Wanyamwezi na wasukuma Wana utamaduni wa wanaume kusuka,Tena twende kilioni kabisaNawakumbusha tu mwanaume wa kiisilamu kupaka wanja au bleach ni suna..
kuna baadhi ya mabo yapo kwenye dini zote ukristo na uisilamu unaona kabisa hizi ni tamaduni za watu ambazo huwezi apply huku kwetu ila yamefanywa kama sheria ndani hizo dini na ni mapungufu makubwa sana.
Nikweli kuna ambao hawakufa na walishuhudia alipofufuka akiwa na mamlaka yote na wakashuhudia alivyopaa pia so ni kweli walimwona akiwa ktk ufalme wake.
Ndio yoyote atayemfuata atakuwa ni shahidi na mfano kipindi cha hukumu wala haikuwa na maan ya wanafuzi 12 tu.
Petro aka peter anashimika sana kwenye imani ya ukristo ni miongoni mwa wamiseni wa mwanzo kueneza injili duniani na ni mtume aliyekuwa amejaaliwa upako ma roho mtakatifu alikuwa juu yake kwa hali ya juu na ndio aliyesababisha kuanzishwa kwa kanisa katoliki.
Ni kweli alienda nae peponi, peponi ni sehemu ya roho safi zinapoelekea kabla ya kwenda mbinguni siku ya mwisho ni sawa na jehnam zinapokwenda mtu mdhambi then kuzimu tofautisha hayo maeneo.
Ndugu yangu usimfananishe yesu na mtume Muhammad utakula mwelaka asubuh tu we ujiulizi hadi kitabu chako tukufu kinakiri hakuwa na dhabi na amepaa juu huogopi??

Mkuu tunatakiwa kusoma Quran ilichoandika ama kusoma tafsiri binafsi za hao watu uliowataja hapo juu? Na ni kwa nini tusome tafsiri zao, wao ni kina nani kama Allah alimshushia Mohamed yeye mwenyewe.
Kwa maelezo yako ni kwamba Quran ina maneno ya watu binafsi na ya Allah, sasa yapi ya Allah na yapi ya watu wengine binafsi? Na hayo ya watu binafsi yaliingiaje kwenye Quran wakati tunaaminishwa kwamba Quran ilishushwa kwa mtume direct kama vile Bluetooth.
Wewe bado unasafari ndefu sana kuelewa biblia.Alikuambia nani ??? au ulikuwepo ??
Kwa mujibu wa tafsiri ya biblia ipi , ambapo yesu aliitoa hiyo tafsiri ya maneno yake??
Mbona Yesu alimwita shetani ?? ni wapi aliposema sasa Petro si shetani tena??
Tupe aya Yesu alikuwa na huyo mwizi peponi ??
Kweli kwa mujibu wa biblia ni vigumu kumfananisha Yesu na Mtume muhammad
Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.
Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:
A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).
B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).
Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.
Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.
Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.
Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.
Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.
Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:
“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.
Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?
Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu.
Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni.
Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam.
Kwahiyo karibuni sana.
Aya gani ulizipenda mkuu kwenye Qur'an na zipi hukuzipendaWewe bado unasafari ndefu sana kuelewa biblia.
Mm nilisoma Quran nikiwa na goodwill ya kuijua hasa sio kwa ajili ya kuitumia kukosoa nisingeielewa.
Nimeielewa na kuna aya ninazipenda sana ila kuna nyingine hapana the same to biblia pia..
Mm napendelea kudiscuss au kuweka mjadala na mtu ambaye ni free minded na mtu wa research haswa..sio mwislamu au mkristo mapokeo.
Mwaka huu nataka nisome kidogo buddhism na Hinduism for my awareness kuhusu Dunia na Mungu.
Al nisaai hii ni aya yangu pedwa kabisa.Aya gani ulizipenda mkuu kwenye Qur'an na zipi hukuzipenda
An-nisaa ni sura siyo Aya,inazungumzia wanawakeAl nisaai hii ni aya yangu pedwa kabisa.
Wewe bado unasafari ndefu sana kuelewa biblia.
Mm nilisoma Quran nikiwa na goodwill ya kuijua hasa sio kwa ajili ya kuitumia kukosoa nisingeielewa.
Nimeielewa na kuna aya ninazipenda sana ila kuna nyingine hapana the same to biblia pia..
Mm napendelea kudiscuss au kuweka mjadala na mtu ambaye ni free minded na mtu wa research haswa..sio mwislamu au mkristo mapokeo.
Wewe bado unasafari ndefu sana kuelewa biblia.
Mm nilisoma Quran nikiwa na goodwill ya kuijua hasa sio kwa ajili ya kuitumia kukosoa nisingeielewa.
Nimeielewa na kuna aya ninazipenda sana ila kuna nyingine hapana the same to biblia pia..
Mm napendelea kudiscuss au kuweka mjadala na mtu ambaye ni free minded na mtu wa research haswa..sio mwislamu au mkristo mapokeo.
Mwaka huu nataka nisome kidogo buddhism na Hinduism for my awareness kuhusu Dunia na Mungu.
Al nisaai hii ni aya yangu pedwa kabisa.
Hii sentensi imenifanya nikuone bado huijui biblia au basi haupo makini..rahabu wa solomoni si rahabu wa kipindi cha joshua ni ni watu wawili tofauti.2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
Kosa pia umelifanya hapo ni hilohilo..3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
Haikuwezekana kuficha tendo la hila la mfalme, na kashfa ikazuka huko Yerusalemu. Nabii Nathani aliilaani waziwazi nyumba ya Daudi, akiilaani kwa mapigano ya jamaa. Kwa kuongezea, alitabiri kuwa mtoto aliyezaliwa na Bathsheba atakufa. Na ndivyo ilivyotokea. Ndipo Daudi akatubu mbele za Bwana, na Nathani akatangaza kuwa amesamehewa. Bathsheba mrembo alizaa mtoto wa pili wa kiume aliyeitwa Sulemani, au Shlomo, kutoka kwa neno "shalom", ambayo ni, amani.4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hii sentensi imenifanya nikuone bado huijui biblia au basi haupo makini..rahabu wa solomoni si rahabu wa kipindi cha joshua ni ni watu wawili tofauti.
Kosa pia umelifanya hapo ni hilohilo..
Haikuwezekana kuficha tendo la hila la mfalme, na kashfa ikazuka huko Yerusalemu. Nabii Nathani aliilaani waziwazi nyumba ya Daudi, akiilaani kwa mapigano ya jamaa. Kwa kuongezea, alitabiri kuwa mtoto aliyezaliwa na Bathsheba atakufa. Na ndivyo ilivyotokea. Ndipo Daudi akatubu mbele za Bwana, na Nathani akatangaza kuwa amesamehewa. Bathsheba mrembo alizaa mtoto wa pili wa kiume aliyeitwa Sulemani, au Shlomo, kutoka kwa neno "shalom", ambayo ni, amani.
Solomani alipatikana baada ya toba kubwa na ndio maana ya jina la suleimani ni amani na ndie mfalme ambaye alikula bata kubwa bila kuingia vitani hata mara moja kwenye historia ya watu wa israel.

Enzi ya mtume na karatasi wapi na wapi, lazima mzigo mwingi ulikuwa unabaki matkniWewe huli ?? Kwa vile hunyi ??Alitumia karatasi si miti iko mingi au vipi ?
Mtme alikuwa anaknya sana, ndooHivi Yesu akijipangusa kwa karatasi akienda haja kubwa ???
Mimi si muomini wa vitabu hivyo kwa hivyo simo kwenye hizo ndaro zenu😎🤔😏Miongoni mwa masuala ambayo wamishenari wa Kikristo wanayatumia kupinga Qur'ani Tukufu ni kifungu kifuatacho.
"Wanakuuliza juu ya Zul-Qarnain. Sema nitakusomea khabari zake. Hakika sisi tuliuweka uwezo wake katika ardhi, na tukampa njia na njia za kila jambo. Njia moja (hiyo) akaifuata. Hata alipofika machweo ya jua alilikuta limetua katika chemchemi ya maji ya uvuguvugu, akakuta watu karibu nayo." (Kurani Tukufu 18:83-86)
Pingamizi lao ni kwamba jinsi jua linavyoweza kutua kwenye chemchemi ya maji ya kiza ilhali ni kubwa zaidi ya mara bilioni kuliko dunia na haliwezi kamwe kutua kwenye chemchemi ya maji yenye kiza! Wanatukabili kwa pingamizi hili katika hoja zao zote zinazohusu vipengele vya kisayansi vya Qur'an.
Naam, tunakwenda, insha'Allah, kuwajibu. Ninaanza na kunukuu mstari ufuatao wa kibiblia,
“Je! haziko ng’ambo ya Yordani, kando ya njia ya machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani, wakaao katika Araba, kukabili Gilgali, kando ya nchi tambarare za More?
( Kumbukumbu la Torati 11:30 )
Kama tunavyojua, hakuna njia ambapo jua linatua kwa sababu jua ni approx. kubwa zaidi ya mara 109 kuliko dunia. n.k. wakati ikiwa maana ni kwamba ni njia ambayo inaonekana kwa watu kwamba jua linazama ndani, pingamizi hilo litatatuliwa. Lakini kwa hakika wanakubali maelezo kama hayo kwa Maandiko yao, si yetu! Zaidi ya hayo, aya hiyo ni mbovu sana kama mmoja wa ndugu zetu Waarabu anavyosema,
Maandishi unayoyaona ni magumu sana kana kwamba yanaeleza anwani ya mtu aliyepotea: Mahali-jua-linaposhuka St., Jiji la Wakanaani, ondoka uwanda wa kwanza wa More, moja kwa moja dhidi ya Gilgali!
Wacha tuendelee kwenye aya nyingine,
"Jua halitakupiga mchana, wala mwezi usiku."
( Zaburi 121:6 )
Tunaelewa kabisa nini maana ya jua kumpiga mtu, lakini nini maana ya mwezi kupiga?! Je, kuna chochote kinachojulikana - kwa mfano - kama kiharusi cha mwezi?! Labda tunapaswa kujua!
Nukuu yetu ya mwisho ya kibiblia ni hii,
"Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili." ( Ufunuo 12:1 )
Mwanamke anawezaje kuvikwa jua ambalo ni kubwa zaidi ya mara 109 kuliko dunia?!! Kweli hii ni hadithi!
Sasa, tunaacha Biblia ili kuzungumzia pingamizi la wamishonari. Aya inasema, “akaikuta imewekwa kwenye chemchemi ya maji ya uvugu” yaani kwa mujibu wa muono na uoni wake ndio maana Mwenyezi Mungu hasemi “inazama”.
Imam Al-Baidawi anabainisha,
Pengine alifika ufukoni mwa bahari akaona hivyo kwa sababu kulikuwa na maji lakini pembeni kabisa ya macho yake ndiyo maana Anasema “amekuta limetua” wala hasemi “linatuwa”. (Al-Baidawi, Anwar-ut-Tanzil wa Asrar-ut-Taw'il, Juzuu 3, ukurasa wa 394. Kimechapishwa na Dar-ul-Ashraf, Cairo, Misri)
Imam Al-Qurtubi anasema,
Al-Qaffal amesema: Haikusudii kufika kuchomoza au kuzama kwa jua kwamba aliufikia mwili wake na kuugusa kwa sababu linapita angani kuzunguka ardhi bila kuligusa na ni kubwa mno kuingia katika chemchemi yoyote duniani. Ni kubwa sana kuliko ardhi. Lakini ina maana kwamba alifika mwisho wa ardhi yenye watu wengi mashariki na magharibi, hivyo akaikuta - kwa mujibu wa maono yake - ikiwa imekaa kwenye chemchemi ya maji ya uvugu kama vile tunayatazama katika ardhi laini kana kwamba yanaingia ndani ya ardhi.
Ndio maana Akasema: "Ameikuta inawazukia watu ambao hatukuwa tumewawekea ulinzi dhidi ya jua." (Kurani Tukufu 18:90) na haikuwa na maana kwamba inawagusa au kushikamana nao; lakini wao ndio wa kwanza kuinuka.
Al-Qutabiy amesema: Huenda chemchemi hii ni sehemu ya bahari na jua linazama nyuma yake, likiwa na au ndani yake, basi pendekezo hilo linachukua nafasi ya kivumishi na Mwenyezi Mungu ndiye anayejua zaidi. (Al-Qurtubi, Al-Game' le Ahkam-el-Qur'an, Juzuu 16, ukurasa wa 47. Kimechapishwa na Dar-ul-Hadith, Cairo, Misri. ISBN 977-5227-44-5)
Imam Fakhr-ud-Deen Ar-Razi anasema,
Zul-Qarnain alipofika upande wa mbali kabisa wa magharibi na hakuna ardhi yenye watu iliyoachwa, alilikuta jua kana kwamba linatua kwenye chemchemi ya giza, lakini si kweli. Vile vile msafiri wa baharini anapoona jua kana kwamba linazama baharini ikiwa haoni ufuo na hali halisi linatua nyuma ya bahari. (Ar-Razi, At-Tafsir-ul-Kabir, Juzuu 21, ukurasa wa 166)
Imam Ibn Kathir anasema,
“Mpaka alipofika machweo ya jua” maana yake alifuata njia fulani mpaka akafika nchi ya mbali zaidi ambayo angeweza kwenda kutoka magharibi. Ama kufikia machweo ya jua angani, haiwezekani. Yale wanayosema wapokezi na wasimuliaji wa hadithi kwamba yeye alitembea muda katika ardhi na jua linapozama nyuma yake si kweli, na mengi katika ngano za Wakristo na Wayahudi na uzushi wa waongo wao.
"aliikuta imetua kwenye chemchemi ya maji ya uvugu" maana yake aliliona jua kulingana na maono yake yakitua ndani ya bahari na hii ni sawa na kila mtu anayeishia ufukweni kuona kana kwamba jua linazama ndani yake (yaani bahari).
(Ibn Kathir, Tafsir-ul-Qur'ân Al-'Azim, Juzuu ya 5, ukurasa wa 120. Kimechapishwa na Maktabat-ul-Iman, Mansoura, Misri)
Ninaamini hii inatosha kukanusha tafsiri iliyowekwa na wamisionari. Na kwa Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye hukumu katika kila jambo.
Vazi alilolipenda zaidi mtume swala na amani ziwe juu yake ni kanzu, hivyo sisi tunavaa pia kanzu na kwa kule kuwa ni mavazi ya waislamu.Waarabu walikuwa wanavaa kanzu kwa sababu jangwani haikuwezekana kulima mazao ya nyuzi, Pamoja na joto, kwa nini hata waislamu wa Tanzania wanavaa kanzu.
Waarabu wako jangwani, hakuna miti, ndio maana wakawa hawamziki mtu na jeneza, ili litumiwe na wengine, kwa nini mtu wa iringa na njombe naye afanye kama wa jangwani wakati jangwani hakuna miti?
Mazingira ya joto jangwani yalifanya maiti ziharibike mapema, kwa hiyo walizikana fasta, kwa nini na sisi tuige ?