Mimi nitamtafuta kumchangia atakapotaka kumaliza. Tatizo la wakosoaji wake ni kuwa wanashindwa kuunganisha hiyo elimu na ufanisi wake zaidi ya kujaribu kumchafua majukwaani bila malengo wala mkakati wenye tija. USISAHAU KUPANGA NI KUCHAGUA. Kwa sasa amepanga amejipanga vizuri na amechagua kilicho chema. Respect sana JJ.
Ni intelligence iliyompa fursa ya kufanya maamuzi magumu na yenye tija. Yaani Jamii inamtambua kwa mema na jitihada zake. Na kushambuliwa na mavivu akina Nape/Riz1 yanamsogeza chura kwenye safari na mafanikio yake.
Ndivyo ilivyojiunda na kuasisiwa na mamburula
Asante mkuu kwa kuchambua maoni yangu kama nilivyoyatoa.
Watu aina ya Mnyika nimeonana nao wengi sana in life, na tabia kama hizi zinajirudia rudia.
Hakuna sababu ya msingi kutomaliza masomo yake UDSM, ilhli kijana anonekana yuko bright.
Msingi wake katika Seminary unweza kuchangia sana kumkanganya mtu kuishi an idealistic life as ompared to the normal existing challenges mwanadmmu anazoface.
Mimi nimepita hapo Mlimani miaka mingi kidogo, wakti ambapo UDSM ilikuwa kweli UDSM.
Nilikuwa na rafiki yangu, mtoto wa mtu maarufu hadi leo, na alikuwa very very very intelligent tulipokuwa sekondary.
Kijana akasare kwenda kusoma kwa vile he had "another calling" in life.
Lifes challenges hazi simami, ukiwa kijana unaoa, unspata fmilia, familia inahitaji matunzo , shule n.k.
To cut a long story short, yule mwenzangu alijutia sana kutoenda kumalizia shule wakati hana any incumberances in life.
Na kwa bahati mbaya hata alipotka kwenda kusoma hikuwa bure tena!
Sasa namshauri JJ Mnyika kama mtu niliyepita barabara hiyo mapema, FIRST THINGS FIRST.
Matatizo ya kimaisha yamekuwepa, Yapo, na yataendelea kuwepo-kujipa umessiah ni kujidangaya!
Sasa huu ushauri ninompa si kwa sababu ya kisiasa ,la hasha, ni ushauri wa kimaisha tu.