Majibu kwa Paschal Mayalla: Nani alitoa amri ya risasi au ni sheria ilijiandaa kulinda Jamhuri?

Wanaotakiwa kuzamishwa baharini na kufungwa miguu ni hao waliokataa kutusikiliza sisi wananchi na wakatudhihaki.

Na mpaka hivi sasa hakuna aliekiri wala kuwajibika wanatudhihaki na wanatudharau sana.

Sasa nasema ipo siku yale ya tarehe 29 yatajirudia.
 
Ndugu zangu vurugu ikitokea ni kama mtego wa panya ataingia aliyemo na asiyekuwemo,tunaona hata kwenye vita Palestina watoto hawakuanzisha vita na wengine wamezaliwa wameikuta lakini ndio wanaoongoza Kwa kufa
 
Kwenye nyumba na vibanda umiza na kwenyewe ni vituo vya polisi?
Ndugu zangu vurugu ikitokea ni kama mtego wa panya ataingia aliyemo na asiyekuwemo,tunaona hata kwenye vita Palestina watoto hawakuanzisha vita na wengine wamezaliwa wameikuta lakini ndio wanaoongoza Kwa kufa
 
Kwa hiyo ili kuzima huo uasi na uhaini wa kufikirika ndipo intelejensia ya polisi ikawalazimu kuwafuata vijana wadogo wasiokuwa na hatia majumbani na kisha kuwafyatulia hovyo risasi za moto.

Na hawa hawa vijana ambao wanaonekana eti ni watovu wa adabu wenye kustahili kucharazwa mikwaju pale wanapo ibua hoja zisizokuwa na majibu kwa watawala!? Bi Msumi hasafishiki ni yeye ndiye alitoa amri ili vijana wa Kitanganyika wauawe na wengine wajeruhiwe kwa risasi Kwa kuamuru vikosi vya KMKM na wanajeshi wenye lafudhi ya nchi moja jirani.

Karma is a bitch and she can't escape it.
 
Na yule Shehe wenu Majini naye alivamia nini yule?
 
Hadi leo hii sijui hili tangazo lilitolewa lini na nani. Nachojua wauaji walisambazwa nchi nzima. Iwe mmeandamana au lah ilikuwa msiba
 
Umesahau jambo zito si kuchoma vituo tu, walitangaza Uasi wa jeshi na mapinduzi, bila kuwa na kiongozi anaefahamika ni rahisi sana Jeshi kugawika na kuingia kwenye vita VYA wenyewe,hili ndio la MUHUMU si vituo vya Mafuta tu.
 
Na yule Shehe wenu Majini naye alivamia nini yule?
Kaka Kuna watoto wamezaliwa after October 7 ,hapo PALESTINE hawajui lolote ,wengi sana wameuawa ,gari la vita likiwaka haliangalii waliomo na wasiokuwemo, hivi mnafikiri ni jambo la mchezo mchezo! Mi nadhani tungejiuliza kwanza kwanini aliliingiza Jeshi kwenye issue ya kidemokrasia, hili ndio swali la msingi!
 
Umenifilisi. Hoja kuntu kabisa
 
Siku zote wananitukana , nawaambia hilo ni swali la kitoto .. Akili zao ni kwamba Rais alikuwa anafuatilia maandamano mubashara . Kitendo cha kujua tu wanausalama walitumia nguvu kulingana na mambo waliyokutana nayo , kama wao tu walianza kuuliwa mlitegemea wafanye nn?.


Raisi hakutoa order ni swali la kijnga , wajinga ndio wameleta hoja hiyo ..Eti msomi anauliza '' Nan alitoa order ya shoot to kill '' wajinga wote wanaotoa hoja hii .​
 
Ndio mkaua watu kwenye banda la video. Pumbuuf kabisa.
Uwongo wa kipumbavu kabisa, nani anaweza kutazama mpira kwenye banda au hata nyumbani wakati mita chache kutoka hapo kuna milio ya risasi!!

Watu walitumia hayo mabanda kama vichaka vya kukimbilia wanapofukuzwa na askari.
Na baadae wanatoka na kushambulia.
 
Ulichokiandika ni hisia zako tu au ulishuhudia?
 
Ni swali hilo hilo unaangalia upande tofauti tu.

Jeshi la wauaji lisingeingia katika suala la demokrasia Sheikh Majini pamoja na wengi waliouawa wasingeuawa.
 
Ndio maana IMEUNDWA tume,kukitokea Uasi kila mtu anakuwa rogue nami nikuulize ilikuwaje waandamanaji waliovamia vituo vya Polisi walitumwa nani? Vituo vya Mafuta ,vituo vya mabasi,maduka na Mali za watu nani aliwatuma? Ni vurugu ikitokea vitu vyote hivyo hutokea na zaidi,ingeendelea tungenchinjana majirani TAYARI UDINI ULISHAINGILIA KATI IKAWA UKATOLIKI USILAM SIJUI ,MOU KILA BAYA LINAZALIKA GUYS SOMENI HISTORIA GENOCIDE HUANZA HIVYO.

Nani alijuwa KUANGUSHWA KWA NDEGE YA HABYARIMANA RAIS DIKTETA ,MUUAJI (NATUMIA LUGHA YA WAANDAMANAJI) ALIYECHOKWA NA WATU WAKE INGE TRIGGER GENOCIDE?

KUANGUKA KWA SERIKALI BILA MIPANGO BILA KUJALI SERIKALI HIYO NI YA DIKTETA MOBUTU AU MZALENDO SANKARA,AU HATA DIKTETA SIYAD BARREH KUNAWEZA KULETA MAAFA YAKADUMU MIONGO KADHAA,HIYO NI KANUNI YA HISTORIA TUSILAUMIANE MI NI MWANAFUNZI MTIIFU WA HISTORIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…