Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Chawa wa Lissu una utoto sana but very soon akili zitawakaa sawa.Comment zako tu zinapaswa kukuonesha kwa namna gani CCM wame collapse ubongo wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa Lissu una utoto sana but very soon akili zitawakaa sawa.Comment zako tu zinapaswa kukuonesha kwa namna gani CCM wame collapse ubongo wako.
Huwezi kutoweka hizo right huko mwisho ukawa kama mtu wa kawaidakwahiyo huyo tapeli anataka kuulizwa maswali kulingana na anavyotaka yeye right?
kwamba akiulizwa swali tofauti na majibu ya marking scheme aloiandaa mfukoni, itakua soo sana, right?🐒
Hata hivyo ni mwanaCCM. Alionekana kamati kuu amevaa kijaniTatizo la Balile na Pasco Mayala wanauliza maswali ya kutaka kuifurahisha CCM
Nakubaliana na wewe mdau, nadhani hajaweza kutumia vizuri platform kujijenga badala yake anajiboa .Lissu hana uwezo wa kuuzua uchaguzi mkuu wa 2025 usifanyike.
Nilikupa tahadhari, kwa sababu kumbukumbu zangu kwako huko nyuma zinanikumbusha kuwa wewe uliwahi kuwa na matatizo kama haya unayo yaonyesha sasa hivi, kwa hiyo nilikuheshimu. Sasa hali yako hii mpya naona hakuna njia bali kukuchukulia kama ulivyo. Kwa hiyo uchizi wako utajibiwa hivyo hivyo.Wish you best of Luck with your illness!!
Exactly, na huu unafiki wetu unatugharim sanaNiliwahi kusema hapa kwamba unaweza kumuuliza Lissu swali kabla ya kulijibu swali akaanza kuchambua uhalali wa swali kwanza.
Upo sahihi, ni kweli 'tone' italeta mageuzi na mageuzi yenyewe yatatokea nyumbani kwako hapo ambapo mkeo atakukimbia kutokana na ukata........Wala tone wanaweza wakampokea bila shida ndugu yangu nyumbu.Wewe za kwako anatumia abdul kuhonga upinzani wacha mm nitoe tone likalete mageuzi
Hebu. Kula chuma hicho upone kichaa!!Nilikupa tahadhari, kwa sababu kumbukumbu zangu kwako huko nyuma zinanikumbusha kuwa wewe uliwahi kuwa na matatizo kama haya unayo yaonyesha sasa hivi, kwa hiyo nilikuheshimu. Sasa hali yako hii mpya naona hakuna njia bali kukuchukulia kama ulivyo. Kwa hiyo uchizi wako utajibiwa hivyo hivyo.
mke wangu akinikimbia nitakuchukua wewe uje u replace nafasi yake au unasemaje?Upo sahihi, ni kweli 'tone' italeta mageuzi na mageuzi yenyewe yatatokea nyumbani kwako hapo ambapo mkeo atakukimbia kutokana na ukata........Wala tone wanaweza wakampokea bila shida ndugu yangu nyumbu.
Changia tone dada'angu, watoto wanadaiwa ada ubelgiji hukomke wangu akinikimbia nitakuchukua wewe uje u replace nafasi yake au unasemaje?
Tukubaline kwanza basi mayasa.Changia tone dada'angu, watoto wanadaiwa ada ubelgiji huko
Lissu ana mihemko ya kitoto na ujuaji unamtesa sana!! Lissu ni aina ya watu wanakua wazuri wakiwa chini ya usimamizi fulani tofauti na hapo ni Janga kuu!!
Kazi niliyo baki nayo ni kukufahamisha tu kuwa wewe ni chizi, sina zaidi ya hapo!Hebu. Kula chuma hicho upone kichaa!!
Nimetoka Geita huko wananchi wanagalagala kwa shukrani juu ya hiki kitu……. Hii No Reform No Election CDM ya Lissu hawafiki nayo popote.Katika mjadala wa jana, Balile alijidhililisha sana. Sijui kwanini hakufanya 'research' ya anachouliza
Nadhani pia ushabiki ulimzidi kiasi kwamba aliuliza maswali kama mpita njia na si Mhariri
Balile hajui tofauti ya Ripoti ya Tume ya Mkandala, Sheria za uchaguzi na Katiba. Hajui regulations na Consitution ipi ina 'prevail' kukiwa na msuguano. Seriously!
Balile hatambui Watumishi wa Umma wapo chini ya Mtumishi namba moja, Rais. Anaelezwa kwamba sheria ya uchaguzi inasema '' mtumishi mwandamizi'' wa Umma anaweza kuteuliwa kusimamia uchaguzi akiwemo Mkurugenzi. Balile kang'ang'ani Wakurugezi
Balile anarudi hoja za vijiweni kwamba CHADEMA wanapewa pesa na Nchi za nje watakuwa ''Upinde''.
Balile hajui kuna USAID, NORAD, DANIDA n.k. zipo hapa kabla ya CCM haijazaliwa.
Ukimsikiliza maswali yake halafu ukaambiwa ndiye mwenyekiti wa Wahariri, unabaki na maswali mengi sana kuliko anayouliza . Kwa ufupi Balile ni ''Chawa' na alitumwa kama hakutumwa, basi ni shida! period
TAL alimgeuza mburula, yaani alijidhalilisha sana
JokaKuu
Kinachoshangaza zaidi ni kuwa, eti mhariri mzima wa chombo cha habari na tunaambiwa ndiye mwenyekiti wa wahariri wote wa vyombo vya habari Tanzania chini ya mwavuli wao uitwao TEF (Tanzania Editors Forum) eti hajui kuwa sheria yoyote inayotungwa na kupoka mamlaka ya katiba, sheria hiyo automatic inakuwa ni batili...Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Mkuu ccm wanaroga sana ,uyu tiyari tumeisha mpotezaUnaweza kupewa zawadi, ukituthibitishia utapeli wa Lissu hata wa kubahatisha. Vingeinevyo wewe unayemshambulia utabeba sifa hizo za utapeli, chuki na roho mbaya.