Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

1.

Na bwana yarabi salama alikuwa amepata alama A katika hesabu O level. Baadaye ikagundulika kwamba wakati wenzake wanafanya mitihani, yeye alikuwa anazaa mitihani.

a) Sasa, najiuliza. Mnyika amesema kwamba alikuwa wa kwanza mkoa wa darisalama. (Sibishi, lakina Sijui amejuaje)

b) amepata A tisa form IV; lakini hakusema amepata A ngapi form VI. Jee inawezekana ni kwa sababu matokeo yake ya form 6 hayashabihiani na yale ya form 4?

c) A tisa, lakini hakwenda Ilboru. Kwanini mwanafunzi hodari asiwe na hamu na shauku ya kusoma na wanafunzi hodari wengine? Jee inawezekana bwana Mnyika alikuwa anaogopa "to get found out?"

d) Baada ya kupata matokeo mazuri form 6; kwanini asome jioni? Jee alikuwa anaogopa kusoma na wanafunzi hodari?

e) Mpaka leo bado hana degree. [anisamehe kama nimekosea katika hili]. Ni kweli mwanafunzi mwenye uwezo wake wa kitaaluma atakubali kuishia njiani kwa namna aliyoishia yeye?

Sasa kila nikimtafiti huyu bwana Mnyika, samahani, lakini neno kuzaa linapiga kengere zote akilini mwangu. Nadhani huyu bwana ni miongoni mwa wale wenye bahati nzuri ambao huweza kuipata mitihani kabla ya siku ya mtihani.

Na kwa akili yako yote, untendaji wa Mnyika bungeni - hasa ujengaji wa hoja zake - unafanana na huyo yarabi salama 'mzaa mtihani?

Pili, kuhusu Mnyika kutoenda kusoma Ilboru na baadaye kusoma evening class; ungesoma majibu yake vizuri, maana kaeleza kila kitu.

Tanzania tuna tatizo moja kubwa, ambalo linajitokeza sana hapa JF, tunataka tutafuniwe kila kitu na hata ikiwezekana tulishwe! Mnyika amendika in great details safari nzima ya elimu yake, mikanganyo, na hata dilema ambazo amekuwa nazo na ultimately maamuzi yake. Lakini kwa bahati mbaya bado kuna watu hawaelewi!

Hebu tushughulishe bongo zetu kidogo!
 
mnyika unatisha Kupata matokeo ya A katika mitihani 9 hakika wewe ni kipaji tosha tunasubiri nape na ridhi watupe cvs zao.
 
by nyakisagane,
Jenifa bitod jaribu kusoma majibu ya mnyika kwa makini hacha kuuliza maswali ya kukurupuka.
 
Mjadala mzuri,,naungana na alivosema Ridhiwani issue isiwe kuchafuana bali kuwekana sawa. Na kwako JJ ungeweka/paste matokeo yako ya F4&6 kwa shule ullizosoma was more better, Otherwise mie nakukubali sana wewe binafsi na chama lenu pia.
 
Yeah!!!! Mh. Nyika we ni noma!!! unajua cha msingi kwa sasa sio kuangalia elimu ya mtu wala ni shule ama chuo gani kasoma cha msingi ni kuwatumikia wananchi kwa nguvu zote!!!! Bro!!! Mnyika we ni noma kati ya vijana ambao nawaamini wewe ni mmoja wapo!!!! Nape nakushauri kutoka moyoni mwangu kwamba usipende kugombana na vijana wenzako wenye maono zaidi ya wewe!!!! me sijaona ulichofanya ccm kama rulling class wa ccm!!!! chukua mfano wa akina mnyika, zitto kabwe, na lema!!! achana na kuota mchana ndoto zako sio za kweli bali unaota vile vitu vinavyokutia shaka!!! big up Bro Ridh!!! umekua sasa na unajua fair play!!! carry on Hon Mnyika
 
Mh.Mnyika.
Naomba niwatoe wasiwasi,Elimu yako ni kubwa kuliko ya hao wenye vyeti,uzoefu wako na hayo madarasa uliyopitia yanatosha kukupa hadhi ya juu ya usomi kutokana na mchango wako katika Jamii ya Watanzania.
Naomba wanajamii muniunge mkono tumpe hadhi ya "U-dokta" kama ambavyo kina JK,Mrema na wengineo walivyokuwa awarded.
Gonga "like" kama unaunga mkono hoja
 
Kwa walio wahi kupita shule (sekodari) wanaelewa inahitaji uwezo wa juu kiasi gani kupata A 9. Hii ni zaidi ya kipaji maalumu. Nachelea kusema mheshimiwa Mnyika ndiye Mbunge Pekee katika bunge la sasa aliyefaulu sekoari kuliko wote

Ni kweli kabisa. Na kwa waliopitia shule pia wanaelewa mwanafunzi anayepata A 9 form IV, na mwanafunzi huyohuyo akashindwa kupata C 3 form VI, ni mwizi wa mitihani. Na hasa kama A 9 zenyewe zilipatikana katika mwaka ambao wengine walifutiwa matokeo kwa wizi wa mitihani.
 
Hapana , unayo nafasi ya kupata A 3,Lakini vile vile unaweza usizipate, na hii hutokana na majukumu, kwa kijana hapo naweza kuwa wazi kabisa bado alijitahid kwasababu ametumia muda mwingi kwenye mambo ya kichama angali akiwa secondari ,hii huweza kuchangia matokeo pia kushuka, kwa matokeo aliyonayo tunazidi kumkubal kwa sababu ameweza kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja kitu ambacho ni uwezo binafsi kwa uvilaza wetu wa kiutendaji
 
mNYIKA NI SAWA SAWA NA WABUNGE 37 WA CCM PLUS SPIKA NA nAIBU , BILA KUWASAHAU NA WALE WENYEVITI WAO
 
Itakuwa ngumu sana kwa Nape na Ridhiwan kuweka wazi alama zao kitaaluma hadharani kwani hakuna asiejua jinsi vigogo wa nchi hii,wake zao watoto wao na hata wapambe wao wanavyopewa upendeleo katika mambo mengi ikiwamo elimu. Leo wapo watu wanaitwa "ma doctor" wa kupewa wao huita udoctor wa "heshima" ajabu watu hao hutaka heshima hiyo iingie kwenye majina yao kana kwamba ni sifa. Utamsikia kiongozi anaitwa Mh, Dr. xxxxxxxx kana kwamba udoctor ni sehemu ya jina. Ni vema pia kina Nape na Ridh wakamsaidia Mh Shukuru kueleza ni kwa nini serikali hasa ya awamu ya nne imetia fora katika kuangusha elimu ya Tanzania huku chama chao kikiwa kimya!
 
MUZEEZAIDI posted this:

Nimeamua kueleza ukweli huu baada ya kuona upotoshaji wa makusudi unaoendelea humu.

Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu ya Nape wengi wakahoji kwani Nape yuko wapi asijitokeze mwenyewe kujibu kama alivyofanya Mnyika?

Naomba mfahamu aliyejibu ni Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya bandia, lakini amekuwa mno too radical hadi watu wakamshtukia.

Lakini hoja sio kuwa radical, au kutumia ID bandia, hoja ni kuwa amefanya upotoshaji wa makusudi uliotuacha mdomnd wazi wale tunaomfahamu. Sasa ukweli kuhusu elimu ya Nape huu hapa.

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ndugu wilayani Kwimba akiwa na jina kaiba jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So uhazili mwaka akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diplmoma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India. Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

So akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.lel na a.level hapa.

Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye anayejiita Nape. Katibu mwenzezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombe ubunge ubungo mwaka 2010, wakati ule akijaribu kushindana na genious aliyepata A 9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.

I Find it interesting!
 
Last edited by a moderator:
C:\DOCUME~1\ADMINI~1\LOCALS~1\Temp\msohtml1\01\clip_image002.gif
By MUZEEZAIDI

hii hapa ya nape.
 
Umetisha ndugu,na ajitokeze na yeye sasa ,atoe tamko kama kweli au la
 
Huyu ni kichwa na hazina ya chadema na tanzania kwa ujumla, pia mnamshusha hadhi kumlinganisha na hao jokeri
 
Back
Top Bottom