Majibizano kati ya Balile na Lissu: Nini maoni yako?

Majibizano kati ya Balile na Lissu: Nini maoni yako?

kwahiyo huyo tapeli anataka kuulizwa maswali kulingana na anavyotaka yeye right?

kwamba akiulizwa swali tofauti na majibu ya marking scheme aloiandaa mfukoni, itakua soo sana, right?🐒
No reforms no election, hakuna chawa yeyoye wa kijani atakayeuliza swali la maana kwa mwenyekiti lisu
 
Chadema wakati mwingine huwa wanachekesha sana, wako kama watoto wa chekechea mambo yao. Unaweza ukakutana na bonge la Uzi, ikifungua humo ndani unakutana na shangwe la wanachadema wote wa jf wakifurahi na kushangilia kwa nguvu eti kiongozi mmoja wa ccm kakohoa na kutema kohozi......yuck!!!!
Level yako ya elimu ndogo huwezi kujadili uzi huu
 
Lissu hapendi kuulizwa maswali magumu, kwa kifupi alichofanya ni kumkatisha katisha Balile na kutoa maelezo nje ya maswali ya Balile. Nimeshtushwa sana kama akiwa mwenyekiti wa chama hapendi kuulizwa akiwa kiowa rais itakuaje? Jamaa ni dikteta
Ndilo uliloliona hilo?
 
No such thing as a Stupid Question...., though it can be offtopic...
 
Balile aliwahi kutajwa tena kwenye hadhara na raisi Samia kuwa hupokea "hisani" kutoka kwake. Ninashangaa kuwa mpaka leo baada ya kutajwa kupokea "hisani" bado ni M/kiti wa jukwaa la wahariri. Tanzania 🇹🇿 tunachukulia mambo yenge madhara makubwa kirahisi sana. Ndio tunayaona sasa!
 
unaustable gani hadi anakataa kuulizwa swali kadiri aonavyo muandishi, mpka analazimisha uulizwe kulingana na marking scheme ya majibu ulonayo?

mtu anababaika hana majibu ya maswali magumu, mwingine anakurupuka ati muandishi anapelekeshwa na aneastahili kujibu maswali 🐒
Lissu hawezi kushinda nafasi ya mwenyekiti wa CDM, anawafuasi mitandaoni tu lkn si wapiga kura Tlaatlaah kipindi cha uchaguzi wa CDM.
 
Lissu hapendi kuulizwa maswali magumu, kwa kifupi alichofanya ni kumkatisha katisha Balile na kutoa maelezo nje ya maswali ya Balile. Nimeshtushwa sana kama akiwa mwenyekiti wa chama hapendi kuulizwa akiwa kiowa rais itakuaje? Jamaa ni dikteta
Tatizo Balile anamuuliza Lisu maswali nje ya mada na hivyo anampa point za bure Lisu. Ndio maana Lisu amemwambia akitaka aandae siku nyingine mjadala kuhusiana na masuala anayouliza.
 
Kiongozi, watanzania tuna shida sana. Balile amejitahidi sana kuwa professional anajitahidi asiegemee upande wa chama chake ili kutengeneza credibility ya mahojiano, kumbe tena sisi tunataka alumbane?

Kwa maoni yangu amejitahidi kuwa fair, maswali mengi ameuliza yako objective ili kuset tone pamoja na kumpa uwanja Mhe TAL kuuza sera yake na chama chake. Ni maswali ambayo baadhi ya wananchi na wafuasi wanajiuliuza.

What else did we expect kutoka kwa mwanahabari? Je tulitaka amshinde TAL? Then What?
Maswali yake tu,yalibeba taswira nzima ya uchama.
 
Tangu nimjue Lissu namjua kwa sifa moja kuu. Ni researcher mzuri sana wa Mambo na msomaji sana wa ripoti, vitabu, sheria na taarifa mbalimbali.

Ukienda kumuhoji inabidi ujipange kweli.

Waandishi wa Tanzania wengi wataonekana vilaza wakimuhoji Lissu kwa sababu wengi kama sio wote sio wasomaji na researchers
 
Lissu hapendi kuulizwa maswali magumu, kwa kifupi alichofanya ni kumkatisha katisha Balile na kutoa maelezo nje ya maswali ya Balile. Nimeshtushwa sana kama akiwa mwenyekiti wa chama hapendi kuulizwa akiwa kiowa rais itakuaje? Jamaa ni dikteta
We kula kulala utamuweza Lissu?
 
Wewe ni mwongo mkubwa!!
Lissu hapendi kuulizwa maswali magumu, kwa kifupi alichofanya ni kumkatisha katisha Balile na kutoa maelezo nje ya maswali ya Balile. Nimeshtushwa sana kama akiwa mwenyekiti wa chama hapendi kuulizwa akiwa kiowa rais itakuaje? Jamaa ni dikteta

Ni swali gani la Balile ambalo Lisu hakulijibu?
 
Sema Balile hakuwa focused kwenye mjadala wa leo kama moderator hilo lilimpa advantage Lissu kumpiga za uso
 
Waandishi wetu mara nyingi maswali yao yanakuwa kama wanauliza kwa ajili yao, sio kwa ajili ya mlaji wa mwisho.
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Yaani Mimi nimefurahi sana Balile kuchezeshwa hivyo. Lissu ni mhuni, Mropokaji na Kichaa. Sasa kama una akili timamu unawezaje kuhojiana na mtu kama huyo? Kiherehere chake Balile kimemponza.
 
yaani hapo mashindano ya mbingu na ardhi yanatoka wapi kwa mfano gentleman?

yaani unahojiwa na huku imejipanga kushindana? kivipi sasa?🤣

ni muhimu kujibu maswali kwa umahiri bila kua na marking scheme ambayo muuliza swali akienda tofaut na majibu yako unaanza kumrejesha aulize swali kulingana na majibu ya kwenye marking scheme 🐒


Wewe kweli hazimo!!

Ebu orodhesha hapa maswali ya Balile ambayo Lisu alikataa kuyajibu.

Lisu hakukataa kujibu swali lolote, lakini kuna maeneo alikuwa anamfundialshe Balile kwa sababu alikywa amejenga swali kwenye msingi wa ukosefu wa uelewa, na hapo Lisu amefanya jambo sahihi.

Ni sawa na mtu akuulize:

Mwaka 1975, wakati Tanzania inapata uhuru, kulikuwa na graduates wangapi? Utaanza kujibu swali hilo kabla ya kumrekebisha muuliza swali? Lazima umrekebishe, ukijibu kama lilivyoulizwa, utakuwa nawewe huna uelewa kama muuliza swali. Kwenye swali hilo, huwezi kuwa na uhakika kama muuliza swali alikuwa anataka kujua idadi ya graduates wakati Tanganyika inapata uhuru mwaka 1961, au idadi ya graduates nchini Tanzania mwaka 1975.
 
Back
Top Bottom