Samia MuuajiNimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika kuwa swali lake ni la upendeleo linalokwepa mzizi wa tukio.
Paschal anataja "risasi" kana kwamba Polisi waliamka asubuhi na kuamua kufanya mazoezi ya shabaha kwa raia. Anasahau makusudi kutaja mazingira yaliyopelekea matumizi ya nguvu.
1. Mazingira ya Uhalifu: Zaidi ya Maandamano
Kabla ya risasi hazijalia, kulikuwa na mfululizo wa matukio ya kihalifu ambayo Paschal na baadhi ya viongozi wa dini wamepata "upofu" wa ghafla kuyaona:
- Kuchomwa kwa Vituo vya Polisi: Hivi ni vituo vyenye maghala ya silaha. Unapovamia na kuchoma kituo chenye silaha za moto, unatangaza vita na umma.
- Uvamizi wa Miundombinu: Uvamizi wa ATM na vituo vya mafuta (Petrol Stations). Hapa hatuzungumzii maandamano ya amani; tunazungumzaji uhujumu uchumi na uporaji.
2. Mchanganyiko wa Damu: Maandamano, Uasi, na Mapinduzi
Mhamasishaji mkuu kutoka ughaibuni alitangaza wazi kuwa siku hiyo ina mambo matatu: Maandamano, Uasi wa Jeshi, na Mapinduzi. Kitaalamu, mchanganyiko huu unaitwa Reflexive Control—mbinu ya kijasusi ambapo adui anasoma saikolojia yako na kukufanya uchukue hatua itakayokuharibu wewe mwenyewe. Lengo lilikuwa ni kutengeneza maaafa (damu) ili "wakubwa" wa ulimwengu wapate sababu ya kuingilia kati (International Intervention). Paschal anajua hili ni mchezo wa kijasusi, kwanini anakaa kimya?
Kwanini viongozi wa dini na wasomi wenye PhD hawakulaani mchanganyiko huu wa uasi na mapinduzi? Ukikaa kimya wakati nchi inachomwa, unatoa baraka kwa vijana wetu kutolewa kafara kwa mradi wa watu wa nje.
3. Jibu la Kisheria: Je, Amri Ilihitajika?
Swali la Paschal ni la kitoto kisheria. Kwenye mazingira ya shambulio la hatari, sheria inatoa mamlaka (Mandatory Power):
- Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16, Kifungu cha 18A na 18B: Inatoa haki ya Self-Defense (Ulinzi Binafsi) na ulinzi wa mali. Askari anayevamiwa akiwa analinda ghala la silaha au kituo cha mafuta hahitaji kumpigia simu Kamanda wake kuomba amri; sheria inamtaka kuzuia uhalifu huo kwa nguvu inayostahili ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
- Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act): Inampa askari mamlaka ya kutumia silaha kuzuia mtu yeyote anayetaka kutoroka na silaha au anayevamia eneo la hatari.
Watu wanapochoma kituo cha mafuta katikati ya mji, wanataka kuua maelfu ya watu. Unahitaji amri ya nani kufyatua risasi kuzuia mlipuko huo?
4. Uhaini na Uasi: Makosa ya Jinai Yaliyofichwa
Paschal kama mwanasheria anakwepa kusema ukweli huu:
- Uhaini (Treason): Kutangaza "Mapinduzi" dhidi ya Jamhuri ni kosa la Uhaini chini ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Hili ni kosa la kunyongwa.
- Uchochezi wa Uasi (Inciting Mutiny): Kutaka Jeshi liasi ni kosa chini ya Kifungu cha 45 cha Kanuni ya Adhabu. Ni kosa la jinai lenye adhabu kali.
- Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 28: Inamtaka kila raia kulinda mamlaka, uhuru, na umoja wa nchi. Kitendo cha kuhamasisha mapinduzi ni uvunjaji wa moja kwa moja wa Katiba.
Hitimisho
Nashangazwa na ukimya wa viongozi wa dini. Je, PhD zenu hazikuona hatari ya kuchanganya "Dini" na "Mapinduzi"? Paschal Mayalla, kwa kukwepa maswali ya kwanini vituo vya silaha vilichomwa na kwanini uasi ulihamasishwa, unatuacha na wasiwasi: Kuna nini kinafichwa?
Vijana wetu wametolewa kafara na watu waliojificha nyuma ya kioo cha simu ughaibuni. Paschal, badala ya kuuliza nani aliamuru risasi, uliza: "Nani aliamuru vijana wetu wakachome vituo vya mafuta na kuvamia maghala ya silaha?" Hilo ndilo swali la mzalendo.
Tanzania ni nchi ya kisheria. Jamhuri itajilinda, na sheria itasimama dhidi ya uhaini wowote, iwe ni wa kalamu au wa barabarani.
Nimejifunza Kwa nguli mwenyewe Pascal Mayalla unajuwa sisi WANAFUNZI tunapenda kupambanisha hoja na walimu wetuwell done gentleman,
umeeleza jambo muhimu sana tena kwa ufasaha wa kiwango cha juu mno
Naunga mkono haki Yako ya kutoa maoni lakini kaka mambo siyo rahisi hivyo, yangekuwa rahisi tusingekaa ndani siku 5.Samia Muuaji
Kwanza kusema WASIO na hatia unakosea,muandaaji kasema maandamano ya kuangusha serikali halali Kisha akadai Kuna mutiny yote hayo ni makosa ya Jinai ,yanayoangukia kwenye uhaini dhidi ya Dola.Mleta mada kama wewe nawe ulishiriki kupiga risasi watu wasio na silaha majumbani kwa kisingizio ni amri kutoka juu , fahamu fika sio miaka yote CCM na genge lake litakuwepi madarakani.
Nakupa mfano huu mmoja , wakati magaidi wameteka ndege 4 za abiria za US kwenye tukio lile la September 11 , 2001 , ilibidi rais George Bush atolewe pale alipokuwepo na apande ndege ya rais kwenda mafichoni sehemu salama , makamu wake Dick Cheney alikuwepo around White House, ikabidi akafichwe kwenye moja ya mahandaki salama baada ya kupewa taarifa fupi ya ninj kimetokea na kinachoendelea wakati Bush yuko angani nae akipelekwa mahali salama.
Ikagundulika ndege zilizotekwa ni 4 , na 3 tayari zimefanya madhara kwenyw majengo muhimu na moja imebaki angani makamu wa rais Dick Cheney akaulizwa na kamanda mmoja hii ndege tuilipue au vipi?
Bila kuwasiliana na rais , Dick Cheney akasema ndege ile ilipuliwe yule kamanda aliyekua zamu alimuuliza mara nyingi kwa kurudia ndio Dick Cheney ikabidi arudi kufanya mawasiliano na rais Bush nae akasema ndio ilipuliwe ile ndege ya abiria ilyotekwa nyara.
Dhumuni la kukupa kisa hiki ni nini , jibu ki kuwa makamu wa rais wa US hayupo kwenys military chain of command hivyo ile amri aliyotoa kwa kamanda wa zamu upande wa Navy ilikua ni amri haramu sasa ndege ile ingelipuliwa ikiwa na raia wa US unafikiri mbeleni nini kingemkuta makamu wa rais ?
Jibu unalifahamu US kwenye sheria hata wakati wa majanga hakuna upindishaji wa sheria hivyo amri haramu itabaki amri haramu hadi kesho.
IGP Wambura hana mamlaka na hakuwa na mamlaka kutangaza curfew kisheria vivyo hivyo hata utangazaji wa curfew kwa aliyepewa mamlaka hayo una taratibu zake .
Curfew ile haramu ndio ilichangia watu wengi kuuwawa [sijui kama watu wengi wanalijua hili] hivyo msijisahau hii iko on record mbeleni huko Wambura na wenzake wataulizwa nani aliwapa amri hiyo haramu.
PIa kukubali amri haramu kwa sababu ni amri sio utetezi wa kisheria.
Niwahakikishie tu kuna siku tutapata haki za zile damu mlizomwaga , inaweza kuchukua muda ila itapatikana na ndio itakua tiba ya mpasuko mkubwa wa nchi sio hayo maigizo ya Chande na Machande .
Mwandamanaji gani alisema anataka kuangusha dola? weka hapa clip hiyo nione.Kwanza kusema WASIO na hatia unakosea,muandaaji kasema maandamano ya kuangusha serikali halali Kisha akadai Kuna mutiny yote hayo ni makosa ya Jinai ,
Kwahiyo watu wakisema wanataka kuangusha dola halafu wana simu na maji ya kunywa mikononi nyie mnajibu na Ak-47?yanayoangukia kwenye uhaini dhidi ya Dola.
Pili wakifanya kudhuru watu na askari ambao wengi walijeruhiwa na wengine kufariki askari ni watu Wana haki ya kujitetea bila KUOMBA kibali Cha mtu
Paskal mayala sio mwandishi nguli,hana sifa za kuitwa mwandishi nguli,huyu ni mtangazaji mmoja ambae baadae alisomea sheria basi.Hana sifa ya kuitwa mwandishi nguliNimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika kuwa swali lake ni la upendeleo linalokwepa mzizi wa tukio.
Paschal anataja "risasi" kana kwamba Polisi waliamka asubuhi na kuamua kufanya mazoezi ya shabaha kwa raia. Anasahau makusudi kutaja mazingira yaliyopelekea matumizi ya nguvu.
1. Mazingira ya Uhalifu: Zaidi ya Maandamano
Kabla ya risasi hazijalia, kulikuwa na mfululizo wa matukio ya kihalifu ambayo Paschal na baadhi ya viongozi wa dini wamepata "upofu" wa ghafla kuyaona:
- Kuchomwa kwa Vituo vya Polisi: Hivi ni vituo vyenye maghala ya silaha. Unapovamia na kuchoma kituo chenye silaha za moto, unatangaza vita na umma.
- Uvamizi wa Miundombinu: Uvamizi wa ATM na vituo vya mafuta (Petrol Stations). Hapa hatuzungumzii maandamano ya amani; tunazungumzaji uhujumu uchumi na uporaji.
2. Mchanganyiko wa Damu: Maandamano, Uasi, na Mapinduzi
Mhamasishaji mkuu kutoka ughaibuni alitangaza wazi kuwa siku hiyo ina mambo matatu: Maandamano, Uasi wa Jeshi, na Mapinduzi. Kitaalamu, mchanganyiko huu unaitwa Reflexive Control—mbinu ya kijasusi ambapo adui anasoma saikolojia yako na kukufanya uchukue hatua itakayokuharibu wewe mwenyewe. Lengo lilikuwa ni kutengeneza maaafa (damu) ili "wakubwa" wa ulimwengu wapate sababu ya kuingilia kati (International Intervention). Paschal anajua hili ni mchezo wa kijasusi, kwanini anakaa kimya?
Kwanini viongozi wa dini na wasomi wenye PhD hawakulaani mchanganyiko huu wa uasi na mapinduzi? Ukikaa kimya wakati nchi inachomwa, unatoa baraka kwa vijana wetu kutolewa kafara kwa mradi wa watu wa nje.
3. Jibu la Kisheria: Je, Amri Ilihitajika?
Swali la Paschal ni la kitoto kisheria. Kwenye mazingira ya shambulio la hatari, sheria inatoa mamlaka (Mandatory Power):
- Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16, Kifungu cha 18A na 18B: Inatoa haki ya Self-Defense (Ulinzi Binafsi) na ulinzi wa mali. Askari anayevamiwa akiwa analinda ghala la silaha au kituo cha mafuta hahitaji kumpigia simu Kamanda wake kuomba amri; sheria inamtaka kuzuia uhalifu huo kwa nguvu inayostahili ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
- Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act): Inampa askari mamlaka ya kutumia silaha kuzuia mtu yeyote anayetaka kutoroka na silaha au anayevamia eneo la hatari.
Watu wanapochoma kituo cha mafuta katikati ya mji, wanataka kuua maelfu ya watu. Unahitaji amri ya nani kufyatua risasi kuzuia mlipuko huo?
4. Uhaini na Uasi: Makosa ya Jinai Yaliyofichwa
Paschal kama mwanasheria anakwepa kusema ukweli huu:
- Uhaini (Treason): Kutangaza "Mapinduzi" dhidi ya Jamhuri ni kosa la Uhaini chini ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Hili ni kosa la kunyongwa.
- Uchochezi wa Uasi (Inciting Mutiny): Kutaka Jeshi liasi ni kosa chini ya Kifungu cha 45 cha Kanuni ya Adhabu. Ni kosa la jinai lenye adhabu kali.
- Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 28: Inamtaka kila raia kulinda mamlaka, uhuru, na umoja wa nchi. Kitendo cha kuhamasisha mapinduzi ni uvunjaji wa moja kwa moja wa Katiba.
Hitimisho
Nashangazwa na ukimya wa viongozi wa dini. Je, PhD zenu hazikuona hatari ya kuchanganya "Dini" na "Mapinduzi"? Paschal Mayalla, kwa kukwepa maswali ya kwanini vituo vya silaha vilichomwa na kwanini uasi ulihamasishwa, unatuacha na wasiwasi: Kuna nini kinafichwa?
Vijana wetu wametolewa kafara na watu waliojificha nyuma ya kioo cha simu ughaibuni. Paschal, badala ya kuuliza nani aliamuru risasi, uliza: "Nani aliamuru vijana wetu wakachome vituo vya mafuta na kuvamia maghala ya silaha?" Hilo ndilo swali la mzalendo.
Tanzania ni nchi ya kisheria. Jamhuri itajilinda, na sheria itasimama dhidi ya uhaini wowote, iwe ni wa kalamu au wa barabarani.
Hawaruhusiwi na walitakiwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka pumbafffff wewe.Lakini raia wanaruhusiwa KUCHOMA Vituo vya Polisi,vya Mafuta na vya mwendokasi .
Watu wameuwa Polisi wanakwenda KUCHOMA kituo,Polisi asubiri amalize ndio amfikishe mahakamani?Hawaruhusiwi na walitakiwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka pumbafffff wewe.
Wewe muache ajifanye mchambuzi uchwara.Siku akikuta mke wake, kitoto chake au ndugu watu wamempiga risasi ya kichwa tena nyumbani ametulia ndo ataelewa watu wanamaanisha nini.Bado haihalalishi raia wa nchi inayoongozwa na katiba na sheria kupigwa risasi.
Wanatakiwa wakamatwe wapelekwe mahakamani.
Siku utakuja kutekwa au kupotezwa wewe au ndugu yako kwa dhulma kisha akili itakukaa sawa maana kuna machawa kama wewe nawafaham vizuri akili zao zimebadilika kwa kukutwa na matukio walikua wakiyatetea kama wewe.
Hayo yote chanzo chake ni nini?Yalisababishwa na nini? Mbona umeanza kusimulia mwisho kabla ya mwanzo wake?Nimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika kuwa swali lake ni la upendeleo linalokwepa mzizi wa tukio.
Paschal anataja "risasi" kana kwamba Polisi waliamka asubuhi na kuamua kufanya mazoezi ya shabaha kwa raia. Anasahau makusudi kutaja mazingira yaliyopelekea matumizi ya nguvu.
1. Mazingira ya Uhalifu: Zaidi ya Maandamano
Kabla ya risasi hazijalia, kulikuwa na mfululizo wa matukio ya kihalifu ambayo Paschal na baadhi ya viongozi wa dini wamepata "upofu" wa ghafla kuyaona:
- Kuchomwa kwa Vituo vya Polisi: Hivi ni vituo vyenye maghala ya silaha. Unapovamia na kuchoma kituo chenye silaha za moto, unatangaza vita na umma.
- Uvamizi wa Miundombinu: Uvamizi wa ATM na vituo vya mafuta (Petrol Stations). Hapa hatuzungumzii maandamano ya amani; tunazungumzaji uhujumu uchumi na uporaji.
2. Mchanganyiko wa Damu: Maandamano, Uasi, na Mapinduzi
Mhamasishaji mkuu kutoka ughaibuni alitangaza wazi kuwa siku hiyo ina mambo matatu: Maandamano, Uasi wa Jeshi, na Mapinduzi. Kitaalamu, mchanganyiko huu unaitwa Reflexive Control—mbinu ya kijasusi ambapo adui anasoma saikolojia yako na kukufanya uchukue hatua itakayokuharibu wewe mwenyewe. Lengo lilikuwa ni kutengeneza maaafa (damu) ili "wakubwa" wa ulimwengu wapate sababu ya kuingilia kati (International Intervention). Paschal anajua hili ni mchezo wa kijasusi, kwanini anakaa kimya?
Kwanini viongozi wa dini na wasomi wenye PhD hawakulaani mchanganyiko huu wa uasi na mapinduzi? Ukikaa kimya wakati nchi inachomwa, unatoa baraka kwa vijana wetu kutolewa kafara kwa mradi wa watu wa nje.
3. Jibu la Kisheria: Je, Amri Ilihitajika?
Swali la Paschal ni la kitoto kisheria. Kwenye mazingira ya shambulio la hatari, sheria inatoa mamlaka (Mandatory Power):
- Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16, Kifungu cha 18A na 18B: Inatoa haki ya Self-Defense (Ulinzi Binafsi) na ulinzi wa mali. Askari anayevamiwa akiwa analinda ghala la silaha au kituo cha mafuta hahitaji kumpigia simu Kamanda wake kuomba amri; sheria inamtaka kuzuia uhalifu huo kwa nguvu inayostahili ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
- Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act): Inampa askari mamlaka ya kutumia silaha kuzuia mtu yeyote anayetaka kutoroka na silaha au anayevamia eneo la hatari.
Watu wanapochoma kituo cha mafuta katikati ya mji, wanataka kuua maelfu ya watu. Unahitaji amri ya nani kufyatua risasi kuzuia mlipuko huo?
4. Uhaini na Uasi: Makosa ya Jinai Yaliyofichwa
Paschal kama mwanasheria anakwepa kusema ukweli huu:
- Uhaini (Treason): Kutangaza "Mapinduzi" dhidi ya Jamhuri ni kosa la Uhaini chini ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Hili ni kosa la kunyongwa.
- Uchochezi wa Uasi (Inciting Mutiny): Kutaka Jeshi liasi ni kosa chini ya Kifungu cha 45 cha Kanuni ya Adhabu. Ni kosa la jinai lenye adhabu kali.
- Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 28: Inamtaka kila raia kulinda mamlaka, uhuru, na umoja wa nchi. Kitendo cha kuhamasisha mapinduzi ni uvunjaji wa moja kwa moja wa Katiba.
Hitimisho
Nashangazwa na ukimya wa viongozi wa dini. Je, PhD zenu hazikuona hatari ya kuchanganya "Dini" na "Mapinduzi"? Paschal Mayalla, kwa kukwepa maswali ya kwanini vituo vya silaha vilichomwa na kwanini uasi ulihamasishwa, unatuacha na wasiwasi: Kuna nini kinafichwa?
Vijana wetu wametolewa kafara na watu waliojificha nyuma ya kioo cha simu ughaibuni. Paschal, badala ya kuuliza nani aliamuru risasi, uliza: "Nani aliamuru vijana wetu wakachome vituo vya mafuta na kuvamia maghala ya silaha?" Hilo ndilo swali la mzalendo.
Tanzania ni nchi ya kisheria. Jamhuri itajilinda, na sheria itasimama dhidi ya uhaini wowote, iwe ni wa kalamu au wa barabarani.
Unajichanganya, tume ya mchongo haisema kuwa ni polisi walitumia risasi, bali waandamanaji ndio walikuwa na silaha. Mnapishana kwasabu mnasema uongo. Hata hivyo ndani ya bandiko lako unakwepa ukweli, siku ile mauaji ilikuwa si kulinda hicho usemacho, bali kulinda uchaguzi wa wizi ili Samia apate kura 31m ambazo hakukuwa na hao wapiga kura. Wakati unaleta hii porojo ufahamu kuwa pia tunaujua ukweli.Nimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika kuwa swali lake ni la upendeleo linalokwepa mzizi wa tukio.
Paschal anataja "risasi" kana kwamba Polisi waliamka asubuhi na kuamua kufanya mazoezi ya shabaha kwa raia. Anasahau makusudi kutaja mazingira yaliyopelekea matumizi ya nguvu.
1. Mazingira ya Uhalifu: Zaidi ya Maandamano
Kabla ya risasi hazijalia, kulikuwa na mfululizo wa matukio ya kihalifu ambayo Paschal na baadhi ya viongozi wa dini wamepata "upofu" wa ghafla kuyaona:
- Kuchomwa kwa Vituo vya Polisi: Hivi ni vituo vyenye maghala ya silaha. Unapovamia na kuchoma kituo chenye silaha za moto, unatangaza vita na umma.
- Uvamizi wa Miundombinu: Uvamizi wa ATM na vituo vya mafuta (Petrol Stations). Hapa hatuzungumzii maandamano ya amani; tunazungumzaji uhujumu uchumi na uporaji.
2. Mchanganyiko wa Damu: Maandamano, Uasi, na Mapinduzi
Mhamasishaji mkuu kutoka ughaibuni alitangaza wazi kuwa siku hiyo ina mambo matatu: Maandamano, Uasi wa Jeshi, na Mapinduzi. Kitaalamu, mchanganyiko huu unaitwa Reflexive Control—mbinu ya kijasusi ambapo adui anasoma saikolojia yako na kukufanya uchukue hatua itakayokuharibu wewe mwenyewe. Lengo lilikuwa ni kutengeneza maaafa (damu) ili "wakubwa" wa ulimwengu wapate sababu ya kuingilia kati (International Intervention). Paschal anajua hili ni mchezo wa kijasusi, kwanini anakaa kimya?
Kwanini viongozi wa dini na wasomi wenye PhD hawakulaani mchanganyiko huu wa uasi na mapinduzi? Ukikaa kimya wakati nchi inachomwa, unatoa baraka kwa vijana wetu kutolewa kafara kwa mradi wa watu wa nje.
3. Jibu la Kisheria: Je, Amri Ilihitajika?
Swali la Paschal ni la kitoto kisheria. Kwenye mazingira ya shambulio la hatari, sheria inatoa mamlaka (Mandatory Power):
- Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16, Kifungu cha 18A na 18B: Inatoa haki ya Self-Defense (Ulinzi Binafsi) na ulinzi wa mali. Askari anayevamiwa akiwa analinda ghala la silaha au kituo cha mafuta hahitaji kumpigia simu Kamanda wake kuomba amri; sheria inamtaka kuzuia uhalifu huo kwa nguvu inayostahili ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
- Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act): Inampa askari mamlaka ya kutumia silaha kuzuia mtu yeyote anayetaka kutoroka na silaha au anayevamia eneo la hatari.
Watu wanapochoma kituo cha mafuta katikati ya mji, wanataka kuua maelfu ya watu. Unahitaji amri ya nani kufyatua risasi kuzuia mlipuko huo?
4. Uhaini na Uasi: Makosa ya Jinai Yaliyofichwa
Paschal kama mwanasheria anakwepa kusema ukweli huu:
- Uhaini (Treason): Kutangaza "Mapinduzi" dhidi ya Jamhuri ni kosa la Uhaini chini ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Hili ni kosa la kunyongwa.
- Uchochezi wa Uasi (Inciting Mutiny): Kutaka Jeshi liasi ni kosa chini ya Kifungu cha 45 cha Kanuni ya Adhabu. Ni kosa la jinai lenye adhabu kali.
- Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 28: Inamtaka kila raia kulinda mamlaka, uhuru, na umoja wa nchi. Kitendo cha kuhamasisha mapinduzi ni uvunjaji wa moja kwa moja wa Katiba.
Hitimisho
Nashangazwa na ukimya wa viongozi wa dini. Je, PhD zenu hazikuona hatari ya kuchanganya "Dini" na "Mapinduzi"? Paschal Mayalla, kwa kukwepa maswali ya kwanini vituo vya silaha vilichomwa na kwanini uasi ulihamasishwa, unatuacha na wasiwasi: Kuna nini kinafichwa?
Vijana wetu wametolewa kafara na watu waliojificha nyuma ya kioo cha simu ughaibuni. Paschal, badala ya kuuliza nani aliamuru risasi, uliza: "Nani aliamuru vijana wetu wakachome vituo vya mafuta na kuvamia maghala ya silaha?" Hilo ndilo swali la mzalendo.
Tanzania ni nchi ya kisheria. Jamhuri itajilinda, na sheria itasimama dhidi ya uhaini wowote, iwe ni wa kalamu au wa barabarani.
Nimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika kuwa swali lake ni la upendeleo linalokwepa mzizi wa tukio.
Paschal anataja "risasi" kana kwamba Polisi waliamka asubuhi na kuamua kufanya mazoezi ya shabaha kwa raia. Anasahau makusudi kutaja mazingira yaliyopelekea matumizi ya nguvu.
1. Mazingira ya Uhalifu: Zaidi ya Maandamano
Kabla ya risasi hazijalia, kulikuwa na mfululizo wa matukio ya kihalifu ambayo Paschal na baadhi ya viongozi wa dini wamepata "upofu" wa ghafla kuyaona:
- Kuchomwa kwa Vituo vya Polisi: Hivi ni vituo vyenye maghala ya silaha. Unapovamia na kuchoma kituo chenye silaha za moto, unatangaza vita na umma.
- Uvamizi wa Miundombinu: Uvamizi wa ATM na vituo vya mafuta (Petrol Stations). Hapa hatuzungumzii maandamano ya amani; tunazungumzaji uhujumu uchumi na uporaji.
2. Mchanganyiko wa Damu: Maandamano, Uasi, na Mapinduzi
Mhamasishaji mkuu kutoka ughaibuni alitangaza wazi kuwa siku hiyo ina mambo matatu: Maandamano, Uasi wa Jeshi, na Mapinduzi. Kitaalamu, mchanganyiko huu unaitwa Reflexive Control—mbinu ya kijasusi ambapo adui anasoma saikolojia yako na kukufanya uchukue hatua itakayokuharibu wewe mwenyewe. Lengo lilikuwa ni kutengeneza maaafa (damu) ili "wakubwa" wa ulimwengu wapate sababu ya kuingilia kati (International Intervention). Paschal anajua hili ni mchezo wa kijasusi, kwanini anakaa kimya?
Kwanini viongozi wa dini na wasomi wenye PhD hawakulaani mchanganyiko huu wa uasi na mapinduzi? Ukikaa kimya wakati nchi inachomwa, unatoa baraka kwa vijana wetu kutolewa kafara kwa mradi wa watu wa nje.
3. Jibu la Kisheria: Je, Amri Ilihitajika?
Swali la Paschal ni la kitoto kisheria. Kwenye mazingira ya shambulio la hatari, sheria inatoa mamlaka (Mandatory Power):
- Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16, Kifungu cha 18A na 18B: Inatoa haki ya Self-Defense (Ulinzi Binafsi) na ulinzi wa mali. Askari anayevamiwa akiwa analinda ghala la silaha au kituo cha mafuta hahitaji kumpigia simu Kamanda wake kuomba amri; sheria inamtaka kuzuia uhalifu huo kwa nguvu inayostahili ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
- Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act): Inampa askari mamlaka ya kutumia silaha kuzuia mtu yeyote anayetaka kutoroka na silaha au anayevamia eneo la hatari.
Watu wanapochoma kituo cha mafuta katikati ya mji, wanataka kuua maelfu ya watu. Unahitaji amri ya nani kufyatua risasi kuzuia mlipuko huo?
4. Uhaini na Uasi: Makosa ya Jinai Yaliyofichwa
Paschal kama mwanasheria anakwepa kusema ukweli huu:
- Uhaini (Treason): Kutangaza "Mapinduzi" dhidi ya Jamhuri ni kosa la Uhaini chini ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu. Hili ni kosa la kunyongwa.
- Uchochezi wa Uasi (Inciting Mutiny): Kutaka Jeshi liasi ni kosa chini ya Kifungu cha 45 cha Kanuni ya Adhabu. Ni kosa la jinai lenye adhabu kali.
- Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 28: Inamtaka kila raia kulinda mamlaka, uhuru, na umoja wa nchi. Kitendo cha kuhamasisha mapinduzi ni uvunjaji wa moja kwa moja wa Katiba.
Hitimisho
Nashangazwa na ukimya wa viongozi wa dini. Je, PhD zenu hazikuona hatari ya kuchanganya "Dini" na "Mapinduzi"? Paschal Mayalla, kwa kukwepa maswali ya kwanini vituo vya silaha vilichomwa na kwanini uasi ulihamasishwa, unatuacha na wasiwasi: Kuna nini kinafichwa?
Vijana wetu wametolewa kafara na watu waliojificha nyuma ya kioo cha simu ughaibuni. Paschal, badala ya kuuliza nani aliamuru risasi, uliza: "Nani aliamuru vijana wetu wakachome vituo vya mafuta na kuvamia maghala ya silaha?" Hilo ndilo swali la mzalendo.
Tanzania ni nchi ya kisheria. Jamhuri itajilinda, na sheria itasimama dhidi ya uhaini wowote, iwe ni wa kalamu au wa barabarani.
Ni sawa kama ulivyoeleza ila si Ungemjibu tu swali lake kuwa aliyetoa Amri ya kuua kwa risasi ni nani? As simple as thatwell done gentleman,
umeeleza jambo muhimu sana tena kwa ufasaha wa kiwango cha juu mno
kwani hoja ya msingi iliyowekwa mezani nini gentleman?Ni sawa kama ulivyoeleza ila si Ungemjibu tu swali lake kuwa aliyetoa Amri ya kuua kwa risasi ni nani? As simple as that
Halafu mie nawafahamu wanafunzi wawili tena wadogo wa FM ONE wakike walipigwa risasi za vichwa na tukawazika mpaka picha zao ninazo...hao walitoka tu kusoma kwa wenzao na wakauawa...je walifika kituo cha polisi Sheikh?
Kwenye nyumba na vibanda umiza na kwenyewe ni vituo vya polisi?Watu wameuwa Polisi wanakwenda KUCHOMA kituo,Polisi asubiri amalize ndio amfikishe mahakamani?