fragments nyingi zinazoganda hewani na kushuka nazo chini. Hata yakiwa meupe haimaanishi ni salama kwa afya ya binadamu ila kutokana na mazoea yetu tunayatumiaga hivyo hivyo na kujisababishia matatizo umri unaposogea kidogo kuanzia 50's kama saratani etc.
Maji meusi ya mvua ni ishara tosha kuwa sumu ni nyingi so akili kumkichwa mkuu.
Bila kuwapa hayo maji wao watapima nini?Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.
Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Madharau kiafya hamna ila madhara kiafya yapoWilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.
Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Hata sisi imetokea hii ishu mjini KondoaWilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.
Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Hayo maji yana impurities nyingi na si salama kwa afya ya binadamu. Kwa kawaida mvua hukusanya gases na fragments nyingi zinazoganda hewani na kushuka nazo chini. Hata yakiwa meupe haimaanishi ni salama kwa afya ya binadamu ila kutokana na mazoea yetu tunayatumiaga hivyo hivyo na kujisababishia matatizo umri unaposogea kidogo kuanzia 50's kama saratani etc.
Maji meusi ya mvua ni ishara tosha kuwa sumu ni nyingi so akili kumkichwa mkuu.
Hahahahaha jf.Hayo matumbaku mnayolima mnadhani moshi wake huwa unaenda wapi?
We upo wapi dogo??Sehemu zote maji ni meusi, hata mkoani kwetu.
Maji ya mvua yanabeba bakteria, virus, parasites na kemikali mbalimbali zinazoweza kukufanya uumwe na hata kupelekea mlipuko wa magonjwa mbalimbali. Hatari ya kuumwa itategemea na eneo, kiasi cha mvua inayonyesha, majira/msimu na jinsi hayo maji unavyoyakusanya na utunzaji wake.Aisee,huwa napenda sana kunywa maji ya mvua nikiamini ni salama!duu kumbe
acha uongo,mie kwetu nzega pia hakuna hayo maji uliyosema,nahisi unavuta bangiWilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.
Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Kuoga maji ya mvua direct when it rains kwaajili ya kuipata ile feeling of refreshment ni salama kabisa ila you mustn't treat it heavy yaani usikae kwenye mvua kwa muda mrefu maana utapata homa.Hii elimu nzuri ndo nimeipata leo
Dawasco wanavyosumbua, nimetumia sana maji ya mvua kuogea.
Mngeosha bati na sabuni. Kuna ishu ya corrosion pia kama mvua ilikuwa ni acidic, maana bati za siku hz ni vimeo.Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.
Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Kuna ndugu yangu alniambiakuwa hata Masasi majuzi ilinyrsha mvua maji tangu kama ya Coca cola...nashangaa watu wanachukulia poa tu!Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.