Majibizano kati ya Balile na Lissu: Nini maoni yako?

Tatizo lako unadhani kila anaye ingia JF anaingia kufanya ngonjera, ndiyo maana unajumuiasha watu bila kujuwa huyo unayemhusisha na sifa hizo anao msimamo gani. Hata kuelewa nilicho kudokeza hapo juu unashindwa, badala yake unarukia "utoto mwingi" bila hata ya kumbukumbu yoyote juu ya huyo unaye mjibu.
Narudia tena umejaa utoto kama hao wapuuzi wenzio!!
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
MAONI YANGU:
1. WAHARIRI WA TANZANIA WAPO KWENYE PAYROLL YA CCM NA SERIKALI ILIYOPO - BALILE NI 100%
2. WAHARIRI WETU HAWANA INFORMATION, HAWANA KNOWLEDGE YA MAMBO YANOYOTOKEA NCHINI - PASCAL MAYALA ALIULIZA MASWALI AMBAYO KILA MTU WA MTAANI ANGUKUPA MAJIBU YAKE. HATA BAADA YA MNYIKA KUJIBU MASWALI YAKE PASCKAL ALIBUTWAA WALA HAKUWA NA LA KUONGEZA NI AIBU SANA.
3. NAAMINI KUWA WAHARIRI WOTE HAWAJUI WANAPASWA KUMTUMIKIA NANI NA KAZI YAO NI NINI. WANAJUA SANA VIPENGERE AMBAVYO VINAMKANDAMIZA MWANANCHI NA KUVIPOTOSHA ZAIDI KUSAIDIA CCM NA UKANDAMIZAJI WA SERIKALI YAKE. DISGUSTING. UNAJUA HIYO MOTIVATION INATOKA WAPI? JIBU - UCHAWA. THESE ARE LIKE VULTURES, AND VULTURES ARE PATIENT BIRDS- WANANGOJEA TU MTU AFE WAPATE CHEO.
4. HATA HECHE ALVYOWAAMBIA MAUAJI YALIYOFANYWA NA CCM, WAHARIRI WALIKUWA HAWANA REMORSE, HAWAKUKUKMBUKA HATA MWEZAO YULE MHARIRI ALIULIWA RUFIJI (GWANDA), NA MWANGOSI KULE NYORORO MUFINDI. HAWA WAANDISHI MIMI NAWALINGANISHA KAMA PIGS & DOGS; HATA MALAYA AFADHALI, MAANA MALAYA HUKUMBUKA HATA WATOTO WAKE, HAWA WALA HAWAKUMBUKI KUWA MWANGOSI NA YULE GWANDA WALIKUWA WAHARIRI KAMA WAO NA WALIKUWA NA FAMILIA ZAO..

5. MWISHO: KUNATAKIWA REFORMS YA UHARIRI TANZANIA. SAFISA HAWA CHAWA- KILL THESE VULTURES
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Balile na wahariri wenzie machawa wa chama kijani
 
Sasa unataka tuanishze ligi hiyo ya "utoto" siyo? 'Lusugo, unajuwa unacho kitafuta kwangu?
Yaani anonymous unauliza natafuta nini kwako?? Huu ni utoto uliopita kipimo!
 
Hapo ndipo tunaiona tofauti kati ya Mbowe na Lissu.
Mbowe alikuwa kiongozi Lisu hakustahi kushika uenyekiti.
Sikushangaa alivyo alivyo wadhihaki waandishi wa habari...eti wanauliza maswali ya kipuuuzi!!!!!.......
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!

Lissu yupo vizuri kwenye kujibu maswali ,tatizo lake nililoliona ni kwamba ni short-tempered na vile vile ni yupo fasta ku compromise na nilichokiona kwa balile ni kwamba ana busara sana na rahisi kusamehe hatake vitu personal yaani baada ya Lissu kuomba msamaha balile akakubali yaishe hapo hapo na wakacheka sana as if hakuna kilichotoke.

Lissu inabidi ajicontrol kwenye hasira za ghafla ,ukiwa kiongozi inabidi uwe na busara sana hata kama umepigwa na kitu kizito.
 
Lissu ana busara sana. Kama umeangalia mkutano mzima utakubaliana na mimi kwenye hili.

Maswali ya Balile yalikuwa ya kijinga na kipuuzi sana na kama angekuwa mtu mwingine angeweza hata kumtukana.
 
Hauwezi kusema ni nonsense kwa watu ambao mnaheshimiana ,waandishi wa habari wanaoliza maswali ambayo ya kukutibua always ,wanauliza maswali usiyoyapenda....Mbona maswali mengine alikuwa anasema tujikite kwenye issue za uchaguzi tu na balile angemwambie tujikite kwenye maswali ya uchaguzi hayo yako tutayajibu tukiandaa press nyingine...ingetosha tu kuliko kumtukana kwamba balile ni mpuuzi.
 
Yaani anonymous unauliza natafuta nini kwako?? Huu ni utoto uliopita kipimo!
Basi sawa, acha nionyeshe "utoto" kwa mtu ambaye anadhihirisha wazi kuwa yeye ni chizi.ni
 
Tuma 'tone' ndugu watu wasomeshe watoto ubelgiji, habari za elimu achana nazo kwani hakuna chochote ukijuacho kuhusu elimu na hiyo elimu yenyewe Iko mbali mno na wewe!!
Wewe za kwako anatumia abdul kuhonga upinzani wacha mm nitoe tone likalete mageuzi
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Yaani wakati naangalia nikaona aibu mimi.
Yule demu wa Balile anayitwa S.... alivyo na akili, nadhani alisikitika sana kwa kuwekwa wazi kwa ukilaza na uchawa wa Balile.

Aibu sana.
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
LIssu hoja kudhaa kuthibitisha hoja kuu no reforms, no election hizo ndizo zinatakiwa zaidi kuhojiwa sasa mambo kama mama ana huruma nk. yanajibuje hizo hoja? Hoja ka kuengua wagombea wa upinzani unaihusisha vipi na huruma, hisani?
 
Lissu yupo vizuri kwenye kujibu maswali ,tatizo lake nililoliona ni kwamba ni short-tempered na vile vile ni yupo fasta ku compromise na nilichokiona kwa balile ni kwamba ana busara sana na rahisi kusamehe hatake vitu personal yaani baada ya Lissu kuomba msamaha balile akakubali yaishe hapo hapo na wakacheka sana as if hakuna kilichotoke.

Lissu inabidi ajicontrol kwenye hasira za ghafla ,ukiwa kiongozi inabidi uwe na busara sana hata kama umepigwa na kitu kizito.
Lissu ana mihemko ya kitoto na ujuaji unamtesa sana!! Lissu ni aina ya watu wanakua wazuri wakiwa chini ya usimamizi fulani tofauti na hapo ni Janga kuu!!
 
Back
Top Bottom