Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kama vip muunganishe aje kwako au na wewe una hela ?Ushaambiwa wanawake wenye pesa hawahitaji wanaume
Tafuta size yako ambae hautakua domo zege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vip muunganishe aje kwako au na wewe una hela ?Ushaambiwa wanawake wenye pesa hawahitaji wanaume
Tafuta size yako ambae hautakua domo zege
Khaaa, statement ya mwisho ndio imenihukumu hayo yote kumbe? Ngoja nifute.Itakuwa hela za huyo mwanamke ndo zinakubabaisha.
Unazilia timing Ila hujui umuingieje?
Mbona kwa mabinti huna mdomo Zege na mzigo unakula fresh hadi na bikra unatoa?
Shubaa-tree ( shubaamiti)
Sina hela wala pesa nna mafudhi tuKama vip muunganishe aje kwako au na wewe una hela ?
😀😀Broo nin mbaya??
Mi napolea kua mzinzi,
Yesu nilienae humjui wew..
Mi nimependa kweli, akinikubali namwambia na baba soon mwanae naowa.
Ukifanikiwa unikumbuke kwenye ufalme wako.Nashukuru kwa wazo lako.
Mimi nimeshachumbia. Sihitaji kupindua mezaSina hela wala pesa nna mafudhi tu
Jipigie debe na ww au sio mwanaume
Oky basi na shida zako rohoni mwakoMimi nimeshachumbia. Sihitaji kupindua meza
Ladies nisaidie kitu kimoja, hivi nyie huwa inatokea mna act hivi kwa mwanaume na bado hata akikutongoza unakubali? Japo mwanzo hukuonesha kabisa kutaka kujuana nae zaidi?
............................