Kiongozi, watanzania tuna shida sana. Balile amejitahidi sana kuwa professional anajitahidi asiegemee upande wa chama chake ili kutengeneza credibility ya mahojiano, kumbe tena sisi tunataka alumbane?
Kwa maoni yangu amejitahidi kuwa fair, maswali mengi ameuliza yako objective ili kuset tone pamoja na kumpa uwanja Mhe TAL kuuza sera yake na chama chake. Ni maswali ambayo baadhi ya wananchi na wafuasi wanajiuliuza.
What else did we expect kutoka kwa mwanahabari? Je tulitaka amshinde TAL? Then What?