Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma


Mnyika huwa anamwendesha mwanasheria mkuu wa serikali, utafikiri kahitimu sheria harvard, kweli serikali ya CCM ina vihiyo wengi! Wana taarifa za uongo za kusoma lakini hawajawahi kusoma! Matukio aliyoyataja Mnyika waliokuwa UDSM 2004 watakubumbuka alivyotutetea na alivyotushawishi kusitisha mgomo turudi madarasani, lakini still serikali ya CCM ikatufukuza! Nakwakuwa alikuwa si mwanafunzi wa kampasi sidhani kama kuna mtu alijua kuwa msaada aliotusaidia ulimgharimu yeye asimalize elimu yake na ukampa misukosuko mikubwa kiasi hicho! Huu upendo alionao kwa wengine ni mkubwa kiasi cha kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine! Mungu ambariki!
 
Hongera sana JJ. Stay on the road, don't be derailed by selfish minds!

Ufahamu wako na elimu uliyonayo ni bora mara elfu ya fake master's degrees and PHDs zilizojaa hapa Tz.

Nani asiyejua kuwa elimu ya Tanzania inavyoporomoka kwa kasi. Ukosefu wa maadili katika jamii unavyoathiri elimu nchini? Cheating in exams, demotivated and unethical teachers and instructors, unsupervised commercialization of education, degree mills and fake PHDs?
 
does he relly know what he wants!?
 
Gates did not have a definite study plan while a student at Harvard[SUP][32][/SUP] and spent a lot of time using the school's computers. Gates remained in contact with Paul Allen, and he joined him at Honeywell during the summer of 1974.[SUP][33][/SUP] The following year saw the release of the MITS Altair 8800 based on the Intel 8080 CPU, and Gates and Allen saw this as the opportunity to start their own computer software company.[SUP][34][/SUP] Gates dropped out of Harvard at this time.[SUP][35][/SUP] He had talked this decision over with his parents, who were supportive of him after seeing how much Gates wanted to start a company
 
Ahsante Kijana: Hayo maguberi na majizi ya raslimali na Kuwadi wao Nepi wameaibishwa!! Ukweli ni dawa!! Nimekupenda kwa kuwa mkweli!! Tuiondoe na kuyaondoa majizi akina Nape Riz na wenzake na miye nitakuchangia ada uipate hiyo wanayokuandama nayo shahada ambayo wao haiwasaidii kwa namna yoyote!! Shame on NEPI, Shame on FISADI RITZ, SHAME ON PROF WA C)&&& majemberi sorry mage-mbe!! Tunahitaji maendeleo na siyo mijadala ya kumwandama huyu kijana mzalendo wa UKWELI.
 
Mnyika usihangaike na wajinga hao hawana jipya waanze kwanza na wale walio na PhD ndani ya chama chao lakini wakiwa wameforge
 
Modern commercial institute imetoa offer ya degree kwa Mh Mnyika.
Gates did not have a definite study plan while a student at Harvard[SUP][32][/SUP] and spent a lot of time using the school's computers. Gates remained in contact with Paul Allen, and he joined him at Honeywell during the summer of 1974.[SUP][33][/SUP] The following year saw the release of the MITS Altair 8800 based on the Intel 8080 CPU, and Gates and Allen saw this as the opportunity to start their own computer software company.[SUP][34][/SUP] Gates dropped out of Harvard at this time.[SUP][35][/SUP] He had talked this decision over with his parents, who were supportive of him after seeing how much Gates wanted to start a company
 

kwa hii ni hatari sana jamani mbona mimi sioni hata hoja ya kuita shule kwa jina la jk maana ni unakaribisha laana nyingine. hii shule inahitajika kufanyiwa maombi ili laana iliyopo iondoshwe kwa damu ya Yesu kristo
 
Kataeni kubalini!
John Mnyika is a genius!
Yaani namfananisha na akina Bill Gates walioacha chuo wakaendeleza vipaji vyao vya sayansi.
Mnyika ame-postpone elimu ya kukaririshwa na kuendeleza kipaji chake cha uanaharakati na siasa za ukombozi.
Yaani, no turning back bro!
Endelea kuwafanya kila siku wasilale na kuwaza pumba za kuongea na wanachi katika masuala ya kipuuzi kama haya kwa kuwa ulishawaambia ukweli kwamba wana elements za ukihiyo! Wameshindwa kujibu hoja za msingi.
Yaani na haya matokeo ya kidato cha nne na maamuzi waliyoyafanya kuhusu ile hoja binafsi ya elimu nchini, inaonyesha bunge letu limejaa vihiyoooooooooooooo!
 

riz 1 mjanja ingawaje hauondoi ukilaza wako!
 
Kaandka hivi kupitia ukurasa wake wa facebook..

NIMEKUELEWA MBUNGE WANGU MNYIKA

Nimeisoma vizuri taarifa ya bwana Mnyika na nimeielewa. Nimeona sababu za msingi kwanini hakumaliza shule na majibu juu ya hoja ambayo aliisimamisha bwana Nape Nnauye.

Ni jambo zuri ambalo amelifanya maana tumefunguka na kujua ukweli. Lakini naomba radhi kama sikueleweka vizuri.

Nilichofanya mie ni kumuita ukumbini ili atutoe wasiwasi hasa mimi kama nilivyojielewa kuwa nilikuwa naye chuoni na ninaheshimu sana uwezo wake wa ufahamu.

Mwisho nimuhakikishie, ni jukumu la CCM kuhakikisha kuwa maji yanapatikana Jimboni Ubungo na tutayaleta. Kubwa zaidi akumbuke ilani yetu ni ya miaka mitano na maji yatafika pale kabla ya 2015.

La msingi aendelee kuisukuma serikali na kumkumbusha waziri Maghembe juu ya utekelezaji wa ya maneno yake mazuri na sio mbwembwe za kufurahisha baraza.

Mwisho, nikupongeze mnyika kwa kuja hadharani na kutoa wingu. Ni imani bwana Nape na wasomaji wengine tumekuelewa.

Shukrani. Hatuchafuani, tunasaidia kuwekana sawa . Huu ndiyo uwazi kwa vitendo. Hongera muheshimiwa mbunge wangu.

MY TAKE..
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza akaita hii ni hoja.?
 
Henge ila jamaa anamkubali Mnyika
Matola mbona unataka muumiza raisi wetu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Matola
Sikutegemea uje siasa za maji taka; CCM inahusika vipi na suala la kuuliwa kwa padri? Viachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake; mimi sikumkashifu wala kudai John Mnyika si asset kwa Chadema; nimumuelekeza tu namna ya kujibu; alichofanya yeye ni kutafuta sympath kwa watu kama wewe; huoni jibu ulilotoa wewe umemaliza form 4 limeeleweka zaidi na linajitosheleza. Matokeo ya form 4 yanasikitisha sana ipo haja kwa viongozi wa ngazi za juu wizarani wawajibishwe; inaonekana hawatekelezi majukumu yao ya kazi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
wewe uliyemaliza mbona hatuoni impact ya Elimu yako kwenye nchi hii zaidi ya kukesha JF kushabikia udini?

Na wewe jee? unataka kila mmoja awe mpayujaki hovyo kama huyo kilaza wenu. Mwenye elimu hawezi kutumia maneno elfu kusema ukweli kuwa "sijamaliza chuo".
 
Ninayo mengi ya kuandika ila kubwa zaidi ni kumshukuru mwenyezi Mungu kutupatia mtu aitwaye John Mnyika. Mdogo wangu we acha tu. Kila nikifikiri cha kuandika furaha na tumaini nililo nalo moyoni natetemeka na kusisimka. Mungu akulinde maana hawa si watu wa kawaida, wapo kwa ajili ya kuharibu, PIGA KAZI TUKO NYUMA YAKO.
Namalizia kuwa aliyeagiza Dr. Ulimboka ateswe ili afe ndiye huyo huyo anayeendelea kutuma wa kuwaua viongozi wa dini ya kiksristo. OLE WAO.
 
Tumekupata Mkuu hiyo imekaa vizuri, sasa ni zamu ya Nape kueleza yeye ni mtoto wa nani, kwa nini anatumia jina la mtu maalufu kujitambulisha?? Je kwenye ukoo wake wanamtambua, haoni kuwa anaji impersonate kutumia jina na ukoo wa mtu kupanda ngazi, wadau wanahitaji kujua!! Kwa vile umeona huo ni mtaji!!

 
Asante sana JJM; kwa kuonyesha mfano wa mtu aliyeelimika sio vyeti vya kupamba sitting rooms!;

Nape kazi kwako tunasubiri majibu na CV yako na kwa Rizwani tunasubiri maelezo mazuri na ya kina kama alivyofanya JJM; kuhusu tuhuma za ufisadi na utajiri usio elezeka zinazokukabili kwa muda mrefu na badala ya kwenda mahakamani kama ulivyowahi kutishia ukageuka "mpira" ukayeyuka!

Come clean little tycoon Rizwani tuuone usomi wak!! mfumo unaokulinda kwa sasa hautadumu milele; impunity will not last forever because it is evil.

Mtu msomi na mwenye akili timamu anaelewa kwamba elimu sio makbrasha na vyeti vya kugushi kama walivyo "madokta" magumashi wa CCM lukuki!!!!!!!!!!! na wala USOMI sio kukaa darasani in the four coners of a classroom; la hasha!!

Elimu ni kupanua akili na kujenga uwezo wa kuiwezesha jamii kukabiliana na mazingira na kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Elimu sio vyeti vya kugushi vya kupamba sitting rooms wala usomi sio kutunga sera za kushamirisha wizi na ubadhirifu wa mali za umma kama wanavyofanya wasomi "Madokta" magumashi wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…