Maji yamenifika shingoni kwa huyu bidada

Maji yamenifika shingoni kwa huyu bidada

Hakuna uhusiano kati ya yeye kuwa busy na mambo yake na wewe kukubaliwa ama kukataliwa,ni vile itategemea na userious ulionao kwake na namna ya kumuonesha vile unamuhitaji....

Mie huwa naamini hakunaga mkate mgumu mbele ya chai,kama unamuhitaji pambana umpate

Kila la heri
Nimekuelewa, shukrani
 
Tafuta pesa..mkiwa level sawa atakupenda tu pasi kutumia nguvu😎
Level ya pesa tunaweza lingana, na tunafanana professional, labda kwao inaweza ikawa kisanga kidogo.

Shida ni namteka kwa lipi, kabla ya Muonekano wangu?
 
Level ya pesa tunaweza lingana, na tunafanana professional, labda kwao inaweza ikawa kisanga kidogo.

Shida ni namteka kwa lipi, kabla ya Muonekano wangu?
Onyesha kumjali na itoke moyoni ..kujaliwa Sana Ni moja ya udhaifu wetu haswa mwanaume akiwa kwenye mawindo ya mtongozo.
 
Onyesha kumjali na itoke moyoni ..kujaliwa Sana Ni moja ya udhaifu wetu haswa mwanaume akiwa kwenye mawindo ya mtongozo.
I got you,
Pole pole ndio mwendo
 
Back
Top Bottom