Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

dudus
Mhe. Mnyika wewe ni jembe, 'A' tisa form four na DIVISION II form six katika mazingira uliyosomea, hakika unasitahiri heshima.

SASA TUNAMUOMBA NAPE PAMOJA NA HIZO MBA zake, awaeleze wanaJB matokeo yake ya form four na form six. Nape eti anataka kugombea ubunge jimbo la ubungo,...........NAPE WEWE NI KIBAYA CHA JIUZA HAKUNA KIJANA AU MTU MZIMA MWENYE MAPENZI NA NCHI ANAYEWEZA KUKUPIGIA KURA PALE JIMBO LA UBUNGO LABDA KWA MIUJIZA TU.
 
Last edited by a moderator:
Dah, Mnyika, umenikumbusha mbali sana. Wakati ukizungumza kwenye ule mkutano wako wa Nkrumah mwaka 2003 UD nilikuwemo kwenye ule ukumbi. Wakati huo mi ni kijana mdogo tu wa first year science biotech, sijui chochote wala lolote kuhusu siasa zaidi ya DNA, wewe ndo uliniinspire nianze kufatilia siasa.

Kitu cha wazi kabisa kilichoonekana wazi kwenye ule mkutano kuhusu Mnyika wakati akiongea, ni kwamba Mnyika is destined to be somebody great katika nchi hii. Amini amini nawaambieni, Mnyika ni one of rare politicians katika nchi yetu. Caliber yake ni aina za akina Nyerere. Kuna commenter mmoja hapo juu kaandika kwamba the guy is composed, poised and polished kwenye maandiko yake. This guy haishii hapo-- he is simply accomplished.

Unajua bana watu aina za akina Mnyika kwenye siasa ni sawa na akina Messi kwenye soccer. Wapinzani wa Messi mara zote huwa reduced tu ridicule wakati Messi anapopita katikati ya msitu wao na kuruka kwata zao huku akifunga goli. Sasa unashangaa sana unapoona Nape na wenzake eti wanataka kupambana na Mnyika. The guy kawazidi almost kila kitu cha thamani katika siasa za Tanzania. Ana akili wao hawana, ana charisma wao hawana, ana uzalendo wao hawana, ana uchungu wa kweli na nchi hii wao hawana, why can't they just shut up?
 
Last edited by a moderator:

t.ako la kushoto kazini
 
tunawaelimisha nyinyi mnaodhani kuwa mnyika ni mkombozi wenu wakati yeye mwenyewe ameshindwa kujikomboa
 

Wewe mjinga,

If it was the first world including the west, a man /boy with 9 A's would be taken very very serious, a Genius. Can be trained to any big school, surprising CCM as long as they don't have plan or the nation, obvious like your ranting, will not know how important kids like Mnyika are.

It is too long time, we need a change, our children who resembles such an intelligence and those who are willing to give thir opinions be given opportunities. This nation calls itself a 'changa'nation, but really is lready old. We need young people of Mnyika calibre.
 
kama mnyika elimu yake ni mbovu, then akawa na uwezo alionao tunaoushuhudia kwa macho na masikio, then naishauri serikali ifute mfumo wote wa elimu ili tufuate njia ya ukilaza wa mnyika, kama ulikusudia kumkashifu mie naona unamjenga zaidi.

just imagine kilaza mnyika ana mgalagaza profesa magembe.

kama mnyika ni kilaza basi maprofesa wa nchi hii ni vilaza zaidi kwani uwezo wao ni mdogo kuliko wa mnyika
 
 
du kumbe elimu si kitu, ebu wapeni mdahalo majembe na mnyika tuone kati ya elimu makaratasi na elimu jamii ipi ina uwezo katika kupambanua na kushughulikia mambo ya jamii?
 
Mkuu achana nao hao wana muda wa kupoteza huu muda wa kuwajibu bora ungetumia kupumzika au kulala na ku-refresh akili ili kuendeleza kuwatetea wananchi wako.., hao wote ni wakosa kazi waliozoea spoon feeding na kutanua kwa kutumia majina ya wazazi wao
 
Jiulize kwenye ukoo wenu kuna aliyewahi kupata A mbili achilia mbali tisa za mnyika?unaijua div 2? Mtu mwenyewe maandishi yako yanapandiana!!hiki ulichokiandika hapo kinajenga picha halisi ya jinsi ulivyo pumbaff!!wewe mwenyewe hukumaliza elimu ya msingi,unaweza ku compete na mtu kama mnyika wewe?yule kimada wenu kule bungeni mwenyewe anamuogopa jj!! Kwenda kumbaff.
 
Tatizo watakuja na majina feki,nape std 7 hakua na jina hilo.tusubiri vituko,umewashika pabaya,hawata jibu
 
anajaribu kukopi na kupaste ya maghembe ndio maana anaandaa kilichoandaliwa na wengine kitambo. wajibikana usiendelee kuamini kuwa vilaza wanaweza kukukomboa. utapata mema yza nchi
 
tukimaliza hapa tuijadili Gentleman ya baba riziwani pale udsm
 
Afadhali. Lakini Mkuu John Mnyika,napmba niulize maswali madogo mawili ya uelewa:

Kwanza,ufaulu wako kidato cha sita ulikuwaje pale Tambaza?

Pili, uliahirisha masomo yako UDSM;lini utamalizia?

Asante.

Iiiiii,kuna watu hamna akili kabisa.
Wewe umesoma alicho andika mwanzo mwisho kweli?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…