Majibizano kati ya Balile na Lissu: Nini maoni yako?

kwahiyo huyo tapeli anataka kuulizwa maswali kulingana na anavyotaka yeye right?

kwamba akiulizwa swali tofauti na majibu ya marking scheme aloiandaa mfukoni, itakua soo sana, right?🐒
Huwezi kutoweka hizo right huko mwisho ukawa kama mtu wa kawaida
 
Wish you best of Luck with your illness!!
Nilikupa tahadhari, kwa sababu kumbukumbu zangu kwako huko nyuma zinanikumbusha kuwa wewe uliwahi kuwa na matatizo kama haya unayo yaonyesha sasa hivi, kwa hiyo nilikuheshimu. Sasa hali yako hii mpya naona hakuna njia bali kukuchukulia kama ulivyo. Kwa hiyo uchizi wako utajibiwa hivyo hivyo.
 
Niliwahi kusema hapa kwamba unaweza kumuuliza Lissu swali kabla ya kulijibu swali akaanza kuchambua uhalali wa swali kwanza.
Exactly, na huu unafiki wetu unatugharim sana
Tuwe wa kweli hata kama unauma ili tuwe huruuu
 
Wewe za kwako anatumia abdul kuhonga upinzani wacha mm nitoe tone likalete mageuzi
Upo sahihi, ni kweli 'tone' italeta mageuzi na mageuzi yenyewe yatatokea nyumbani kwako hapo ambapo mkeo atakukimbia kutokana na ukata........Wala tone wanaweza wakampokea bila shida ndugu yangu nyumbu.
 
Balile is unnecessarily and gratuitously arrogant.

One is allowed to be arrogant, justifiably so. That is not a problem.

But what is not allowed is being unnecessarily and gratuitously arrogant.

One is allowed to be stupid. One is allowed to be loud.

Tundu Lissu is loud and clever. That is allowed.

However, one is not allowed to be both loud and stupid.

Balile is loud and stupid.
 
Hebu. Kula chuma hicho upone kichaa!!
 

Attachments

  • IMG_2206.jpeg
    1.1 MB · Views: 1
Upo sahihi, ni kweli 'tone' italeta mageuzi na mageuzi yenyewe yatatokea nyumbani kwako hapo ambapo mkeo atakukimbia kutokana na ukata........Wala tone wanaweza wakampokea bila shida ndugu yangu nyumbu.
mke wangu akinikimbia nitakuchukua wewe uje u replace nafasi yake au unasemaje?
 
Lissu ana mihemko ya kitoto na ujuaji unamtesa sana!! Lissu ni aina ya watu wanakua wazuri wakiwa chini ya usimamizi fulani tofauti na hapo ni Janga kuu!!

Kabisa akiwa chini ya mtu ni easy kubehave ,hata mimi sikupenda alivyomwambia balile ni nonsense.
 
Katika mjadala wa jana, Balile alijidhililisha sana. Sijui kwanini hakufanya 'research' ya anachouliza
Nadhani pia ushabiki ulimzidi kiasi kwamba aliuliza maswali kama mpita njia na si Mhariri

Balile hajui tofauti ya Ripoti ya Tume ya Mkandala, Sheria za uchaguzi na Katiba. Hajui regulations na Consitution ipi ina 'prevail' kukiwa na msuguano. Seriously!

Balile hatambui Watumishi wa Umma wapo chini ya Mtumishi namba moja, Rais. Anaelezwa kwamba sheria ya uchaguzi inasema '' mtumishi mwandamizi'' wa Umma anaweza kuteuliwa kusimamia uchaguzi akiwemo Mkurugenzi. Balile kang'ang'ani Wakurugezi

Balile anarudi hoja za vijiweni kwamba CHADEMA wanapewa pesa na Nchi za nje watakuwa ''Upinde''.
Balile hajui kuna USAID, NORAD, DANIDA n.k. zipo hapa kabla ya CCM haijazaliwa.

Ukimsikiliza maswali yake halafu ukaambiwa ndiye mwenyekiti wa Wahariri, unabaki na maswali mengi sana kuliko anayouliza . Kwa ufupi Balile ni ''Chawa' na alitumwa kama hakutumwa, basi ni shida! period

TAL alimgeuza mburula, yaani alijidhalilisha sana

JokaKuu
 
Nimetoka Geita huko wananchi wanagalagala kwa shukrani juu ya hiki kitu……. Hii No Reform No Election CDM ya Lissu hawafiki nayo popote.
 

Attachments

  • IMG_2206.jpeg
    1.1 MB · Views: 1
Kinachoshangaza zaidi ni kuwa, eti mhariri mzima wa chombo cha habari na tunaambiwa ndiye mwenyekiti wa wahariri wote wa vyombo vya habari Tanzania chini ya mwavuli wao uitwao TEF (Tanzania Editors Forum) eti hajui kuwa sheria yoyote inayotungwa na kupoka mamlaka ya katiba, sheria hiyo automatic inakuwa ni batili...

Ndivyo ilivyo sheria ya kile kinachoitwa TUME HURU YA UCHAGUZI ambayo inajifanya kusema kuwa Rais atateua wajumbe baada ya majina kadhaa kupendekezwa na sijui kamati ya usaili lakini wakati huohuo katiba ikisema kinyume chake na Balile anashindwa kuwa na ufahamu mdogo tu kuwa ktk mazingira hayo, katiba ina - prevail juu ya sheria ya dizaini hiyo...!

Cha ajabu Balile anatetea hilo na kusifu kabisa kuwa liko sawa na Rais Samia ameleta mabadiliko ya ki uchaguzi kupitia sheria hiyo. That's actually nonsense from Balile...

Na huyu eti ndiye mhariri wa chombo fulani cha habari. Sasa untegemea chombo chake kinaweza kuandika au kurusha habari gani kama sio upotofu mtupu..??
 
Unaweza kupewa zawadi, ukituthibitishia utapeli wa Lissu hata wa kubahatisha. Vingeinevyo wewe unayemshambulia utabeba sifa hizo za utapeli, chuki na roho mbaya.
Mkuu ccm wanaroga sana ,uyu tiyari tumeisha mpoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…