Mleta mada kama wewe nawe ulishiriki kupiga risasi watu wasio na silaha majumbani kwa kisingizio ni amri kutoka juu , fahamu fika sio miaka yote CCM na genge lake litakuwepo madarakani.
Nakupa mfano huu mmoja , wakati magaidi wameteka ndege 4 za abiria za US kwenye tukio lile la September 11 , 2001 , ilibidi rais George Bush atolewe pale alipokuwepo na apande ndege ya rais kwenda mafichoni sehemu salama , makamu wake Dick Cheney alikuwepo around White House, ikabidi akafichwe kwenye moja ya mahandaki salama baada ya kupewa taarifa fupi ya ninj kimetokea na kinachoendelea wakati Bush yuko angani nae akipelekwa mahali salama.
Ikagundulika ndege zilizotekwa ni 4 , na 3 tayari zimefanya madhara kwenye majengo muhimu na moja imebaki angani ambapo imebadili uelekeo wake na kuanza kwenda Washington ambapo haukua uelekeo wake wa safari , makamu wa rais Dick Cheney akaulizwa na kamanda mmoja hii ndege tuilipue ikiwa angani au vipi maana kuna dalili sasa inakuja White House baada ya ndege nyingine kushambulie jengo la Pentagon
Bila kuwasiliana na rais , Dick Cheney akasema ndege ile ilipuliwe yule kamanda aliyekua zamu alimuuliza mara nyingi kwa kurudia kiasi cha kumtia shaka makamu wa rais ndio Dick Cheney ikabidi arudi kufanya mawasiliano na rais Bush nae akasema ndio ilipuliwe ile ndege ya abiria ilyotekwa nyara.
Dhumuni la kukupa kisa hiki ni nini? jibu ni kuwa makamu wa rais wa US hayupo kwenye military chain of command hivyo ile amri aliyotoa kwa kamanda wa zamu upande wa Navy ilikua ni amri haramu sasa ndege ile ingelipuliwa ikiwa na raia wa US unafikiri mbeleni nini kingemkuta makamu wa rais ?
Jibu unalifahamu US kwenye sheria hata wakati wa majanga hakuna upindishaji wa sheria hivyo amri haramu itabaki amri haramu hadi kesho.
IGP Wambura hana mamlaka na hakuwa na mamlaka kutangaza curfew kisheria vivyo hivyo hata utangazaji wa curfew kwa aliyepewa mamlaka hayo una taratibu zake .
Curfew ile haramu ndio ilichangia watu wengi kuuwawa [sijui kama watu wengi wanalijua hili] hivyo msijisahau hii iko on record mbeleni huko Wambura na wenzake wataulizwa nani aliwapa amri hiyo haramu.
PIa kukubali amri haramu kwa sababu ni amri sio utetezi wa kisheria.
Niwahakikishie tu kuna siku tutapata haki za zile damu mlizomwaga , inaweza kuchukua muda ila itapatikana na ndio itakua tiba ya mpasuko mkubwa wa nchi sio hayo maigizo ya Chande na Machande .