EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
mtu asiye na hoja anisumbui
Natamani sana wanaJF wangekujua wewe ni nani.
mtu asiye na hoja anisumbui
Majibu yamejitosheleza sana. Hongera Mnyika.
Mnamtaka Nape aje ajibu hoja kwa mfumo wa Mnyika? Msahau jambo hilo...anajua njia alizopitia na grades alizopata na hawezi kuzungumzia hayo. Sanasana atawapiga chenga kwa majibu ya kisiasa.
Ningependa sana baada ya majibu ya Mnyika (aliyepata A-9 straight), sasa nape atupe grades zake, na Ridhwani (who has always been insignificant person ukiondoa kuwa mtoto wa rais nao wawe grades zao humu)
Kama kiongozi makini unahitaji kwanza uwe na uwezo wa kutafakari jambo, mbunge huyu uwa hatafakari bali anafuata kila anachoambiwa
1. hoja ya maji dar arijaribu kukopi na kupaste ya wizara ili ajiafutie umaarufu hii alifanya kwa kufuata mawazo baadhi ya wabunge cdm anaodhani kuwa wana uwezo zaidi yake
2. kauli anazotoa bungeni na nje ya bunge haziendani na mtu makini mwenye nia nzuri na watanzania kwa mambo hayo machate tu mbunge huyu upeo wake wa kufikiri bado mdogo sana