mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Aisee yaan Ni shida mkuuUmempatia sana huyo dem na hivyo ndio inavyotakiwa. Tena siku moja mkumbushe kwamba alikutukata saa hio upo juu ya kifua chake na hogo lako limezama ndani ya papuchi yake, shwain
NdioKwahy unajitafunia mke wa mtu?
Kero ni usipojibiwa hata salam.
The rest kawaida sana
π π' Swezi kukupa namb yng ya simu. We sema tu shida yako '
Nikipewa jibu la aina hii, siendelei kutongoza NG'OOOOOO
'Ninamtu wangu ' - Siendelei piaa
'Siwez kuwa na wewe '- Hapa naendelea tena bila wasiii..
Nikituma text mbili, moja asbh nyingne jion af zisijibiwe. Nafuta na namba. Nasonga mbelee ( in Magu voic )
π π π na bado mpoKwa wanaofahamu Moshi, kwenye purukushani za kutongoza demu. Nilianzia soko la Mbuyuni mpaka anafika kwao Soweto kwa Hatco naongea mwenyewe pumbaf! Hii siisahau kabisa then jua lilikuwa kalii mchana kukatiza uwanja wa ndege daaah!
Siku ya pili pia kimyaa, ya tatu akaanza kunijibu mkato na kwa ukali lakini mzee nimo!
Ya nne na kuendelea tukaanza kuongea na nikafanikiwa kumpata!
Watoto wa Soweto mikono juuu hahahaa
Hauna tofauti na hizi earphone ninazosikilizia muziki muda huuSijui vijana wa siku hizi mnakwama wapi tu hadi wanawake wanakuwa na jueri ya kuwatazama juu hadi chini kisha kuwatamkia maneno ya kishenzi kama hayo........enzi zetu mwanamke alikuwa hana ubavu wa kukutazama machoni hata kwa sekunde 10 tu, ukimbananisha sana atakwambia "nitakujibu kwa barua" na kweli jioni yake barua italetwa na mdogo wake au rafiki yake kwamba umekubaliwa ombi lako, mwisho wa barua amechora kopa [emoji175] halafu ka mshale kamekatiza ndani yake, akiwa na maana kuwa amekupa moyo wake lakini usimuumize
π π π dohHuyu binti yupo humu JF nishamuona akiposti anatumia picha na jina og.
Wakati tupo o level aliniambia nifuate jibu Jmosi. Jmosi nikamkuta na rafiki yake, nikamuomba rafiki yake atuache wawili, mtongozwaji akagoma.
So ikabidi niendelee huku best yake yupo pale.
Mimi: Ndiyo nimekuja, ulisema nikutafute Jmosi.
Yeye: Tuliongea nini?
Mimi: Umesahau?
Yeye: Ndiyo, nikumbushe.
Mimi: Jumatano tu na leo umeshasahau?
Yeye: Ndiyo, unanichelewesha. Irene tuondoke.
Mimi: Basi nakukumbusha. Nilisema nakupenda ukasema utanijibu Jmosi.
Yeye: Aaah ndiyo. Kwahiyo umekuja kuchukua jibu lako?
Mimi: Ndiyo.
Yeye: Mi nimemuuliza kaka ameniambia nyinyi wanaume hua mnawatia watu mimba halafu mnawakimbia..
Mimi: Sa mbona mi sijasema kama nataka kukupa mimba?
Yeye: Amesema ndiyo mnavyosema hivyo hivyo. Kama unaweza kaongee naye ili nikukubalie.
Hahaha I hope 'P' utaona hapa na utakumbuka ulichonifanyia
πΆπΆπMademu waliokua wakinidharau enzi zangu Nilikua nawakazia kwa kila njia sasa ajichanganye kun accept basi jehanamu ya cheni na wanangu 7 au watano lazima tumtafune
Hayo ndy yalikua malipo ya usumbufu na dharau zake kwangu
Nilikua nafurahi sana moyoni kwa kuwafanyia hicho kitendo
#God 4give me for my sins