Ni ziwa Viktoria ndio limetapika, Wala hata Sio maji yaliyonguliwa Kutoka BWAWA la JNHP π€Ngoja nikae kimya narudi
Ukisikia njaa wakati wa mavuno ndio hii sasa,ohooo!
Tuvumiliane,Habari inakamilishwa na picha kama sio video kabisa!
Ni ziwa Viktoria ndio limetapika, Wala hata Sio maji yaliyonguliwa Kutoka BWAWA la JNHP π€
Lamadi sio WilayaSalaam,shalom,
Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo.
Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi wilayani Lamadi kutokana na maji ya ziwa kuongezeka na kufunika ardhi MITA Hadi SITA kuja juu hivyo kusababisha pasiwepo uwezekano wa kukanyaga ardhi KAVU bila kutumia mtumbwi.
Chakula, mazao pia yameharibiwa, Serikali ndio sisi, tutafute namna Bora ya kusaidia ndugu zetu.
Source: Global Online tv.
Karibuni π.
Ok, ni Wilaya ya Busega, Lamadi.Lamadi sio Wilaya
Kwa mvua kubwa zilizonyesha, hizo MITA 60 lazima zitakuwa zimefikiwa.Mi sijui kama kuna wilaya ya lamadi huku tanzania.
Kuhusu maji kuvamia nyumba na mashamba hilo siwezi liongelea maana binadamu wa siku hizi ni wabishi sana. Kwa ukame uliotokea kuanzia miaka ya 2005 mpaka 2018 ukanda wa guba ya spiki maji yalikuwa yakiacha eneo lake na kuwa nchi kavu. Hiyo ilifanya watu wengi kujimilikisha hayo maeneo kwa shughuri zao. Hata hivyo selikali ilikuwa ikiimbia watu waache umbali wa mita 60 kutoka ufukweni lakini watu hawakuelewa. Kuna ongezeko la maji sikatai ila nikwa asilimia ndogo sana ikilinganishwa na mwaka 1999 baada ya mvua za elimino. Kama watu wangetii ule utaratibu wa mita 60 kutoka fukwe ya mwaka 2000 hakuna ambaye angezurika na maji ya miaka hii. Pia watu wa ukanda wa kuanzia nyakasenge huku mwanza mpaka Lukungu huko lamadi hiyo huwa ni ghuba na huwa ni maji mafupi pia huwa hakuna mwinuko mkubwa kutoka ufukweni kwenda nchi kavu. Hivo ziwa likiongezeka kina cha mita 2 tu basi litakuwa limekula zaidi ya mita 50 kwenda nchi kavu
... Ziwa Victoria limeongezeka kina kuzidi records zote tangu 1960s!Mi sijui kama kuna wilaya ya lamadi huku tanzania.
Kuhusu maji kuvamia nyumba na mashamba hilo siwezi liongelea maana binadamu wa siku hizi ni wabishi sana. Kwa ukame uliotokea kuanzia miaka ya 2005 mpaka 2018 ukanda wa guba ya spiki maji yalikuwa yakiacha eneo lake na kuwa nchi kavu. Hiyo ilifanya watu wengi kujimilikisha hayo maeneo kwa shughuri zao. Hata hivyo selikali ilikuwa ikiimbia watu waache umbali wa mita 60 kutoka ufukweni lakini watu hawakuelewa. Kuna ongezeko la maji sikatai ila nikwa asilimia ndogo sana ikilinganishwa na mwaka 1999 baada ya mvua za elimino. Kama watu wangetii ule utaratibu wa mita 60 kutoka fukwe ya mwaka 2000 hakuna ambaye angezurika na maji ya miaka hii. Pia watu wa ukanda wa kuanzia nyakasenge huku mwanza mpaka Lukungu huko lamadi hiyo huwa ni ghuba na huwa ni maji mafupi pia huwa hakuna mwinuko mkubwa kutoka ufukweni kwenda nchi kavu. Hivo ziwa likiongezeka kina cha mita 2 tu basi litakuwa limekula zaidi ya mita 50 kwenda nchi kavu
Sukuma gang umekimbia kwenye hoja ya Samia ππOk, ni Wilaya ya Busega, Lamadi.
Una tafitii kigogo ndugu upate kushare nasi Kwa manufaa ya umma?... Ziwa Victoria limeongezeka kina kuzidi records zote tangu 1960s!
mimi ni mkazi wa kudumu Mwanza!
Acha ubaguzi,Sukuma gang umekimbia kwenye hoja ya Samia ππ
Ndio huko huko,si ndio njia ya kuelekea Mara