Majibu kwa Lord Denning kuhusu tamko la TEC juu ya mkataba wa Uwekezaji kati ya Tanzania na Dubai

Amekuacha mbali sana, kajipange tena!!! Aibu naona mimi
 
Naomba kuulizia hivi hili kanisa ndiyo lile linaopokea takribani 600B kwa mwaka toka serikalini na bado shule na hospital zao gharama zipo juu hawaoni Kama IGA yao ndiyo mbaya zaidi kuliko hata ya Dp World? Na Kama nia yao ni Njema kweli kwa Taifa kwanini kwanza wasikatae hii dhulma Kubwa kwa Nchi yetu?

Lengo hapa siyo kubishana Ila kuwekana sawa tu
Piga kelele wazirudishe hizo 60b ukikaa kimya haziwe kurudi, hata bandari tukikaa kimya inaondoka kama gesi na nbc bank
 
Naomba kuulizia hivi hili kanisa ndiyo lile linaopokea takribani 600B kwa mwaka toka serikalini na bado shule na hospital zao gharama zipo juu hawaoni Kama IGA yao ndiyo mbaya zaidi kuliko hata ya Dp World? Na Kama nia yao ni Njema kweli kwa Taifa kwanini kwanza wasikatae hii dhulma Kubwa kwa Nchi yetu?

Lengo hapa siyo kubishana Ila kuwekana sawa tu
Kwa hiyo, ulitaka kama wanapokea 600B kwa mwaka toka serikalini wakiona jambo fulani halikukaa sawa wanyamaze kwa vile wanapokea hicho kiasi cha fedha na bado shule na hospitali zao gharama zipo juu..." Is it "rational/intelligent reasoning" hii?
 
Back
Top Bottom