Majibu kwa Paschal Mayalla: Nani alitoa amri ya risasi au ni sheria ilijiandaa kulinda Jamhuri?

ngozimbili

Platinum Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
1,491
Reaction score
1,137
Nimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika kuwa swali lake ni la upendeleo linalokwepa mzizi wa tukio.

Paschal anataja "risasi" kana kwamba Polisi waliamka asubuhi na kuamua kufanya mazoezi ya shabaha kwa raia. Anasahau makusudi kutaja mazingira yaliyopelekea matumizi ya nguvu.

1. Mazingira ya Uhalifu: Zaidi ya Maandamano​

Kabla ya risasi hazijalia, kulikuwa na mfululizo wa matukio ya kihalifu ambayo Paschal na baadhi ya viongozi wa dini wamepata "upofu" wa ghafla kuyaona:
  • Kuchomwa kwa Vituo vya Polisi: Hivi ni vituo vyenye maghala ya silaha. Unapovamia na kuchoma kituo chenye silaha za moto, unatangaza vita na umma.
  • Uvamizi wa Miundombinu: Uvamizi wa ATM na vituo vya mafuta (Petrol Stations). Hapa hatuzungumzii maandamano ya amani; tunazungumzaji uhujumu uchumi na uporaji.

2. Mchanganyiko wa Damu: Maandamano, Uasi, na Mapinduzi​

Mhamasishaji mkuu kutoka ughaibuni alitangaza wazi kuwa siku hiyo ina mambo matatu: Maandamano, Uasi wa Jeshi, na Mapinduzi. Kitaalamu, mchanganyiko huu unaitwa Reflexive Control—mbinu ya kijasusi ambapo adui anasoma saikolojia yako na kukufanya uchukue hatua itakayokuharibu wewe mwenyewe. Lengo lilikuwa ni kutengeneza maaafa (damu) ili "wakubwa" wa ulimwengu wapate sababu ya kuingilia kati (International Intervention). Paschal anajua hili ni mchezo wa kijasusi, kwanini anakaa kimya?

Kwanini viongozi wa dini na wasomi wenye PhD hawakulaani mchanganyiko huu wa uasi na mapinduzi? Ukikaa kimya wakati nchi inachomwa, unatoa baraka kwa vijana wetu kutolewa kafara kwa mradi wa watu wa nje.

3. Jibu la Kisheria: Je, Amri Ilihitajika?​

Swali la Paschal ni la kitoto kisheria. Kwenye mazingira ya shambulio la hatari, sheria inatoa mamlaka (Mandatory Power):
  • Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16, Kifungu cha 18A na 18B: Inatoa haki ya Self-Defense (Ulinzi Binafsi) na ulinzi wa mali. Askari anayevamiwa akiwa analinda ghala la silaha au kituo cha mafuta hahitaji kumpigia simu Kamanda wake kuomba amri; sheria inamtaka kuzuia uhalifu huo kwa nguvu inayostahili ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
  • Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act): Inampa askari mamlaka ya kutumia silaha kuzuia mtu yeyote anayetaka kutoroka na silaha au anayevamia eneo la hatari.
Watu wanapochoma kituo cha mafuta katikati ya mji, wanataka kuua maelfu ya watu. Unahitaji amri ya nani kufyatua risasi kuzuia mlipuko huo?

4. Uhaini na Uasi: Makosa ya Jinai Yaliyofichwa​

Paschal kama mwanasheria anakwepa kusema ukweli huu:
  • Uhaini (Treason): Kutangaza "Mapinduzi" dhidi ya Jamhuri ni kosa la Uhaini chini ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Hili ni kosa la kunyongwa.
  • Uchochezi wa Uasi (Inciting Mutiny): Kutaka Jeshi liasi ni kosa chini ya Kifungu cha 45 cha Kanuni ya Adhabu. Ni kosa la jinai lenye adhabu kali.
  • Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 28: Inamtaka kila raia kulinda mamlaka, uhuru, na umoja wa nchi. Kitendo cha kuhamasisha mapinduzi ni uvunjaji wa moja kwa moja wa Katiba.

Hitimisho​

Nashangazwa na ukimya wa viongozi wa dini. Je, PhD zenu hazikuona hatari ya kuchanganya "Dini" na "Mapinduzi"? Paschal Mayalla, kwa kukwepa maswali ya kwanini vituo vya silaha vilichomwa na kwanini uasi ulihamasishwa, unatuacha na wasiwasi: Kuna nini kinafichwa?

Vijana wetu wametolewa kafara na watu waliojificha nyuma ya kioo cha simu ughaibuni. Paschal, badala ya kuuliza nani aliamuru risasi, uliza: "Nani aliamuru vijana wetu wakachome vituo vya mafuta na kuvamia maghala ya silaha?" Hilo ndilo swali la mzalendo.

Tanzania ni nchi ya kisheria. Jamhuri itajilinda, na sheria itasimama dhidi ya uhaini wowote, iwe ni wa kalamu au wa barabarani.
 
well done gentleman,

umeeleza jambo muhimu sana tena kwa ufasaha wa kiwango cha juu mno
 
Badala ya kujibu swali unaleta longolongo, Pascal yote uliyoeleza ameyaeleza kabla ya kuja na hilo swali. Nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria, hakuna sehemu inayosema mtu akichoma kituo cha mafuta apigwe risasi. Sheria zinasema akamatwe apelekwe mahakamani.
Unatetea uhayawani waliofanya polisi, ovyo kabisa.
 
Nchi inaendeshwa Kwa katiba na Sheria wakati watu wanakuja kituoni kwenye kituo chenye silaha,utawaonesha katiba na Sheria?
 
Ni vyombo vya ulinzi vya kienyejienyeji ndivyo vinaweza kutumia risasi kupambana na warusha mawe.Unakuta lishamba flani limevaa jeshi ya yanga na kitambi cha urojo linaona raha kufyatua risasi kwa wasiokuwa na bunduki.
Lakini raia wanaruhusiwa KUCHOMA Vituo vya Polisi,vya Mafuta na vya mwendokasi .
 
Samahani kidogo muandishi kwenye hayo majibu yako kipengere cha tatu unataka kutwambia kule majumbani askari walikowapiga risasi baadhi ya watu kulikuwa na ghala lao la silaha?
Swali langu la pili ni kwamba je chanzo cha askari kuwapiga risasi raia ni maandamano?, na chanzo cha watu kuandamana ni wachochezi? na je kipi kilichopelekea watu kuchochea? (Ninauliza swali la kuchochea kwa sababu huwezi kuchochea moto ambao haujawashwa), Nani aliyewasha?
 
Nimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika kuwa swali lake ni la upendeleo linalokwepa mzizi wa tukio.

Paschal anataja "risasi" kana kwamba Polisi waliamka asubuhi na kuamua kufanya mazoezi ya shabaha kwa raia. Anasahau makusudi kutaja mazingira yaliyopelekea matumizi ya nguvu.

1. Mazingira ya Uhalifu: Zaidi ya Maandamano​

Kabla ya risasi hazijalia, kulikuwa na mfululizo wa matukio ya kihalifu ambayo Paschal na baadhi ya viongozi wa dini wamepata "upofu" wa ghafla kuyaona:
  • Kuchomwa kwa Vituo vya Polisi: Hivi ni vituo vyenye maghala ya silaha. Unapovamia na kuchoma kituo chenye silaha za moto, unatangaza vita na umma.
  • Uvamizi wa Miundombinu: Uvamizi wa ATM na vituo vya mafuta (Petrol Stations). Hapa hatuzungumzii maandamano ya amani; tunazungumzaji uhujumu uchumi na uporaji.

2. Mchanganyiko wa Damu: Maandamano, Uasi, na Mapinduzi​

Mhamasishaji mkuu kutoka ughaibuni alitangaza wazi kuwa siku hiyo ina mambo matatu: Maandamano, Uasi wa Jeshi, na Mapinduzi. Kitaalamu, mchanganyiko huu unaitwa Reflexive Control—mbinu ya kijasusi ambapo adui anasoma saikolojia yako na kukufanya uchukue hatua itakayokuharibu wewe mwenyewe. Lengo lilikuwa ni kutengeneza maaafa (damu) ili "wakubwa" wa ulimwengu wapate sababu ya kuingilia kati (International Intervention). Paschal anajua hili ni mchezo wa kijasusi, kwanini anakaa kimya?

Kwanini viongozi wa dini na wasomi wenye PhD hawakulaani mchanganyiko huu wa uasi na mapinduzi? Ukikaa kimya wakati nchi inachomwa, unatoa baraka kwa vijana wetu kutolewa kafara kwa mradi wa watu wa nje.

3. Jibu la Kisheria: Je, Amri Ilihitajika?​

Swali la Paschal ni la kitoto kisheria. Kwenye mazingira ya shambulio la hatari, sheria inatoa mamlaka (Mandatory Power):

  • Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16, Kifungu cha 18A na 18B: Inatoa haki ya Self-Defense (Ulinzi Binafsi) na ulinzi wa mali. Askari anayevamiwa akiwa analinda ghala la silaha au kituo cha mafuta hahitaji kumpigia simu Kamanda wake kuomba amri; sheria inamtaka kuzuia uhalifu huo kwa nguvu inayostahili ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
  • Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act): Inampa askari mamlaka ya kutumia silaha kuzuia mtu yeyote anayetaka kutoroka na silaha au anayevamia eneo la hatari.

Watu wanapochoma kituo cha mafuta katikati ya mji, wanataka kuua maelfu ya watu. Unahitaji amri ya nani kufyatua risasi kuzuia mlipuko huo?

4. Uhaini na Uasi: Makosa ya Jinai Yaliyofichwa​

Paschal kama mwanasheria anakwepa kusema ukweli huu:

  • Uhaini (Treason): Kutangaza "Mapinduzi" dhidi ya Jamhuri ni kosa la Uhaini chini ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Hili ni kosa la kunyongwa.
  • Uchochezi wa Uasi (Inciting Mutiny): Kutaka Jeshi liasi ni kosa chini ya Kifungu cha 45 cha Kanuni ya Adhabu. Ni kosa la jinai lenye adhabu kali.
  • Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 28: Inamtaka kila raia kulinda mamlaka, uhuru, na umoja wa nchi. Kitendo cha kuhamasisha mapinduzi ni uvunjaji wa moja kwa moja wa Katiba.

Hitimisho​

Nashangazwa na ukimya wa viongozi wa dini. Je, PhD zenu hazikuona hatari ya kuchanganya "Dini" na "Mapinduzi"? Paschal Mayalla, kwa kukwepa maswali ya kwanini vituo vya silaha vilichomwa na kwanini uasi ulihamasishwa, unatuacha na wasiwasi: Kuna nini kinafichwa?

Vijana wetu wametolewa kafara na watu waliojificha nyuma ya kioo cha simu ughaibuni. Paschal, badala ya kuuliza nani aliamuru risasi, uliza: "Nani aliamuru vijana wetu wakachome vituo vya mafuta na kuvamia maghala ya silaha?" Hilo ndilo swali la mzalendo.

Tanzania ni nchi ya kisheria. Jamhuri itajilinda, na sheria itasimama dhidi ya uhaini wowote, iwe ni wa kalamu au wa barabarani.
Umejipa kazi ngumu sana ya kupulizia uharo flavour ya vanila ili ugeuke ice cream.
 
Kwanini waandamanaji walidiriki kuchoma vituo vya mafuta sambamba na uporaji, wizi na uhalibifu mkubwa wa mali za umma?Je, kulikuwa na ulazima huo nini dhamira yao?. Kwanini police walishindwa kuwadhibiti waandamaji kwa kuwakamata badala yake wakaamua kuwamiminia njugu(risasi)? je, kulikuwa na ulazima huo? Nini dhamira yao?...Je, tukio la Mo29 linatafsiriwa kama ni Vita, maandamano au maandamano yaliyokiuka katiba ?..
 
Swali lililoulizwa na Pascal kuna wahusika walipaswa kujibu. Kwa majibu yako kwenye mtihani ungepata ziro. Swali ni nani alitoa anri badala ya kutaja mhusika umekuja na maelezo mengi ambayo hayana uhusiano na swali uliloulizwa.
Usikute ni Profesa wa majalalani ndiye mleta uzi huu maana yule mzee mshipa wa aibu umekatika
 
Nimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika kuwa swali lake ni la upendeleo linalokwepa mzizi wa tukio.

Paschal anataja "risasi" kana kwamba Polisi waliamka asubuhi na kuamua kufanya mazoezi ya shabaha kwa raia. Anasahau makusudi kutaja mazingira yaliyopelekea matumizi ya nguvu.

1. Mazingira ya Uhalifu: Zaidi ya Maandamano​

Kabla ya risasi hazijalia, kulikuwa na mfululizo wa matukio ya kihalifu ambayo Paschal na baadhi ya viongozi wa dini wamepata "upofu" wa ghafla kuyaona:
  • Kuchomwa kwa Vituo vya Polisi: Hivi ni vituo vyenye maghala ya silaha. Unapovamia na kuchoma kituo chenye silaha za moto, unatangaza vita na umma.
  • Uvamizi wa Miundombinu: Uvamizi wa ATM na vituo vya mafuta (Petrol Stations). Hapa hatuzungumzii maandamano ya amani; tunazungumzaji uhujumu uchumi na uporaji.

2. Mchanganyiko wa Damu: Maandamano, Uasi, na Mapinduzi​

Mhamasishaji mkuu kutoka ughaibuni alitangaza wazi kuwa siku hiyo ina mambo matatu: Maandamano, Uasi wa Jeshi, na Mapinduzi. Kitaalamu, mchanganyiko huu unaitwa Reflexive Control—mbinu ya kijasusi ambapo adui anasoma saikolojia yako na kukufanya uchukue hatua itakayokuharibu wewe mwenyewe. Lengo lilikuwa ni kutengeneza maaafa (damu) ili "wakubwa" wa ulimwengu wapate sababu ya kuingilia kati (International Intervention). Paschal anajua hili ni mchezo wa kijasusi, kwanini anakaa kimya?

Kwanini viongozi wa dini na wasomi wenye PhD hawakulaani mchanganyiko huu wa uasi na mapinduzi? Ukikaa kimya wakati nchi inachomwa, unatoa baraka kwa vijana wetu kutolewa kafara kwa mradi wa watu wa nje.

3. Jibu la Kisheria: Je, Amri Ilihitajika?​

Swali la Paschal ni la kitoto kisheria. Kwenye mazingira ya shambulio la hatari, sheria inatoa mamlaka (Mandatory Power):

  • Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16, Kifungu cha 18A na 18B: Inatoa haki ya Self-Defense (Ulinzi Binafsi) na ulinzi wa mali. Askari anayevamiwa akiwa analinda ghala la silaha au kituo cha mafuta hahitaji kumpigia simu Kamanda wake kuomba amri; sheria inamtaka kuzuia uhalifu huo kwa nguvu inayostahili ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
  • Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act): Inampa askari mamlaka ya kutumia silaha kuzuia mtu yeyote anayetaka kutoroka na silaha au anayevamia eneo la hatari.

Watu wanapochoma kituo cha mafuta katikati ya mji, wanataka kuua maelfu ya watu. Unahitaji amri ya nani kufyatua risasi kuzuia mlipuko huo?

4. Uhaini na Uasi: Makosa ya Jinai Yaliyofichwa​

Paschal kama mwanasheria anakwepa kusema ukweli huu:

  • Uhaini (Treason): Kutangaza "Mapinduzi" dhidi ya Jamhuri ni kosa la Uhaini chini ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Hili ni kosa la kunyongwa.
  • Uchochezi wa Uasi (Inciting Mutiny): Kutaka Jeshi liasi ni kosa chini ya Kifungu cha 45 cha Kanuni ya Adhabu. Ni kosa la jinai lenye adhabu kali.
  • Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 28: Inamtaka kila raia kulinda mamlaka, uhuru, na umoja wa nchi. Kitendo cha kuhamasisha mapinduzi ni uvunjaji wa moja kwa moja wa Katiba.

Hitimisho​

Nashangazwa na ukimya wa viongozi wa dini. Je, PhD zenu hazikuona hatari ya kuchanganya "Dini" na "Mapinduzi"? Paschal Mayalla, kwa kukwepa maswali ya kwanini vituo vya silaha vilichomwa na kwanini uasi ulihamasishwa, unatuacha na wasiwasi: Kuna nini kinafichwa?

Vijana wetu wametolewa kafara na watu waliojificha nyuma ya kioo cha simu ughaibuni. Paschal, badala ya kuuliza nani aliamuru risasi, uliza: "Nani aliamuru vijana wetu wakachome vituo vya mafuta na kuvamia maghala ya silaha?" Hilo ndilo swali la mzalendo.

Tanzania ni nchi ya kisheria. Jamhuri itajilinda, na sheria itasimama dhidi ya uhaini wowote, iwe ni wa kalamu au wa barabarani.
Bado haihalalishi raia wa nchi inayoongozwa na katiba na sheria kupigwa risasi.

Wanatakiwa wakamatwe wapelekwe mahakamani.

Siku utakuja kutekwa au kupotezwa wewe au ndugu yako kwa dhulma kisha akili itakukaa sawa maana kuna machawa kama wewe nawafaham vizuri akili zao zimebadilika kwa kukutwa na matukio walikua wakiyatetea kama wewe.
 
NDUGU UMEELEZEA VIZURI SANA.

1. Polisi walianza kutuliza ghasia baada ya vurugu masaa mengi sana kuanzia mchana 29th na usiku wote wahalifu wale walikuwa wanaiba , wanachoma mali za watu binafsi na kushawishi wengine waunge mkono , huku wanajeshi wachache wakisindikiza , HAPA WALITAKIWA WAPIGWE RISASI SANA DAY ONE MAANA NI WAHALIFU SIO BINADAMU

2. Tarehe 30 palichanganya sana wakaaanza kuvamia vituo vya polisi na kuchoma mtaa kwa mtaaa na kuiba kwa ujasiri , Hapa ndo polisi walijibu mapigo na jeshi kufungiwa ndani ( ilikuwa very well lakini too late) walipigwa risasi watu ili kupunguza uharamia , bado nasisitiza hapa walitakiwa kupigwa risasi kweli kweli na walioponea hospitali wangekanyagwa kanyagwa na makatapila au tuwachome wote wakiwa hai/majeruhi

3 walianza kuchoma nyumba za viongozi na wasanii huku wakitamba kuwa watachoma zote , kweli waaachwe ? nasononeka mno walipigwa wachache sana ilitakiwa iwe fundisho mpaka vizazi saba vijavyo , SAMIA ANA HURUMA SANA

4. Hata leo wote walioonekana kwenye CCTV wangetakiwa watafutwe wanyongwe mpaka kufa haraka sana tuondoe kabisa mbegu ya ujangili na ujambazi mtaani

KI HALALI CCM wana mapungufu yao mengi lakini tunawashauri na kupambana kwa hoja sio kuchoma mali za watu binafsi na kushambulia miundombinu , na wale wanajeshi watafutwe waliokuwa wanakimbia kimbia na vimalori wazamishwe bahari kuuu wakiwa wamefungwa miguu na mikono shenzi kabisa , waliataka kutufanya Sudan sisi huku tunawalipa mishahara kwa kazi hiyo
 
Back
Top Bottom