ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Mimi ninazo degree mbili, nimeajiri watanzania kibao na ninawalipa mwisho wa mwezi,,, lakini siwezi kukifanya kile ambacho Mh JJ Mnyika anafanya bungeni. This guy is genius, mtu kama huyu huwezi kumnunua kwa gharama yoyote. Nyie kaeni na maelimu yenu ya vyeti tu lakini hamna uwezo wa kufanya chochote bila kubebwa. Mnajikomba kwa maCCM kubembeleza mkate uende kinywani but this guy JJ is fight in his own grounds, his destiny is in himself, you you you your destiny is in Nape's hand
haya sasa, ni zamu ya nape na rizone kuweka cv yao hapa. asante sana mkuu. mia
hata ungekuwa na elimu ya darasa la saba, maelezo uliyoyatoa hapa yanaonyesha una masters ya ufahamu na wewe ni kichwa!! Hivyo huyo nape na rizwani kama vipi wakazamishe vichwa vyao kwenye mchanga kwani ni vilaza wa kutupwa!!. Elimu sio cheti ni ufahamu na uwezo wa kufumbua mambo wa mtu.namaliza kwa mlinganyo huu 200nape + 1000riz <= 1mnyika!!
Composed, poised, and polished!
Dogo wa Kikwete na Nape sidhani kama wanaweza kuandika kama alivyoandika Mnyika hapa!
Acha uvivu wa kuelewa mbona kila kitu Mh Mnyika ameandika kuhusu Elimu yake na majibu ya maswali yako.Afadhali. Lakini Mkuu John Mnyika,napmba niulize maswali madogo mawili ya uelewa:
Kwanza,ufaulu wako kidato cha sita ulikuwaje pale Tambaza?
Pili, uliahirisha masomo yako UDSM;lini utamalizia?
Asante.
Kumbe ka mkubwa ulikimbia shule, japo unafanya vyema mbele ya macho ya mashabiki wako ila shule muhimu sana.acha maneno mengi jitahidi urudi shule ili uwe mfano wa kweli kwa vijana wa sasa.hilo la kwamba utasoma cdm ikingia madarakani kwetu inamaana kwamba hutasoma tena kwakuwa cdm haitarajiwi kushika dola ktk miaka ya karibuni kwakuwa migawanyiko na mitafaruku yenu haitawaacha salama...
mnyika hana degree - confirmed. maneno mengi yote hayo ya nini.
ila kipeperushi chako cha 2005 pale ubungo ulitudanganya wengi.
pia mnyika hukupata daraja la pili kidato cha sita. acha kuendelea kudanganya mtu wa seminari.
wanasiasa wetu waongooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo