Majibu gani ya kukera umewahi kukutana nayo katika kutongoza?

Majibu gani ya kukera umewahi kukutana nayo katika kutongoza?

Kwa wanaofahamu Moshi, kwenye purukushani za kutongoza demu. Nilianzia soko la Mbuyuni mpaka anafika kwao Soweto kwa Hatco naongea mwenyewe pumbaf! Hii siisahau kabisa then jua lilikuwa kalii mchana kukatiza uwanja wa ndege daaah!

Siku ya pili pia kimyaa, ya tatu akaanza kunijibu mkato na kwa ukali lakini mzee nimo!

Ya nne na kuendelea tukaanza kuongea na nikafanikiwa kumpata!

Watoto wa Soweto mikono juuu hahahaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauna tofauti na hizi earphone ninazosikilizia muziki muda huu
Tatizo wanawaonaga na nyie ni kama wao tu, we mtoto wa kiume umefungasha tako la kubinuka halafu unavaa suruali imekubana tako lote linaonekana, muda wote umeweka earphone masikioni, umetoboa sikio, unajipodoa kama yeye wakati mwingine unavaa tisheti zinazofanana na blauzi anayovaa yeye, simu yako umeweka cover yenye urembo wa midoli kama ya kwake.....unadhani ukimtongoza mwanamke atakujibu nini sasa
 
Sijui vijana wa siku hizi mnakwama wapi tu hadi wanawake wanakuwa na jueri ya kuwatazama juu hadi chini kisha kuwatamkia maneno ya kishenzi kama hayo........enzi zetu mwanamke alikuwa hana ubavu wa kukutazama machoni hata kwa sekunde 10 tu, ukimbananisha sana atakwambia "nitakujibu kwa barua" na kweli jioni yake barua italetwa na mdogo wake au rafiki yake kwamba umekubaliwa ombi lako, mwisho wa barua amechora kopa [emoji175] halafu ka mshale kamekatiza ndani yake, akiwa na maana kuwa amekupa moyo wake lakini usimuumize
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti ntakujibu kwa barua daaamn!!
 
Tatizo wanawaonaga na nyie ni kama wao tu, we mtoto wa kiume umefungasha tako la kubinuka halafu unavaa suruali imekubana tako lote linaonekana, muda wote umeweka earphone masikioni, umetoboa sikio, unajipodoa kama yeye wakati mwingine unavaa tisheti zinazofanana na blauzi anayovaa yeye, simu yako umeweka cover yenye urembo wa midoli kama ya kwake.....unadhani ukimtongoza mwanamke atakujibu nini sasa
Ok saa hii hauna tofauti na kiroba cha uchafu cha nyumba za kupanga.
 
Samtaimz

Katika harakati za kusaka vipochi manyoya huwa tunakutana na miiba, ingawaje baadhi yao mwisho wake huwa tunafanikiwa lakini mwanzo unakuwa mgumu.

Sitosahau siku moja nilipomtongoza mwanamke mmoja (LIVE) mbele ya macho yake. Jibu alilonipa mpaka mzee mwenyewe akalala.

"Kalale kwanza na mama yako ndio uje unitongoze mbwa wewe" - Halafu ilo neno alilitamka live mimi nimepunguza ukali wa maneno tuuu.... Aisee

Baada ya wiki mbili tatu hivi nikaona huu ni ujinga ngoja nimuendee tena na tena maana kwa dharau hii ntafanya juu chini nimpate.

Nashkuru bwana, mpaka sasa asipoona mesg yangu lazma anipigiue sim,,,,, ameolewa lakini hataki nimuache ng'oooo

JE?
MAJIBU GANI YA KUKERA UMEWAHI KUKUTANA NAYO KATIKA KUTONGOZA?
Nilie nae ni mtanashat kuliko ww na anakaz ya maana kuliko ww kitandan ndio usiseme kwahy my broo nisikupotezee muda labda nikusaidie kutafuta ki ukwel nilisimama nikajiangalia vip haja ndogo imetoka

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Ok saa hii hauna tofauti na kiroba cha uchafu cha nyumba za kupanga.
Maliza matusi yote lakin wanawake ndio wanavyowaona nyie kama wao sasa sijui unapinga nini, naona umepaniki sana bwana mdogo kwa kuwa nimekupatia mule mule
 
Maliza matusi yote lakin wanawake ndio wanavyowaona nyie kama wao sasa sijui unapinga nini, naona umepaniki sana bwana mdogo kwa kuwa nimekupatia mule mule
Saa hii hauna tofauti na mwalimu wangu wa chekechea
 
Sijui vijana wa siku hizi mnakwama wapi tu hadi wanawake wanakuwa na jueri ya kuwatazama juu hadi chini kisha kuwatamkia maneno ya kishenzi kama hayo........enzi zetu mwanamke alikuwa hana ubavu wa kukutazama machoni hata kwa sekunde 10 tu, ukimbananisha sana atakwambia "nitakujibu kwa barua" na kweli jioni yake barua italetwa na mdogo wake au rafiki yake kwamba umekubaliwa ombi lako, mwisho wa barua amechora kopa [emoji175] halafu ka mshale kamekatiza ndani yake, akiwa na maana kuwa amekupa moyo wake lakini usimuumize

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu binti yupo humu JF nishamuona akiposti anatumia picha na jina og.

Wakati tupo o level aliniambia nifuate jibu Jmosi. Jmosi nikamkuta na rafiki yake, nikamuomba rafiki yake atuache wawili, mtongozwaji akagoma.

So ikabidi niendelee huku best yake yupo pale.

Mimi: Ndiyo nimekuja, ulisema nikutafute Jmosi.

Yeye: Tuliongea nini?

Mimi: Umesahau?

Yeye: Ndiyo, nikumbushe.

Mimi: Jumatano tu na leo umeshasahau?

Yeye: Ndiyo, unanichelewesha. Irene tuondoke.

Mimi: Basi nakukumbusha. Nilisema nakupenda ukasema utanijibu Jmosi.

Yeye: Aaah ndiyo. Kwahiyo umekuja kuchukua jibu lako?

Mimi: Ndiyo.

Yeye: Mi nimemuuliza kaka ameniambia nyinyi wanaume hua mnawatia watu mimba halafu mnawakimbia..

Mimi: Sa mbona mi sijasema kama nataka kukupa mimba?

Yeye: Amesema ndiyo mnavyosema hivyo hivyo. Kama unaweza kaongee naye ili nikukubalie.

Hahaha I hope 'P' utaona hapa na utakumbuka ulichonifanyia
Kwani mpaka saiz bado unamtaka mzee wangu😆😆😆😆
 
😆 😆 😆 kwani siaz huwezi kurekebisha makosa au kashakuwa mbovu hana maajabu?
Huyu ni miongoni mwa wale binadamu wasiozeeka.

Katika uzi wake wa utambulisho kuna member akamuambia atume picha na yeye akatuma kweli. Naona hajazeeka
 
Tatizo wanawaonaga na nyie ni kama wao tu, we mtoto wa kiume umefungasha tako la kubinuka halafu unavaa suruali imekubana tako lote linaonekana, muda wote umeweka earphone masikioni, umetoboa sikio, unajipodoa kama yeye wakati mwingine unavaa tisheti zinazofanana na blauzi anayovaa yeye, simu yako umeweka cover yenye urembo wa midoli kama ya kwake.....unadhani ukimtongoza mwanamke atakujibu nini sasa
Hapo bolded nimecheka sana. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom