Maji yamenifika shingoni kwa huyu bidada

Nimekuelewa, shukrani
 
Tafuta pesa..mkiwa level sawa atakupenda tu pasi kutumia nguvu😎
Level ya pesa tunaweza lingana, na tunafanana professional, labda kwao inaweza ikawa kisanga kidogo.

Shida ni namteka kwa lipi, kabla ya Muonekano wangu?
 
Onyesha kumjali na itoke moyoni ..kujaliwa Sana Ni moja ya udhaifu wetu haswa mwanaume akiwa kwenye mawindo ya mtongozo.
 
I got you,
Pole pole ndio mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…