Majibu gani ya kukera umewahi kukutana nayo katika kutongoza?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauna tofauti na hizi earphone ninazosikilizia muziki muda huu
Tatizo wanawaonaga na nyie ni kama wao tu, we mtoto wa kiume umefungasha tako la kubinuka halafu unavaa suruali imekubana tako lote linaonekana, muda wote umeweka earphone masikioni, umetoboa sikio, unajipodoa kama yeye wakati mwingine unavaa tisheti zinazofanana na blauzi anayovaa yeye, simu yako umeweka cover yenye urembo wa midoli kama ya kwake.....unadhani ukimtongoza mwanamke atakujibu nini sasa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti ntakujibu kwa barua daaamn!!
 
Ok saa hii hauna tofauti na kiroba cha uchafu cha nyumba za kupanga.
 
Nilie nae ni mtanashat kuliko ww na anakaz ya maana kuliko ww kitandan ndio usiseme kwahy my broo nisikupotezee muda labda nikusaidie kutafuta ki ukwel nilisimama nikajiangalia vip haja ndogo imetoka

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Ok saa hii hauna tofauti na kiroba cha uchafu cha nyumba za kupanga.
Maliza matusi yote lakin wanawake ndio wanavyowaona nyie kama wao sasa sijui unapinga nini, naona umepaniki sana bwana mdogo kwa kuwa nimekupatia mule mule
 
Maliza matusi yote lakin wanawake ndio wanavyowaona nyie kama wao sasa sijui unapinga nini, naona umepaniki sana bwana mdogo kwa kuwa nimekupatia mule mule
Saa hii hauna tofauti na mwalimu wangu wa chekechea
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani mpaka saiz bado unamtaka mzee wanguπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† kwani siaz huwezi kurekebisha makosa au kashakuwa mbovu hana maajabu?
Huyu ni miongoni mwa wale binadamu wasiozeeka.

Katika uzi wake wa utambulisho kuna member akamuambia atume picha na yeye akatuma kweli. Naona hajazeeka
 
Hapo bolded nimecheka sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…