Majibizano kati ya Balile na Lissu: Nini maoni yako?

Majibizano kati ya Balile na Lissu: Nini maoni yako?

Yaani Mimi nimefurahi sana Balile kuchezeshwa hivyo. Lissu ni mhuni, Mropokaji na Kichaa. Sasa kama una akili timamu unawezaje kuhojiana na mtu kama huyo? Kiherehere chake Balile kimemponza.

Wewe mtoto taahira, usidhani humuwapowatu wanaofanana na wewe. Waambie wazazi wakupeleke hospitali zinazowasaidia watoto wenye utindio wa ubongo, inaweza kukusaidia kiasi.

Pole sana kwa hayo maradhi ya akili.
 
Wewe kweli hazimo!!

Ebu orodhesha hapa maswali ya Balile ambayo Lisu alikataa kuyajibu.

Lisu hakukataa kujibu swali lolote, lakini kuna maeneo alikuwa anamfundialshe Balile kwa sababu alikywa amejenga swali kwenye msingi wa ukosefu wa uelewa, na hapo Lisu amefanya jambo sahihi.

Ni sawa na mtu akuulize:

Mwaka 1975, wakati Tanzania inapata uhuru, kulikuwa na graduates wangapi? Utaanza kujibu swali hilo kabla ya kumrekebisha muuliza swali? Lazima umrekebishe, ukijibu kama lilivyoulizwa, utakuwa nawewe huna uelewa kama muuliza swali. Kwenye swali hilo, huwezi kuwa na uhakika kama muuliza swali alikuwa anataka kujua idadi ya graduates wakati Tanganyika inapata uhuru mwaka 1961, au idadi ya graduates nchini Tanzania mwaka 1975.
kumbe ufinyu wa IQ ni tatizo kubwa kiasi hiki kwenye mambo haya dah 🤣
 
Wewe mtoto taahira, usidhani humuwapowatu wanaofanana na wewe. Waambie wazazi wakupeleke hospitali zinazowasaidia watoto wenye utindio wa ubongo, inaweza kukusaidia kiasi.

Pole sana kwa hayo maradhi ya akili.
Ahahahahaha!
 
Kiongozi,

Hizi tafsiri siyo sahihi, Ameulizwa maswali objective sana, kapewa muda wa kuweka hoja zake vizuri (kumbuka lissu ni mjenga hoja mzuri) maana yake maswali haya yatamsaidia zaidi kuisogeza no reform vizuri zaidi kwa wananchi. Sasa ulitaka Balile amhoji kivipi zaidi. Bahati mbaya hata Mhe TAL kuna muda alitaka kujifany smart zaidi (jambo ambalo linajulikana kuwa yuko smart) kama ambavyo wewe unafanya kosa hilo. Kumbuka politcs is about winning all groups na bahati mbaya hao smart ni wachache sana. Kundi kubwa ni la kati na hawana shida na getting facts right.

Kwa maoni yangu nafikiri balile ametenda haki. Hizi ndio platforms muhimu, mkiwabagaza hivi wanahabari you are missing a huge opprtunity.

Taarifa ya REDET chini prof Mkandala, ilithibitisha kuwa wanahabari wote ni machawa ya ccm.

hata maswali waliokuwa wakiuliza hao wanahabari yalithibitisha hilo, walionesha walikoegemea
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Washazoea mikutano yao ambako wanapewa maswali na kuuliza.
In short waandishi wa habari Tanzania ni janga! Imekaa makanjanja wengi sana
 
Lissu hapendi kuulizwa maswali magumu, kwa kifupi alichofanya ni kumkatisha katisha Balile na kutoa maelezo nje ya maswali ya Balile. Nimeshtushwa sana kama akiwa mwenyekiti wa chama hapendi kuulizwa akiwa kiowa rais itakuaje? Jamaa ni dikteta
Kwahiyo na Samia ni dikteta? Angalau Lissu akubali kuulizwa ila Samia hajawahi hata kuita waandishi wa habari.
 
We jamaa una ugonjwa wa akili. Unahitaji tiba ama utaokota makopo.
Kinacho nishangaza mimi ni kukuona wewe ukiwa mgonjwa zaidi ya huyo unaye msema hapa. Mshangao wangu unazidi kuwa mkubwa kwa kushindwa kujuwa huu ugonjwa ulikuingia lini, maanake kumbukumbu zangu za muda mrefu ni kuwa 'Lusungo' hakuwa hivi alivyo sasa.
 
Mimi sio mfuasi wa TL. Mie ni mfuasi wa Haki na Utawala Bora.

Hata wewe ukitumia akili yako vizuri kutetea Haki na Utawala Bora nitakuunga mkono.
huna lolote we hayawani kama sio Lissu mwenyewe basi nanii yake
 
Kinacho nishangaza mimi ni kukuona wewe ukiwa mgonjwa zaidi ya huyo unaye msema hapa. Mshangao wangu unazidi kuwa mkubwa kwa kushindwa kujuwa huu ugonjwa ulikuingia lini, maanake kumbukumbu zangu za muda mrefu ni kuwa 'Lusungo' hakuwa hivi alivyo sasa.
Mna utoto mwingi sana!! Kichaa kinawanyemelea!!
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
balile ameshakuwa mwijaku
 
Hata Pascal Mayala kaeleza kuwa Balile ameburuzwa na Lissu
 
Mna utoto mwingi sana!! Kichaa kinawanyemelea!!
Tatizo lako unadhani kila anaye ingia JF anaingia kufanya ngonjera, ndiyo maana unajumuiasha watu bila kujuwa huyo unayemhusisha na sifa hizo anao msimamo gani. Hata kuelewa nilicho kudokeza hapo juu unashindwa, badala yake unarukia "utoto mwingi" bila hata ya kumbukumbu yoyote juu ya huyo unaye mjibu.
 
Balile analeta habari za sheria mpya iliyounda kile CCM wanachohadaa wananchi kuwa ni tume huru ya uchaguzi, Lissu anamwambia kuwa katiba ya sasa bado inatambua muundo wa tume ya zamani ya uchaguzi, kwa hiyo kwa kuwa katiba ndiyo sheria mama, basi hiyo sheria mpya ya sasa ni useless.
 
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.

Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣

Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣

Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.

Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Akili zao ziko CCM, nimeona nikacheka sana sana, nawashauri hawa waandishi uchwara wakienda kwa Lissu wawe wamelewa ili baadae wailaumu pombe
 
Back
Top Bottom