Majibu kwa Lord Denning kuhusu tamko la TEC juu ya mkataba wa Uwekezaji kati ya Tanzania na Dubai

Amekuacha mbali sana, kajipange tena!!! Aibu naona mimi
 
Piga kelele wazirudishe hizo 60b ukikaa kimya haziwe kurudi, hata bandari tukikaa kimya inaondoka kama gesi na nbc bank
 
Kwa hiyo, ulitaka kama wanapokea 600B kwa mwaka toka serikalini wakiona jambo fulani halikukaa sawa wanyamaze kwa vile wanapokea hicho kiasi cha fedha na bado shule na hospitali zao gharama zipo juu..." Is it "rational/intelligent reasoning" hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…